tajiri

  1. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Rostam Azizi anaitumia mbinu Gani kati ya hizi mbili Ili awe Tajiri? ZINGATIA hizi ndo njia mbili kuu za kuwa Tajiri, nje hizo wewe ni kapuku.

    1. Kuibia wananchi uku UKIWA unalindwa na serikali. Mfano kununua ges kwa 2000, kuja kuuza 55000 mpaka 60,000, uku serikali ikiipiga vita matumizi mikaa na kuni zilizotumiwa baba,Babu zako kwa kuleta kampeni ya matumizi ya nisshati safi, uku mitungi ikisambazwa bule kwa bibi na mamako...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Polepole tumia mwanya huu kupiga pesa za Watanzania. Mange aliona fursa akaitumia sasa kawa tajiri

    Watanganyika wana sifa kuu kadhaa zikiwemo hizi: 1. Kusahau mapema 2.Kutokumjua adui au rafiki wa kweli. 3. Kutokujua kuchakata habari (low IQ) 4.Kupenda habari za kuumiza mioyoni mwao. 5. Roho mbaya (roho ya kichawi (furaha yao huja kwa matatizo ya wengine Magufuli alijua hilo nambari 4 na 5...
  3. Superbug

    JamiiForums Tanzania Urusi ni nchi tajiri sana msidanganywe na propaganda

    Ndg wana JF msidanganywe na propaganda za mitandaoni na za magharibi kwamba urusi ni nchi maskini. Ile nchi ni tajiri sana Kwa vipimo vyote vya kiuchumi halafu miji ni mizuri na misafi mno ambayo ni indiketa ya ubora wa maisha. Njoo urusi. Ni sehemu salama sana.
  4. Moha 255

    JamiiForums Tanzania Natafuta tajiri wa kufanyanae kazi ya bolt/uber, asiwe mbabaifu kwasababu mimi sio mbabaifu

    Habari wakuu, poleni na majukumu ya kila siku.. mimi kijana wenu mitiifu Mohammed nipo dar-es-salaam natafuta gari ya kufanyia biashara ya bolt/uber, kwa upande wangu nimekamilika Niko na kila kitu ambacho driver anatakiwa kuwa nacho ikiwemo platform zote za hii industry Hivyo basi Kama yupo...
  5. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha kiswahili cha Henoko (biblia hakipo) na Mtu tajiri zaidi babeli kinauzwa 10,000 Tsh

    Kitabu (softcopy / nakala laini) cha kiswahili cha Henoko (biblia hakipo) na Mtu tajiri zaidi babeli kinauzwa 10,000 Tsh. nicheki +255 0756704145 , kitabu natuma whatsapp au kwa email.
  6. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha kiswahili cha Henoko (biblia hakipo) na Mtu tajiri zaidi babeli kinauzwa 10,000 Tsh

    Kitabu (softcopy / nakala laini) cha kiswahili cha Henoko (biblia hakipo) na Mtu tajiri zaidi babeli kinauzwa 10,000 Tsh. nicheki +255 0756704145 , kitabu natuma whatsapp au kwa email.
  7. Tech Max

    JamiiForums Tanzania kitabu cha kiswahili cha Mtu tajiri zaidi katika Babeli (The richest man in babylon)

    kitabu cha kiswahili cha Mtu tajiri zaidi katika Babeli kitakusaidia kuwa tajiri (The richest man in babylon) kinauzwa kwa bei ya 10,000 Tsh. nicheki 0756704145. -> zijue kanuni fedha kiundani -> zijue siri za matajiri
  8. Penguinelli Cactussini

    JamiiForums Tanzania Nimeandika kitabu cha namna ya kuwa tajiri ila nimekosa pesa ya ku print

    Habari zenu wakuu. Nimetimiza ndoto yangu ya muda mrefu sana ya kuwa mwandishi wa vitabu. Katika vitabu vitatu nilivyoviandika nimeshawishika ku release kitabu kimoja cha “Namna bora ya kuwa tajiri kwa njia nyepesi”. Tatizo limekuja nimekosa hela ya kuki print na pia sina sponsors kwa ajili ya...
  9. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Sunda, tajiri wa madini pale Mererani yuko wapi siku hizi?

