Ziko kampuni za kuuza gesi za kupikia. Kwanini Serikali inatangaza kampuni moja?

Mtumishiwetu

Senior Member
Jul 13, 2022
187
334
Kwa Mujibu wa Tovuti ya EWURA hadi Septemba 2020 yapo Makampuni 12 kwanini SERIKALI YA TANZANIA inafanyia promotion kampuni moja inapeleka ujumbe gani kwa wananchi na hizo kampuni nyingine

LIST OF LICENSED LPG WHOLESALERS IN TANZANIA AS OF SEPTEMBER 2020
  • Manjis Logistics Limited of P.O. Box 3110 Arusha
  • Camel Oil (T) Limited
  • Acer Petroleum (T) Ltd
  • KMJ Limited, P.O. Box 20139 Dar es Salaam
  • Taifa Gas Tanzania Ltd, P.O. Box 77578 Dar es Salaam
  • Hamgas Company Limited of P. O. Box 4878 Dar es Salaam
  • Manjis Gas Supply Company Ltd of P.O Box 41088 Dar es salaam

  • Oilcom (T) Limited of P. O. Box 20831 Dar es Salaam
  • Lake Gas Limited of P.O. Box 5055 Dar es Salaam
  • Oryx Gas Tanzania Limited of P.O. Box 9540 Dar es Salaam
  • Orange Gas Limited of P.O. Box 12318 Arusha
 
Katiba mpya itasimamia VIZURI mikataba ya makampuni ya rasilimali zetu Ili wananchi waneemeke Moja KWA Moja na rasilimali zao kuliko ilivyo Sasa ambapo wajanja wachache wanatupiga na kufisadi Mali ZETU!!

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA!
 
Yaani umeandika jina la manji's mara mbili ili tuu kuukamilisha ulalamishi wako na si uhalisi wa ulichotaka kutueleza
Punguza maneno soma kwanza mimi sijasema mimi nimesema kwa mujibu wa Tovuti ya EWURA wewe bishana na EWEURA sio mimi soma hiyo attachment chini
 
Attachments

  • LIST-LPG-WHOLESALER-SEPTEMBER-2020.pdf
    119.3 KB · Views: 7
Kwa Mujibu wa Tovuti ya EWURA hadi Septemba 2020 yapo Makampuni 12 kwanini SERIKALI YA TANZANIA inafanyia promotion kampuni moja inapeleka ujumbe gani kwa wananchi na hizo kampuni nyingine

LIST OF LICENSED LPG WHOLESALERS IN TANZANIA AS OF SEPTEMBER 2020
  • Manjis Logistics Limited of P.O. Box 3110 Arusha
  • Camel Oil (T) Limited
  • Acer Petroleum (T) Ltd
  • KMJ Limited, P.O. Box 20139 Dar es Salaam
  • Taifa Gas Tanzania Ltd, P.O. Box 77578 Dar es Salaam
  • Hamgas Company Limited of P. O. Box 4878 Dar es Salaam
  • Manjis Gas Supply Company Ltd of P.O Box 41088 Dar es salaam
  • Manjis Logistics Limited of P.O. Box 3110 Arusha
  • Oilcom (T) Limited of P. O. Box 20831 Dar es Salaam
  • Lake Gas Limited of P.O. Box 5055 Dar es Salaam
  • Oryx Gas Tanzania Limited of P.O. Box 9540 Dar es Salaam
  • Orange Gas Limited of P.O. Box 12318 Arusha
 
Punguza maneno soma kwanza mimi sijasema mimi nimesema kwa mujibu wa Tovuti ya EWURA wewe bishana na EWEURA sio mimi soma hiyo attachment chini
Sasa huoni hii attachment uliyoweka inapingana na ulichoandika..... Hakukuwa na sababu ya kuharakia kupost ilhali hukusoma na kuelewa ulichokinukuu........
 
Back
Top Bottom