takukuru

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Khadija Mtalame

    What's the Tofauti between POLISI na TAKUKURU?

    What's the Tofauti between POLISI na TAKUKURU? Maana Kila kitu anafanya TAKUKURU, mtu mpaka kagombana na mkewe TAKUKURU! Naombeni majibu
  2. M

    Ajira za TAKUKURU walitoa majibu?

    Waungwana naomba kujua mdogo wangu aliombaga ajira takukuru hivi walishatoaga au bado maana ilkua kimya mpaka leo?
  3. mirindimo

    Upigaji Uyui: Waziri Mkuu ashangazwa kibanda cha Mlinzi VETA kujengwa kwa Tsh. milioni 11, aagiza waliyosimamia ujenzi kukamatwa

    Tozo ilivyojenga ofisi ya 11,000,000, unaambiwa ni ofisi ya kisasa zaidi. - Waziri Mkuu Majaliwa akiwa ziarani Wilayani Uyui, Tabora amekagua ujenzi wa Chuo kipya cha VETA na ameonesha kutoridhishwa na gharama za ujenzi wa kibanda cha Mlinzi ambacho ujenzi wake ni Tsh. Milioni 11 “TAKUKURU...
  4. Z

    Rais Samia chukua hatua dhidi ya TAKUKURU; Wanatumia taarifa za rushwa kwa manufaa binafsi

    Ukiangalia mtandao wa TAKUKURU kuna njia nyingi za mawasiliano ambazo wanazitaja kama njia mojawapo ya kutoa taarifa za siri kuhusiana na rushwa/ufisadi. Tumefanya majaribio tukiwa watu watatu kwa kuwapa taarifa tofauti nne; tatu zikieleza matatizo ya rushwa ktk idara za serikali na moja ndani...
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    USHUHUDA:- Jinsi Mesenja wa benki alivyowazidi akili mashushushu wa Takukuru, na polisi

    Hiki ni kisa Cha kweli kabisa kilichotokea miaka ya nyuma NCHINI KENYA NA WALA SIO TANZANIA Miaka kadhaa nyuma kulikuwa na utawala mbovu sana, ubadhirifu, wizi, hujuma na ufisadi ulitamalaki nchi nzima, kule kwa shangazi yangu Kenya Kuna benki ambayo ilikuwa ikimilikiwa na serikali lakini...
  6. JanguKamaJangu

    Mtuhumiwa wa Ufisadi atinga TAKUKURU na gari la Jeshi

    Ukurasa wa mbele wa Gazeti la Raia Mwema la Leo Jumatano ya Agosti 24, 2022
  7. B

    DOKEZO Mawasiliano na TAKUKURU

    Mtaani kwetu Manzese kuna tatizo kubwa la rushwa. Yawezekana wengine mkaliona dogo lakini kwa watu wa chini ni maumivu makubwa iko hivi. Kila mwezi kwenye baadhi ya serikali za mitaa ya kata ya Manzese anakuja mgambo ajiitaye afisa mazingira, na kazi yake kwa kushirikiana watendaji wa mitaa...
  8. saidoo25

    Mamlaka ziko wapi? Waziri Makamba anavunja Sheria za nchi mchana kweupe

    Wakati anaapishwa kuwa Waziri wa Nishati, Januari Makamba aliapa kuilinda na kuitetea Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyowekwa kwa mujibu wa sheria. Pia wakati anakula kiapo cha Maadili ya Viongozi wa Umma aliapa kutotumia cheo chake kutoa upendeleo kwa ndugu yake au rafiki yake...
  9. Boss la DP World

    Nawauliza TAKUKURU: Barbara aliihonga nini hii Kamati ya Maadili?

    Marekebisho: Dhalilisha ndiyo neno sahihi.
  10. M

    TAKUKURU Tanga ingieni kazini dhidi ya wahusika wanaolea mhujumu na kumdharau DPP

    Amani iwe nanyi wanajukwaa Bila kupoteza muda ninaenda kwenye mada. Niliwahi kutoa uzi hapa jukwaani juu ya mtuhumishi aliyetuhumiwa na DPP kwa kesi ya uhujumu lakini ameendelea kushikilia ofisi kama afisaelimu kata. Mwalimu huyo ameenda mbali zaidi kwa kumkaimisha mtumishi mwenzake ofisi...
  11. M

    DCI Kingai anza na Januari Makamba

    DCI mpya Kingai fungua file la uchunguzi dhidi ya tuhuma zinazomkabili Waziri Januari Makamba za kuvunja Sheria za nchi . Fuatilia Kashfa inayoendelea sasa ya kati yake na Kampuni Kubwa ya kuuza gesi ya Taifa gas
  12. M

    SI KWELI Deusdedit Kakokonwa TPA akamatwa nyumbani na begi lenye USD 1,625,800

    Kuna madai kuwa Takukuru wameingia nyumbani kwa Kakoko leo ghafla na kumkuta na begi lenye $1,625,800 taslimu baada ya kusimamishwa kazi jana! Haijulikani hizo alizichota lini, lakini kama ni kweli inawezekana alikuwa akizichota pole pole kwa muda mrefu kidogo na huenda sasa hivi ana...
  13. M

    Ziko kampuni za kuuza gesi za kupikia. Kwanini Serikali inatangaza kampuni moja?

