taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Miaka 20 ijayo Bila hatua stahiki tunaenda kuwa na taifa la watu kati

    Naandika kwa masikitiko sana Nikiangalia vijana wanavyoteketea kwa pombe, ugoro, bangi, sigara Mpaka napata kichefuchefu Unakutana na kijana miaka 19 mpaka 30 hawajulikani Ni vijana au wazee nadiriki kuwaita ni watu kati si wazee si vijana yaani wapo wapo tu sura zimepauka nguvu walizobakiza ni...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania imekuwa nchi ya matukio; hongera CCM kwa kufaulu kujenga Taifa la namna hii

    Wiki chache zilizopita tulishuhudia mjadala mkali kuhusu bandari, baadaye kukaibuka tetesi za rupia kupenyezwa kwa baadhi ya wakazi wa Ufipa ili wajiondoe katika mjadala huu. Dkt. Slaa, Dkt. Nshallah, Mwabukusi, Tundu Lissu, TEC na wananchi wengine wakaendelea kutoa elimu kuhusiana na kile...
  3. JamiiForums Tanzania Jengo la Usalama wa Taifa Urusi lapigwa bomu na drone ya Ukraine

    Dah! Sasa ikiwa usalama wa taifa (FSB) hawapo salama nani mwingine yuko salama....kama mashairi vile ==== A Ukrainian drone hit an FSB building in the city centre of Kursk, Russia, on the morning of 24 September, a source from Ukraine’s Defence Intelligence claims. Source: source of Ukrainska...
  4. JamiiForums Tanzania Mwanariadha Mtanzania Magdalena Shauri aweka Rekodi ya Taifa Berlin Marathon

    Mwanariadha pekee wa Tanzania wa kike, Magdalena Shauri ameshika nafasi ya Tatu na kuweka rekodi ya Taifa kwa kukimbia muda wa 2:18:41 katika mashindano ya berlin Marathon Leo huko Ujerumani. === Assefa clocked 2hr 11min 53sec, more than two minutes ahead of the previous world mark of 2:14:04...
  5. JamiiForums Tanzania Taifa stars, kizazi hiki Cha kuanzia 2000 ndio tumeshuhudia stars bora kuwahi kutokea

    Kuanzishwa 1925 Mchezo wa kwanza Uganda 3-10 Tanganyika Baada ya Muungano 1969 Tanzania 10-1 Kenya Ushindi mkubwa kwenye mechi ya mashindano Tanzania 7-0 somalia,,,jinja Uganda 1/12/1995 na Kampala 1/5/2012.. Kipigo kikubwa .. Tanganyika 8-9 Kenya 1956. Baada ya Muungano Algeria 7-0...
  6. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo hali ya Nishati ya Umeme katika Taifa letu

    Top 10' ya mikoa iliyoongoza kwa matumizi makubwa ya umeme 2022: 1.Dar es Salaam-2,805.9 GWH 2.Pwani-635.7GWH 3.Arusha-413.9 GWH 4.Shinyanga-411.2 GWH 5.Tanga-408.7 GWH 6. Mwanza-344.5 GWH 7. Morogoro-307.5 GWH 8.Dodoma-249.3 GWH 9.Mbeya-231.5GWH 10.Mara-215.1 GWH
  7. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa UWT Taifa amtaka DED Busega ajitafakari

    Mwenyekiti wa UWT Taifa, Mary Chatanda amemtaka Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega, Veronica Vicent kujitafakari juu ya utendakazi wake ndani ya Wilaya hiyo. Chatanda amesema kuwa amesikitishwa na namna ya utendaji kazi wa Mkurugenzi huyo ambavyo hauko vizuri kwenye Halmashauri hiyo...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali ingilieni kati, Yanga inaangamiza taifa

    Mashabiki na wapenzi wengi wa Yanga watapata kisukari kwa utamu wanaoupata kutoka Yanga....hili ni tatizo lidhibitiwe. Lakini pia wale wa upande wa pili Wana kila dalili ya matatizo ya afya ya akili pamoja na makasiriko. Kwa Yanga hii Sasa tunakuwa na taifa la wagonjwa na tatizo ni hii YANGA...
  9. JamiiForums Tanzania Pato la taifa kupitia Sekta ya Bima inatajwa kukua

    Ukuaji wa Pato la Taifa kupitia Sekta ya Bima Nchini inatajwa kukua kwa kipindi cha miaka mitano ambapo mauzo ghafi ya Bima yameongezeka hadi kufikia Trilioni 1.2, ukilinganisha na ongezeko la shilingi Bilioni 691.9, mwaka 2018. Akitoa ufafanuzi wa ongezeko hilo, Kamishna wa Bima kutoka Mamlaka...
  10. JamiiForums Tanzania Ukubwa wa mtu yaani cheo uendane na uzalendo kwa TAIFA. Msitutishe na sheria mbovu mlizotunga

    Sheria nyingi zimetungwa kulinda hadhi za viongozi kama kinga hususan hata wakiwa wapuuzi na majizi yanajitwika heshima na staha wasiyo stahili. Mnataka tuwaite waheshimiwa lakini hakuna hata heshima moja mnayostahili. Mnatumia mamlaka vibaya kukandamiza wananchi wanaohoji na kukosoa. Kuhusu...
  11. JamiiForums Tanzania Mbunge Ngassa - Tunaendelea Kuboresha Huduma za Afya, Kulinda Ustawi wa Taifa

