USHUHUDA:- Jinsi Mesenja wa benki alivyowazidi akili mashushushu wa Takukuru, na polisi

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,883
155,856
Hiki ni kisa Cha kweli kabisa kilichotokea miaka ya nyuma NCHINI KENYA NA WALA SIO TANZANIA

Miaka kadhaa nyuma kulikuwa na utawala mbovu sana, ubadhirifu, wizi, hujuma na ufisadi ulitamalaki nchi nzima, kule kwa shangazi yangu Kenya

Kuna benki ambayo ilikuwa ikimilikiwa na serikali lakini kwakuwa serikali ilikuwa busy sana, ikaona kuendelea na kuimiliki hiyo benki ni gozigozi, Bora wawape Bure Makaburi, ila wawazuge wananchi kuwa Makaburu wameinunua kwa pesa ndefu.

Basi benki ikawa inamilikiwa na Makaburu kwa sehemu kubwa na asilimia 11 inamilikiwa na serikali.

Basi wafanyakazi wazawa wa Ile benki wakakasirika sana, wakaona sasa ni zamu Yao na wao kupiga.

Kukawa na upigaji wa Kila aina na mmoja ndio ulikuwa huu ninaouelezea.

Basi wale Wafanyakazi wazalendo wakaona sehemu za kupiga Hela kirahisi ni kwenye taasisi za serikali na mifuko ya hifadhi, pamoja na Shirika la mapato.

Wakatengeneza account, wakaipa jina NAKURU CONSTRUCTION LTD, kutoka kwenye taasisi mbalimbali Hela ikawa inanyofolewa Kila siku na kuingizwa kwenye account ya NAKURU CONSTRUCTION LTD, kama billion Moja Kila siku.

Hela zilikuwa zinaandikiwa cheque, Kisha messenger anatumwa dirishani akachukue cash, Hela inawekwa kwenye mabahasha Kisha mgao unagawiwa kwa mabosi wa benki hiyo.

Mchezo huo ulidumu kwa muda mrefu sana, messenger kwa siku anakula kama milioni 50 kwa kazi yake hiyo.

Waswahili wanasema hamna uhalifu ambao hauachi alama. Siku isiyokuwa na jina, ndugu messenger alalileta balaa kubwa, yaani UMTITI.

Benki ilikuwa na kitengo Cha bima, kwa mfanyakazi alikuwa anaweza kukata bima kubwa kwa asilimia 2 ya thamani ya gari.

Basi messenger siku hiyo akiwa na kadi 12 za magari ya kifahari, kadi zikionesha magari kwamba ni mapya kabisa na yakiwa kwa jina lake.

Wafanyakazi wa benki kitengo Cha bima wakapatwa na mshituko, wakawabonyeza kitengo Cha uchunguzi Cha uhalifu wa KIFEDHA Cha benki hiyo.

Benki ikaanza kumchunguza messenger kisiri, messenger akagundulika ana bonge la jengo huko Caren, kama Bahari Beach ya hapa kwetu.
Na maeneo mengine ana mijengo kibao.
BaSi asubuhi Moja Bwana Mesenja akaitwa ofisi ya uchunguzi, akajua anaitwa shughuli za kimesenja za kawaida kama kusambaza barua, vifuruashi na kadhalika.

Alipofika huko, akashangaa anapokelewa vizuri sana, akaribishwa na chai, akaambiwa asubiri meeting room.

Akatokea mfanyakazi mmoja ambaye wanafahamiana vyema na Mesenja, lakini siku hiyo akaja na sura ya kazi na akajitambulisha kwa jina na akasema anataka kufanya mahojiano.

Mahojiano yalikuwa ya muda mrefu, lakini afisa wa upelelezi hakupata anachokitaka. Akaagiza polisi waje wachukue messenger.

Messenger akapelekwa makao makuu ya polisi,huko akateswa sana na MaPolisi na watu wa Takukuru ya Kenya, mateso Makali ya kupigwa shoti za umeme, kuingizwa chupa ya bia kwenye katundu ka kutolea taka, na.mengine mengi lakini messenger hakutoa Siri ya UTAJIRI wake.

Majibu kwa maafisa hao wa serikali yalikuwa kwamba UTAJIRI wake umesababiswa na vitu viwili.

Mosi, ana bwana Mombasa anayempa mabilioni, tena anasisitiza hata hao wapelelezi wakitaka mapesa waseme awapeleke Mombasa Kuna watu Wana pesa za Bure.

Pili, akasema ana majini yanayomletea pesa, wakitaka waseme awapeleke kwa majini huko Chini ya bahari ila wawe tu tayari kutoa makafara ya Damu za ndugu zao.

Mesenja aliteswa kwa siku nyingi lakini hakutoa Siri.
MaAfisa wa upelelezi wakaona wameshindwa, wakamtoa jela. Mesenja alipoka jela, akarudishwa kazini.

Mabosi walikuwa wanamtuma wakafurahi sana kuona kwamba hawajatajwa. Wakamshauri Mesenja aandikie barua kwa benki ili benki imsafishe magazetini, na watoe tangazo la kumsafisha Kila siku kwa siku 14.

Pia mabosi wakamwambia aidai benki billion 2 fidia ya adha aliyoipata na mateso aliyoteswa.

Mesenja akalipwa mabilioni yake, na akaendelea na kazi yake, ila Ile account ya NAKURU CONSTRUCTION LTD ikafika ukomo.
 
uhuru uliopitiliza wa matumizi mabaya ya simu.
 
Hii bank ilikuwa ina ukwasi sana. B MOJA YA KENYA KWA SIKU INAIBIWA KWA MIAKA MINGI.
 
uhuru uliopitiliza wa matumizi mabaya ya simu.

uhuru uliopitiliza wa matumizi mabaya ya simu.
IMG-20220831-WA0003.jpg
 
Mshana Jr njoo mchukue Kijaukanga wako
 
Jamaa katumia lugha tu ya mafumbo, benki waliyopewa Bure Makaburu Iko hapahapa nchini mwetu. Na hiyo NAKURU CONSTRUCTION LTD ni Rubuma Construction LTD. Hii ishu ilivuma sana kwa mabenka miaka ya mwishoni mwa utawala wa Kikwete
Hakuna benki ya Serikali iliyowahi kununuliwa na makaburu Kenya!
 
Na huyo messenger ndio wewe mwenyewe?
 
Back
Top Bottom