Mateso chakubanga
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 649
- 903
Shirika la fedha duniani limetoa takwimu za mwaka 2025 zikitaja nchi 5 tajiri barani Afrika kwa vigezo vinavyokubalika.
BBC swahili news
BBC swahili news
Hahahhahah daah kumbe GDP inahusiana na kuzaliana!!Punguzeni kuzaliana ovyo GDP ipande!
Ndio inashusha?Punguzeni kuzaliana ovyo GDP ipande!
NChi ya mama haimo?Shirika la fedha duniani limetoa takwimu za mwaka 2025 zikitaja nchi 5 tajiri barani Afrika kwa vigezo vinavyokubalika.
BBC swahili news
View attachment 3320608