    MBUNGE NGASSA: " TUNAENDELEA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA, KULINDA USTAWI WA TAIFA" "... Uimara wa Taifa unatokana na uimara wa afya za Wananchi. Serikali yetu imeendelea kuwekeza kwa kiwango kikubwa kwenye huduma za afya kwa ajili ya kuhakikisha Taifa Letu linakuwa imara. Tunafarijika kuona...
  12. JamiiForums Tanzania TANESCO ibinafsishwe kwa muwekezaji maana haina tija kwa taifa na msaada kwa Watanzania

    Mada hii ianzishwe maalum kwa manufaa yetu sisi wananchi toachane na bandari ambayo inaweza pia ikawa inatusadia au haitusadii, tuachane na mchakato wa katiba, tujikite kwenye mchakao wa kubinafsisha TANESCO na Shirika la maendeleo la petroli TPDC, uchumi wowote wa nchi duniani unaanza na sekta...
  13. JamiiForums Tanzania Vijana ni Nishati ya Taifa, ila isipotumiwa vizuri Nishati hii inaweza kugeuka Hatari kwa jamii

    Vijana ni Nishati ya Taifa, Wao ni chanzo cha Fahari na Matumaini kwa Nchi husika ila ikitokea Nishati hiyo isipotumiwa Vizuri na kuongozwa kwa Uadilifu, inaweza kuwa hatari kwa jamii. Vijana huathiriwa zaidi na Athari za Ufisadi na Rushwa katika Taifa ikiwemo kukatishwa tamaa kutokana na...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya wimbo wa Taifa kwa matangazo

    Habari ya mchana wakuu. Kuna mahali nimeona tangazo kwenye ukurasa wa kampuni fulani ila audio inayo play ni wimbo wa Taifa la Tanzania. Naomba kufahamu, hii inaruhusiwa kisheria au kuna makatazo yake?
  15. JamiiForums Tanzania Asante Yanga na Simba, klabu zinazo liheshimisha Taifa

    Katika Taifa kuna sera au ksulimbiu au harakati zinazowaunganisha wananchi na kuwa Tsifa moja. Michezo nchini imekuwa mbadala wa siasa kwa sasa hivi. Katika miaka ya karibuni, mpira(football) ni mchezo ambao umewaunganisha wananchi wa Tanzania kwa kiasi kikubwa. Mpira umefanya kitu ambacho...
  16. JamiiForums Tanzania Uongozi UWT Taifa Wanena Mazito "Bahati Ndingo Apewe Kura za Kishindo Jimbo la Mbarali"

    Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania UWT Mary Chatanda akiambatana na Makamu Mwenyekiti Zainab Shomari wakimuombea kura Mgombea wa CCM Jimbo la Mbarali Mkoani Mbeya Bahati Ndingo katika Mkutano wa Hadhara Kata ya Ubaruku. Akizungumza katika Mkutano wa Hadhara ,Mwenyekiti Chatanda amewaomba...
  17. JamiiForums Tanzania Hifadhi ya Taifa Kigosi yafutwa rasmi na kuwa msitu wa hifadhi ya Kigosi

    Kigosi National Park ni Hifadhi ya Taifa iliyokuwa ikimilikiwa na TANAPA. Hifadhi hii imenyofolewa chini ya usimamizi wa TANAPA baada ya kugundulika ina hifadhi kubwa ya dhahabu. Hifadhi iliondelewa kipindi cha Mchengerwa alipokuwa Waziri wa Maliasili na Utalii na kukabidhiwa TFS ambayo ni...
  18. JamiiForums Tanzania 'Mzigo mzito mpe mnyamwezi'. Tumshauri mbinu gani za kulibeba hili zigo zito la nishati ya Taifa letu

    Nishati ndiyo roho ya taifa lo lote. Uchumi na ustawi wa nchi hutegemea upatikanaji wa kutosha na wa bei nafuu wa nishati. Uharibifu wa tabia nchi unatokana kwa kiasi kikubwa na ukataji miti kwa ajili ya kuni na mkaa kwa sababu ya ukosefu wa nishati mbadala ya bei nafuu. Suala la nishati na...
  19. JamiiForums Tanzania Hafla ya Utiaji Saini wa Mikataba ya Uchimbaji wa Makaa ya Mawe Yaliyopo Ludewa Njombe Kati ya Wawekezaji wa Ndani na Shirika la Taifa la Maendeleo

    Serikali imeyataka Makampuni ya Wawekezaji Wazawa ambao wamesaini mikataba ya uchimbaji wa makaa ya mawe Mchuchuma kufanya biashara kwa uadilifu, weledi kwa juhudi ili kifikia malengo yanayo kusudiwa, kuongeza ajira na pato la Taifa hususani dola za Marekani. Hayo yamesemwa na Waziri wa Viwanda...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Saidi Ntibazonkiza (Saido) ndiye mchezaji wa Timu ya Taifa Afcon MZEE KULIKO WOTE

    Mimi nilijua ni rika moja na Feisal Salum . Au basi!!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…