    Ukisikiliza kibao cha “Rafiki” kilichoimbwa na Mr. Nice enzi hizo, utasikia akimtaja Sunda. Hakuimbwa kwa bahati mbaya. Huyu jamaa ni miongoni mwa watu walioshika pesa za madini enzi hizo hapo Mererani. Miaka imepita, sijamsikia. Yuki wapi siku hizi? Je, bado ana kibunda kama zamani? RIP...
  10. Doji MD

    JamiiForums Tanzania Kwa mjazano huu wa ndugu, sahau kabisa kuitwa tajiri

    Umefanikiwa kujijengea Nyumba Yako nakigari kidogo tu, unaamua sasa uanze kujiwekeza zaidi kwenye BIASHARA namambo mengine kipato kikue, Upande wapili ndugu wa upande wako naukweni wanaanza kujazana ndani yanyumba Yako, nibora wakutembelee nakutoka lakini wanageuza makazi Yani mpaka binadamu...
  11. figganigga

    JamiiForums Tanzania Hakika Tanzania ni Tajiri hadi maji yanawaka

    Halafu Matajiri wanamuweka Rais wetu mfukoni kwa Gharama ya Bilioni 10 kwa mgongo wa Harambee ili waendelee kuchota maji. Hata hawataki tujue maji yanawaka
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mama Mobeto amnyakua mume wa tajiri Jesca kitambaa cheupe. Ama kweli mashangazi ni hatari

    Yaliyojiri siku za karibuni, Kuna taarifa kwamba mama yake Hamisa Mobeto ambae ni Mama Mobetto amemnyakua bwana/ mume wa boss wa kitambaa cheupe Jesca Kikumbi. Kufuatia mnyakuo huo bi Jesca amedata na kwenda vacation huko Serengeti, Huku akionyesha mwili wake mzuri kwa mavazi ya kuogelea, kitu...
  13. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Nimeghairi kuwa tajiri

    Aah basi Tu nimejikinai nishaona hakuna dalili za kutoboa nimeridhikiwa nimeona niishie level hii hii inanitosha.mahitaji ya msingi ni malazi,mavazi na chakula mengine sitaki tutawasindikiza ndotoni usiku. Maana nimeona wananipa pressure wanadamu kwamba ooh unakunywa pombe huwezi kutajirika...
  14. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Tajiri wa dunia

    Elon Musk is now officially worth $405.6 billion, projected to become the world’s first trillionaire by 2027. Becoming the second wealthiest man in Africans history and worldwide. He is original from South Africa. If nations were determined through wealth , Republic of Elon Musk would be a...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kumbe kuna Timu ilimtaka Jonathan Sowah kwa Mkopo kama ilivyozea huku ikijitamba ni Tajiri na ina Mtu wao huko huko alikotoka Sowah?

    Mwenye nae aliwaambia pamoja na kwamba Mimi ni Mwenzenu na nawapenda mno halafu nimeshawapeni sana Wacherzaji wazuri kwa bure bure ila kwa huyu Jonathan Sowah siwapeni hadi mniingizie Shilingi Bilioni 1 ili inisaidie pia katika Kampeni zangu Mkoa wenye Wanawake wazuri, wepesi Kutongozeka na...
  16. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Tajiri yenu anaeleweka au nije mniuzie hiyo timu?

    Ndugu zangu nadhani mmeona manufaa ya kuniuzia bandari, mnaonaje mkiniuzia na hii timu inayo suasua?
  17. J

    JamiiForums Tanzania Kisa Cha kweli cha Rafiki yangu Tajiri ambaye kwa sasa anaokota Makopo

    Tafadhali naomba usikilize radio yetu hapa kisha add kama favorite Jesus News Radio Leo nataka nikupe kisa cha kweli cha rafiki yangu wa O-level. Mwamba huyu aliyetoka familia ya kawaida kabisa, lakini alikuwa na kiu ya mafanikio isiyo na mfano. Tukiwa shule hakuwa mwanafunzi wa kushika namba...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nasikia Tajiri Kakasirika na kaachia Mzigo wa maana wa Usajili hivyo kuanzia Wiki hii ni Vyuma tu Vinashuka Lawama Kugombana Sports Club

    Wadanganyeni wengine ila siyo Mimi oky?
  19. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Tajiri Temba Watch amchapa risasi kijana huko Kilimanjaro

    ISIDORI Temba yupo kitandani ghorofa na pili Hospital ya rufaa ya Kanda ya KCMC akiendelea na matibabu ya jeraha la risasi analodaiwa kupigwa na mfanyabiashara muuza vifaa vya kielektloniki la Temba Watch lililopo Double Road mjini moshi. mfanyabiashara huyo kwa sasa yupo mikononi mwa polisi...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mainfluensa njaa na uchwara wa Simba SC Wiki nzima walitiuaminisha kuwa Tajiri keshamalizana na Kiungo Conte, mbona sasa keshasinya Yanga SC?

    Halafu kutwa nikiwa nasema hapa kuwa Mo Dewji si Mtu sahihi Simba SC na Simba SC ya sasa imejaa Fools hamniamini.
Back
Top Bottom