tajiri

  1. Kwanini Tangu waafrika tupate uhuru Hadi Sasa hakuna nchi Tajiri iliyofanikiwa

    Tatizo ni ngozi? Ubongo? Au tuliumbwa tuwe masikini na Tegemezi? Au hii sehemu Mungu aliiweka kama mashambani pa dunia watu watoke kwingineko waje wapige pesa na kuondoka. Maana Sasa hivi DUNIANI Kila rangi inayoamua kuendelea duniani inaendelea tena faster isipokuwa hii nyeusi rangi ya...
  2. R

    wanaume 100 vs Sokwe 1 haipo fair, Tajiri alie serious akiweka dau nono nakusanya vijana 40 tu, Hatutatoka wote salama ila sokwe atajuta kuzaliwa

    Labda itokee kuwe na mwamuzi lakini vinginevyo hataona mwezi wala jua tena. Kupigana kunahitaji akili sio nguvu tu, Sokwe hana akili kwenye mashambulizi anategemea nguvu pekee. Ni kweli sokwe lina nguvu sana lakini huchoka haraka sana kwa mashambulizi yanayotumia nguvu kubwa bila mpangilio /...
  3. K

    Nakupenda sana mume wangu tajiri wa kusini

    Mume wangu tajiri wa kusini nakupenda sana jamoni yaani bila wewe siwezi kuishi japo wewe ni tajiri ila umeamua kujishusha,kunihudumia,kunilinda na kunijali jamoni wewe ndiyo umenifanya nione thamani ya Maisha tena baada ya kutendwa mume wangu Tajiri wa kusini hivi nimpende nani zaidi yako...
  4. Zijue nchi tajiri za Kiafrika mwaka 2025

    Shirika la fedha duniani limetoa takwimu za mwaka 2025 zikitaja nchi 5 tajiri barani Afrika kwa vigezo vinavyokubalika. BBC swahili news
  5. Kunani kila tajiri anapeleka bus ruti ya Tanga. Au Tanga vigagula vyenu vilikufa, New force ndani ya Tanga

    Zamani ruti ya Tanga ilikuwa ngumu kama ilivyo ruti ya Dar kusini kama si mzaliwa wa huko utoboi. Alianza Abood, anakuja Shabiby na sasa New force nae anapeleka chuma Tanga Dar Tanga. Hizi ruti za mabus zamani ilikuwa kama we ni WA kaskazini ni huko huko ukienda ruti ya Dar Tunduma wakinga na...
  6. PreGE2025 Mbunge Ulanga: Rais Samia ni tajiri sitoacha kumuomba, tutamlipa kwa kura nyingi 2025

    Mbunge wa Jimbo la Ulanga Salim Alaudin Hasham ameeleza yale yote yaliotekelezwa na Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan na kusema pamoja na yote bado hatoacha Kumuomba fedha Rais Samia Kwa ajili ya kutekeleza miradi iliobaki. Salim Alaudin aneyasema hayo mara baada...
  7. Ni dhambi kupromote umasikini misikitini/makanisani

    Adam na Eva waliumbwa na kuwekwa kwenye mazingira ya utoshelevu. Kama haitoshi Mungu aliwawekea akiba kubwa ya Dhahabu (Dhahabu ya Havira) na vito ili viwasaidie watakapoongezeka. Bustani ya Eden hapakuwa mahala pa kimasikini. Eden maana yake ni protected place of pleaseure (Sehemu ya...
  8. Tajiri namba 2 Duniani, Jeff Bezos kuja na Kampuni ya Magari Slate Auto: Wataanza na EV Truck ya $25,000 tu!

    Mmiliki wa Amazon nae sasa kuja na Kampuni yake ya Magari. Kwa kuanza, anakuja na 2 seater Pick-up truck itayouzwa kwa $25k tu. Hii ni bei ndogo kuliko Tesla yoyote iliowahi kuuzwa. Taarifa zaidi za gari kama battery, motor na power hazijawekwa wazi ila sio muda zitakua wazi. Ikumbukwe kwa...
  9. Soko tajiri Duniani ni la Marekani likufuatiwa na la Jumuia ya Ulaya, huko Asia China hakuna kitu

    Hata mashirika makubwa ya ndege Duniani wanakuambia njia yenye pesa ni ya kwenda Marekani au kutoka Marekani, Mfano London to New york, New Delh to New york, Tokyo to New york na kadhalika. Hio ndio njia tajiri inayo yapa mashirika ya ndege pesa. Turudi kwenye bidhaa, producer yoyote Duniani...
  10. Bakhresa tajiri asiyependa camera

    Bwenyenye wa Kitanzania, mtu mwenye ukwasi wa maana Bakhresa hapendi mapicha wala kuonekana ovyo japo ana media kubwa, ana ving' amzi vyake, viwanda na timu ya mpira, ila ni nadra sana kumwona huyo tajiri Bakhresa Bakhresa sijawahi kumwona lakini nimeona matendo yake mema, mfano Kuna kipindi...
  11. L

