taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nimewasilisha maoni yangu kupinga marekebisho ya sheria ya ulinzi wa rasimali za Taifa

    Leo kupitia Email ya Kamati Bunge nimetuma maoni yangu kupinga marekebisho ya sheria ya ulinzi wa rasimali za Taifa. Ndugu wana Jamii Forums, ikumbukwe mabadaliko haya yatapelekea kupoka mamlaka ya Wananchi ambayo yanatolewa na Katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania ibara 27 (1) (2) ambayo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ombea Taifa dhidi ya Roho ya uadui na chuki za kidini iliyojidhirisha kupitia issue ya bandari

    Siyo kweli kwamba uwekezaji hauna faida au hasara Kwa mstakabali wa Taifa. Lakini hoja ya bandari imefunua mioyo ya wengi na kuonesha hatari iliyoko katika nchi yetu. Tanzania hatutakuja kupigana vita ya wenyewe eti Kwa sababu ya kisiasa. Ccm Ina nguvu sana kuweza kutawala hata miaka hamsini...
  3. JamiiForums Tanzania Mtu anayepata Uraisi afu anaanza kunawili Usitegemee jambo lolote la maana kwenye Taifa

    Asikwambie Mtu Uongozi ni kitu moja kigumu sana. Uongozi wa aina yoyote ile hata kama una ongoza watu 20 kuna challenges kibao lazima kichwa kiume. Sasa unapokuka ngazi ya uraisi ndiyo balaa zaidi nywele zote kichwani zinaweza kuisha kwa kuwa na majukumu mengi. Cha kushangaza mtu anakuwa...
  4. JamiiForums Tanzania SI KWELI Bibi na Bwana wameondolewa katika nembo ya taifa inayotumika kwenye Podium ya Rais Samia

    Salaaam Wakuu, Nimeona katika sehemu mbalimbali picha zikisambaa zikionesha nembo inayotumika kwenye Podium ya Rais Samia haina bibi na bwana kama ambayo alikuwa anaitumia Rais Magufuli. Hili limekaaje Wakuu tunaomba ufafanuzi. Nembo anayotumia Rais Samia ikiwa haina Bibi na Bwana Nembo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Maudhui ya nyimbo za Taifa HUISHI. Nimeangalia wa Ukraine

    Baadhi ya maneno yaliyopo katika wimbo wa taifa wa Ukraine. " we will lay down soul and body for our freedom " "We will never let anyone be master in our land" "We will stand in a fierce bloody battle,...". Nimeangalia wimbo wa Russia nao maudhui yake yanafanana na tabia zake. Nimeangalia wa...
  6. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti UWT Taifa, Mary Chatanda afurahishwa na kikundi cha Wanawake wanaofuga Ng'ombe

    MWENYEKITI UWT TAIFA NDUGU CHATANDA AFURAHISHWA NA UTEKELEZAJI WA KIKUNDI CHA WANAWAKE WANAOFUGA NG'OMBE WILAYANI MKALAMA Mwenyekiti wa UWT Taifa ndugu Mary Pius Chatanda amefurahishwa na utekelezaji wa mradi wa kikundi Cha wanawake Tunza kilichopo Mkalama Mkoani Singida ambacho kimenufaika na...
  7. JamiiForums Tanzania "‘Kwa Usalama wa Taifa" kichaka cha kunyima uhuru wa kutoa taarifa na kuhabarishwa

    Prof Chachage S Chachage ni kati ya watu waliokuwa mstari wa mbele kwenye kutetea uhuru wa kuongea, kupata taarifa na kuhabarishwa. Suala hili liko wazi kwenye kazi zake ikiwemo Makuadi wa Soko Huria na kazi nyinginezo ambazo ameonesha uhitaji wake wa kuwa na uhuru wa kutoa na kupata taarifa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuna viashiria vikubwa vya uvunjifu wa amani siku zijazo…

    Ndugu wajumbe, Natumia nafasi hii kama raia mtiifu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuwaandikieni nyinyi ikiwa ni sehemu ya wajibu wangu wa kiraia na wa kikatiba (1) Mosi kulinda amani ya nchi (2) Pili Kutoa maoni ya kuleta usitawi kwa nchi yangu (3) kutumia haki yangu ya kikatiba kutoa...
  9. JamiiForums Tanzania Kamata Kamata ya Wakosoaji wa Suala la Bandari: Nani anafuata kukamatwa?

    Jana wamekamatwa Mdude Nyagali na Mwabukusi. Leo kuna tetesi kukamatwa kwa Dr. Slaa tena akiwa nyumbani kwake. Naanza kupata wasiwasi wakosoaji wengi wa suala la bandari watawekwa kolokoloni. Je nani anafuata kukamatwa? Lakini pia hili sio la kwanza kufanyika hata Hayati Magufuli alifanya...
  10. JamiiForums Tanzania Udini na Ukanda ni sumu kwa taifa lolote, Watanzania tujaribu kuizuia

    Habari wanajf. Swala hili linaloendelea mitandaoni watu wakijaribu kulinganisha swala la bandari na udini na Ukanda linazidi kukua. Likiwa kubwa litatoka kwenye mitandao litaanza kulitafuna taifa letu. Nasema ni sumu Kali kwasababu halijawahi kutulizwa kirahisi likianza hasa kwenye nchi za...
  11. JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti UWT Taifa Akagua Ujenzi wa Hospitali Wilaya ya Itigi

