TAKUKURU Tanga ingieni kazini dhidi ya wahusika wanaolea mhujumu na kumdharau DPP

Mzalendo120

JF-Expert Member
Jul 2, 2022
1,355
1,766
Amani iwe nanyi wanajukwaa

Bila kupoteza muda ninaenda kwenye mada.

Niliwahi kutoa uzi hapa jukwaani juu ya mtuhumishi aliyetuhumiwa na DPP kwa kesi ya uhujumu lakini ameendelea kushikilia ofisi kama afisaelimu kata.

Mwalimu huyo ameenda mbali zaidi kwa kumkaimisha mtumishi mwenzake ofisi badala ya ofisi ya mkurugenzi wa jiji kuchukua hatua za kukaimisha ofisi ya umma haraka.

Unaweza ukajiuliza je hilo lilifanyika kwa bahati mbaya au nimpango wa mkurugenzi na wenzake?

Mbaya zaidi mwanamke huyo ambaye alishafikishwa mahakamani kwa zaidi ya mara tatu alishachukua mshahara na posho ya madaraka. Hivi mnawafanya watu wa Tanga wamelala kiasi hicho?

Hata kama mmelogwa je akili zenu hazijabaki hata kidogo? Akili ya kulogwa... changanya na yakwako.

Eti anadai hawezekani hivi kweli nyie mnaomlea huyo mtu wenu mnadhani wenye akili hawawashangai?

Takukuru ingieni tena kazini. Tena bila kuwakamata maafisaelimu,mkurugenzi,afisa utumishi na katibu tawala mtakua bado mnaonekana mnawalea wezi.

Takukuru kamateni wote hao mkawahoji ndio watatia akili na kama wapo waliogawana hizo hela watatajana.
Haiwezekani mtu apelekwe mahakamani na DPP kisha nyie muwe walezi bora wa mtuhumiwa tena mhujumu
 
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
SAMIA SULUHU HASSAN
Alisema Wafanye Mambo Yanayoenda Na Majukumu Yao Tu
 
HUJAELEWEKA KATU
 
Endelea kushusha nondo mwanajukwaa maana huyo mtumishi nasikia ameshapigwa pini.
Wanaodharau nguvu ya mtandao wanakua wanamapungufu kidogo.
Ninakupongeza juhudi zako zimezaa matunda
Hapo bado mkurugenzi wa jiji la Tanga na katibu tawala wawe wanafanya kazi zao kwa kufuata sheria bila shuruti
 
Mimi pia nakumbuka kuwa ulileta huu Uzi humu na nikashangaa sana kusikia mtumishi wa uma kafikishwa mahakamani kwa mashtaka ya jinai lakini eti bado kashikilia ofisi ya uma. Kama mpaka Sasa yupo tu hapo ofisini kana kwamba hakuna kilichotokea, tujulishe hapa jukwaani tujue Cha kufanya.Ahssnte.
 
Asante mkuu.
Ninashukuru kwa kutambua mchango wangu.
 
Mimi pia nakumbuka kuwa ulileta huu Uzi humu na nikashangaa sana kusikia mtumishi wa uma kafikishwa mahakamani kwa mashtaka ya jinai lakini eti bado kashikilia ofisi ya uma. Kama mpaka Sasa yupo tu hapo ofisini kana kwamba hakuna kilichotokea, tujulishe hapa jukwaani tujue Cha kufanya.Ahssnte.
Huyo mkurugenzi na afisaelim wamejitoa ufaham
Eti huyo mtuhumiwa pia walimpanga awe miongoni mwa maafisa wa sensa.
Tanga pamekufa,pameoza na pananuka wamejikaliatu ofisini wanakula na wahujumu
 
Endelea kushusha nondo mwanajukwaa maana huyo mtumishi nasikia ameshapigwa pini.
Wanaodharau nguvu ya mtandao wanakua wanamapungufu kidogo.
Ninakupongeza juhudi zako zimezaa matunda
Hapo bado mkurugenzi wa jiji la Tanga na katibu tawala wawe wanafanya kazi zao kwa kufuata sheria bila shuruti
Ambao wanaubavu wa kumshuhulikia huyo mwanamke ni takukuru lakini habari ya mkurugenzi sijui katibu tawala wala hawana ubavu wa kumsogelea
Tena wanatengeneza picha takukuru waonekane niwabaya kumbe wao ndio walishindwa kutimiza wajibu wao mapema
Takukuru msiwafumbie macho hao komaeni nao
 
Endelea kushusha nondo mwanajukwaa maana huyo mtumishi nasikia ameshapigwa pini.
Wanaodharau nguvu ya mtandao wanakua wanamapungufu kidogo.
Ninakupongeza juhudi zako zimezaa matunda
Hapo bado mkurugenzi wa jiji la Tanga na katibu tawala wawe wanafanya kazi zao kwa kufuata sheria bila shuruti
Kwahali hiyo nadhani mkurugenzi na wahusika wengine wapo likizo na ofisi zimefungwa.
Fedheha kubwa sana hii kwa nchi

Hali ya Tanga bado kiutawala haipo vizuri ni bora Mh. Rais ainusuru Tanga
 
Back
Top Bottom