    Kwa Mujibu wa Tovuti ya EWURA hadi Septemba 2020 yapo Makampuni 12 kwanini SERIKALI YA TANZANIA inafanyia promotion kampuni moja inapeleka ujumbe gani kwa wananchi na hizo kampuni nyingine LIST OF LICENSED LPG WHOLESALERS IN TANZANIA AS OF SEPTEMBER 2020 Manjis Logistics Limited of P.O. Box...
  14. S

    TAKUKURU Tanga mnaendeshaje kesi na mtumishi ambae bado ameshikilia ofisi? RAS achunguzwe

    Ninawasalimu wanajukwaa nimatumaini kumekucha salama na mnaendelea na majukumu. Kuna wakati niliandika uzi kuelezea namna ambavyo aliyekua mkurugenzi Tanga jiji alishiriki kuwatuliza Takukuru wasimzonge dada mmoja hivi ambae alifanya ubadhirifu wa mchana kweupe na akawa haogopi. Tena ili...
  15. beth

    Katavi: Idara ya TAMISEMI yalalamikiwa zaidi na Wananchi TAKUKURU

    Malalamiko 57 ya Rushwa yalifikishwa TAKUKURU Mkoani humo kati ya Januari - Machi 2022. Aidha, katika kipindi hicho Malalamiko mengine 4 ambayo hayakuhusisha Rushwa yalipokelewa Uchunguzi wa Majalada 55 bado unaendelea, na Majalada mengine mawili Uchunguzi wake ulikamilika na Watuhumiwa...
  16. beth

    Unazungumziaje Hali ya Rushwa Wilayani Temeke?

    Malalamiko 75 yalipokelewa TAKUKURU kati ya Januari - Machi 2022. Kati ya Malalamiko hayo, 49 yalihusu Rushwa na 26 hayakuhusiana na Rushwa Idara mbalimbali zilizolalamikiwa ni pamoja na Afya, Elimu, Ardhi, Watendaji wa Kata, TANESCO, Mahakama, Bandari, Mamlaka ya Mapato (TRA), Watu Binafsi...
  17. beth

    Hali ya Rushwa Singida: TAMISEMI yaonekana kuwa tatizo, yapokea malalamiko mengi kuliko sekta zote

    Katika Taarifa/Malalamiko 100 yaliyopokelewa na Mamlaka kati ya Januari - Machi 2022, Taarifa 73 zilihusu vitendo vya Rushwa na 27 hazikuhusiana na Rushwa. Malalamiko yalihusu Sekta mbalimbali zikiwemo TAMISEMI (41), Elimu (12), Ardhi (12), Afya (9), Mahakama (6), Mazingira (3), Fedha (03)...
  18. beth

    TAKUKURU mchunguzeni Mkuu wa Wilaya Morogoro, anaitumia ofisi yake vibaya

    SIRI IMEFICHUKA! Kumbe vile vibanda vya wajasiriamali (Wamachinga) katika Soko Kuu la Chifu Kingalu vilivyojengwa na Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Albert Msando kwa kushirikiana na benki fulani, vimegeuzwa mradi wa kupigia pesa na kuiibia serikali? Hatari sana. Itakumbukwa kuwa DC Msando alisema...
  19. K

    TAKUKURU mchunguzeni Mbunge wa Hai, Saashisha Mafuwe

    Mbunge wa Hai SAASHISHA MAFUWE na baadhi ya wajumbe wa chama cha ushirika cha uduru wanatuhumiwa kuongwa kiasi cha shilingi 70,000,000/= na Mrusi aitwaye ALEX au ALTEZA, ili kutengenezea mizengwe muwekezaji wa Makoa Farm Mjerumani aitwaye Elizabeth ili mkataba wake na chama cha ushirika cha...
  20. beth

    Idara za TAMISEMI, Mahakama, Ardhi, Elimu na Afya zaongoza kulalamikiwa Mara

    TAKUKURU Mkoa wa Mara imepokea Malalamiko 139 ndani ya miezi mitatu (Januari - Machi 2022), na Idara zilizolalamikiwa zaidi ni pamoja na TAMISEMI (58), Mahakama (15), Elimu (14), Ardhi (13) na Afya (12) Katika Malalamiko hayo, 106 yalihusu Vitendo vya Rushwa na mengine 33 hayakuhusiana na...
Back
Top Bottom