    MAKAMU MWENYEKITI UWT TAIFA ZAINAB SHOMARI AKAGUA UJENZI WA HOSPITALI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA ITIGI. Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa, Zainab Shomari ameipongeza Serikali ya awamu ya 6 kwa kutekeleza Mradi wa Ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Itigi iliyopo Kata ya Tambuka reli...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Angalizo kwa bima ya afya ya Taifa! NHIF

    Hawa vijana mliowaweka kwenye hospitali mbalimbali kuhakiki kadi za bima kwa wagonjwa ni kero kubwa mno. Naandika haya kwa masikitiko makubwa kwani hawana customer care nzuri na wanauliza maswali ya kijinga Sana yenye kumkerehesha mgonjwa! Mfano wa swali la Leo hii niliulizwa Kama, "hivi...
  13. JamiiForums Tanzania Je serikali imebadili nembo ya taifa kimyakimya bila kufuata utaratibu wa Kikatiba na kisheria?

    Na Yericko Nyerere Rais wetu Samia anatumia hii nembo ya taifa gani katika nchi ya TANZANIA? Je watu wanaelewa kweli hatari ya jambo hili? Nani katwaa Urais wa Rais Samia? Tunamtaka aliye twaa Urais wa Samia aurejeshe haraka sana! Kwamjibu wa Sheria ya Nembo ya Taifa ya Mwaka 1971 na Katiba...
  14. JamiiForums Tanzania Zama za akina John Okello zimerudi Afrika. Kila taifa linahofia Mapinduzi. Ufisadi ndio kichocheo cha Mapinduzi

    Naona ile miaka ya akina John Okello imerudi Afrika Hofu ya akina John Okello imetanda kila kona Huko kenya kuna hofu kubwa imetanda. Hapa bongo leo imetoka kauli tata. Huko Afrika Magharibi ni utata mtupu. Kila rais anahofu kubwa. Je Afrika inawahitaji akina John Okello?
  15. JamiiForums Tanzania UTATA: Ni muda gani na wapi Rais anatumia Nembo ya Taifa, au Nembo ya Rais, kwenye mimbari?

    Je Serikali imebadili nembo ya taifa kimyakimya bila kufuata utaratibu wa Kikatiba na kisheria? Rais wetu Samia anatumia hii nembo ya taifa gani katika nchi ya TANZANIA? Je, watu wanaelewa kweli hatari ya jambo hili? Nani katwaa Urais wa Rais Samia? Tunamtaka aliyetwaa Urais wa Samia aurejeshe...
  16. JamiiForums Tanzania Nembo kwenye mimbari ya Rais imebadilika?

    Wadau naomba msaada kwenye hii picha hapa. Mbona simuoni Bibi & Bwana? Pia soma > UTATA: Ni muda gani na wapi Rais anatumia Nembo ya Taifa, au Nembo ya Rais, kwenye mimbari?
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania kuwa taifa la watu wekundu

    Kuna hali sijui kama wenzangu wameshaiona. Hali hii inatokana na mabadiliko ya kihistoria na yawezekana na sababu nyengine ambazo ni nje ya uwezo na matakwa yetu. Katika miji mingi ya nchi yetu kwa sasa huwezi kusema kuwa Tanzania ni nchi ya waafrika weusi. Ukitaka watu wa rangi hiyo inabidi...
  18. JamiiForums Tanzania Bunge linawaalika kutoa maoni ya muswada wa kulinda rasilimali za taifa

    Kweli wamedhamiria, mnaalikwa kwenda kutoa maoni juu ya mabadiliko ya sheria mbalimbali kama tangazo linavyoonekana. Miongoni mwa sheria zinazobadilishwa ni 'The natural wealth and resources act". Ni wazi kuwa mabadiliko hayo yanafanyika ili kuhalalisha haramu ya mkataba wa DPW. Kazi kwenu...
  19. JamiiForums Tanzania Iraq yaifungia Telegram Kwa madai ya kuhatarisha 'Usalama wa Taifa'

    Serikali ya Iraq leo Agosti 6, 2023 imetangaza kuwa inasitisha matumizi ya mtandao wa kijamii wa Telegram kote nchini kwa misingi ya kulinda "usalama wa taifa", hali iliyosababisha ukosoaji kutoka kwa vituo vilivyo karibu na mirengo inayoiunga mkono Iran. Huduma hiyo imezuiwa leo ambapo...
  20. JamiiForums Tanzania Wanawake msikate tamaa, mwaka 2018 nilivunja ndoa ya dada yangu. Tuna vijana wa hovyo sana kama taifa

    Wakuu Habari, huu uzi ni wa kuwatia moyo kina Dada walioamua kuachana na wanaume malofa na kuamua kufuata ndoto zao. Ipo hivi; Nina Dada yangu nampenda sana, baada ya kumaliza masomo tukamsisitiza aendelee kupambana na masomo apate kaz nzur, kama wenzake. Akakataa akasema anataka aanze na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…