    Mmiliki wa Manchester United Club Tajiri Duniani Atua Ikulu na Kumuahidi Rais Samia kuitangaza Tanzania Dunia Nzima kukuza Utalii

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu. Huyu Mama ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Ni chaguo la Mungu. Na kwa kuwa ni chaguo la Mungu ,Taifa linaendelea kupata Neema na baraka kila uchao . Siyo jambo dogo wala la kawaida kwa club kubwa na tajiri Duniani na yenye...
  12. Masikini tumebobea katika uchambuzi wa maisha ya tajiri lakini inapokuja upande wetu tukichambuliwa tunasema ni unfair huku tukipoint ni mkono wa mtu.

    🤣habari za tajiri muulize masikini. Utasikia: "Oooh yani mwanaume mzima kama yule anatembela IST" "Oooh ule ukuta hakupaswa kuufanyia vile skimming" "Ooh yani jamaa ana hela ila mke wake anasuka twende kilioni" Yakija maswala yake sasa utasikia ooh mtaani hapa watu wanafuga fisi ndio maana...
  13. Hizi ndio njia tano pekee za kuwa tajiri hapa duniani tajiri yoyote atapitia au amepitia njia moja wapo kati ya hizi.

    Kuna njia 5 tu zinazojulikana ambazo watu wengi duniani (na hapa Tanzania) wamezitumia kufikia utajiri. Hebu tuziangalie moja baada ya nyingine kwa macho ya ukweli: 1. Kurithi Mali Kama ulizaliwa kwenye familia yenye pesa aubkwenu kuna ukwasi wa kutosha basi maisha yako yanaanzia juu. Urithi...
  14. Kada wa CCM Deo Mushi ashinda vita dhidi ya tajiri mtoto wa Ndesamburo uporaji shamba la shule ya msingi Wereni,apewa siku 14 kusalimisha hati feki

    DEo Mushi kada wa Chama cha mapinduzi(CCM)ameshinda vita kubwa dhidi ya tajiri mtoto wa mwanasiasa mkongwe(marehemu)Philemon Ndesamburo aitwaye Thomas Philemon Kiwelu ambaye amekuwa katika jitihada za siku nyingi za kupora eneo la shule ya msingi Wereni iliyopo kata ya Kibosho Magharibi wilaya...
  15. Tajiri wa Pi Network anaomba nimrudishe kazini

    Huyu kijana aliyekuwa anafanya kazi hapa kama operator wa forklift, aliacha ghafla kuja kazini wiki chache zilizopita. Nikafanya jitihada kumtafuta akawa hapokei simu. Baada ya siku kadhaa akanipigia akaniambia anakaribia kuuza coin zake hivyo hafanyi kazi za kimaskini nitafute mtu mwingine...
  16. Kwanini mfumo wa Afya/matibabu Marekani huwa unalalamikiwa sana na raia wao wakati hilo ni taifa tajiri?

    Miaka na miaka sekta ya afya Marekani imekuwa ikilalamikiwa sana kwamba ni ghali sana na inayonyima watu wengi fursa ya matibabu. Hivi karibuni mpaka CEO wa kampuni ya afya alilimwa risasi na kuuwawa na kijana mwenye hasira kali kwa sababu ya kero za bima ya Afya. Inakuaje taifa tajiri lenye...
  17. Tajiri Ufaransa hataki kuondoka nchi maskini

    Emanuel Macron " Tunahitaji kuimarisha urafiki na ushirikiano wetu na Captain Ibrahim Traore wa Burkina Bee huku tukiendelea kumshawishi Ufaransa kujenga Kambi zetu za Kijeshi nchini kwake" Ibrahim Traore " Umekuwa na marafiki wengi Ulaya Kama Canada,USA, Ujerumani, Uingereza tuoneshe ni wapi...
  18. Ommy Dimpoz kamfanya nini Tajiri GSM hadi hivi sasa hawaelewani, kawekwa Benchi na wamekuwa Paka na Panya?

    Mlioko Tanzania tafadhalini si vibaya kama mkatujuza Sisi tulio mbali nanyi katika hili Sakata ambalo limeshika Kasi mno.
  19. R

    Waajiriwa na mnaotafuta ajira hasa za serikalini, mna lipi la kuwaambia wanaosema ajira ni utumwa?

    Ajira ni Utumwa Hakuna Tajiri alieajiriwa Huwezi kurithisha watoto wa ajira
  20. Jinsi ya kuwa Tajiri ndani ya miaka mitano! Tazama hii picha

    How to Become Wealthy in 5 Years Become Financially Educated Learn Money Management Save Money to Invest Invest in Passive Income Sources Network with self-made Rich People Have Mutual Sources of Income
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…