taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. USSR

    JamiiForums Tanzania Mapungufu ya hoja ya mifumo kusomana je, taifa gani mifumo haisomani

    MAPUNGUFU YA HOJA YA POLEPOLE JE NI NCHI GANI MIFUMO HAISOMANI ? NIDA ijitegemee INEC ijitegemee Banki ijitegemee NECTA ijitegemee RITA ijitegemee TRA ijitegemee TUCTA ijitegemee Utumishi Ijitegemee Litakuwa taifa la ajabu sana na kijima. Leo unatumia Google play store kusajili Facebook...
  2. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kama Taifa tumefikishwa hapa kwa sababu ya Lissu.

    Watu wengi akiwamo Nyani Ngabu wanashangaa mambo mengi waliyokuwa wanayasema zamani, leo yanaonekana kama mapya! Nadhani kama taifa tukifanya uchunguzi wa kina tutagundua imekuwaje tumefika hapa tulipo. Kwa mtazamo wangu hali tuliyo nayo leo, inatokana na Tanzania kuwa na mtu anayeitwa Tundu...
  3. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Watanzania Tuiunge CHADEMA kwa nguvu zote, Taifa letu limechezewa sana

    Tafsiri ya INTEGRATION ni kuwa NIDA ipo connected na mfumo wa NEC + CCM maana yake hata mfumo wa migration kwenye passport upo connected , upo connected na mfumo wa Utumishi and likely na mfumo biashara kupitia Brela. Ukisafiri kwenda nje .. ukiweka tu fingerprint...system ya airport inasema...
  4. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Kwa kashfa za Ndugu Polepole, Kikwete ameshakosa uhalali wa kushauri Taifa?

    Kwa kauli ya Ndugu Polepole,kwamba Kikwete ni mmoja wa kundi la wana mtandao wanaokwamisha Taifa na Chama Cha Mapinduzi,je Kikwete anao uhalali tena wa kushauri Taifa? Au wenye uhalali abakie Mzee Warioba na Mzee Butiku!?
  5. U

    JamiiForums Tanzania Kufungua makanisa ya Gwajima ni kuchezea moto unaoweza kuliteketeza taifa

    Assalam alaikum Hatuwezi kuruhusu taifa letu liongozwe na fikra za dini moja au kikundi fulani pekee. Linapokuja suala la taifa, dini zote zina nafasi sawa na heshima sawa. Kitendo cha Gwajima kuishinikiza serikali kwa maneno ya vitisho kwamba asipofunguliwa makanisa yake “atamwaga mchele” ni...
  6. Superbug

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Taifa unaimbwa mwanamama anarekodi video

    Wakati TBC Iko live kuna MWANAMAMA ANAREKODI video Hana utulivu kabisa wenzake wote wametulia yeye anajiselfie hao ndio watu wa ccm wasioogopa hata itifaki ya Taifa.
  7. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Bila kadi na namba ya NIDA huwezi kuuza wala kununua katika serikali ya CCM

    Ukitaka kununua nyumba, kiwanja, shamba, gari na hata kupata ajira au elimu ya juu ni lazima uwe na vitambulisho ikiwemo kadi na namba ya NIDA. Maana yake ni kwamba ukishakua na kadi ya NIDA wewe ni mpiga kura wa CCM utake usitake. Ninakumbuka Ufunuo wa Yohana kuwa siku za mwisho hutaweza...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Asante sana Polepole hili ulilozingumza leo ni zito sana umelisanua Taifa juu ya Chaguzi feki, na vyama feki

    Kwa kweli katika mambo yote aliyoyazungumza Polepole, hili la kwamba CCM ina link ya moja kwa moja na mifumo ya NIDA na Taarifa za mpiga kura kwenye Tume ya Uchaguzi ni zito na zito mno. Kwa sasa hakuna Mtanzania yeyote aliye timamu anayeweza kushiriki chaguzi hizi feki. Huu ujumbe wa Polepole...
  9. ngara23

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa dada wa taifa kati ya Mange Kimambi na Rachel Dangwa?

    Mange alitamba muda mrefu kama mkosoaji asiyejificha ila Kwa Sasa mitandao imejaa Mtanzania anakimbiza aitwaye Rachel Dangwa Rachel Dangwa huyu dada ni hatari anakosoa Kwa lugha chafu, yaani hadi binafsi huwa nashtuka lugha zake Kwa viongozi wa Kisiasa Rachel Dangwa amempiku na amejizolea...
  10. Paul dybala

    JamiiForums Tanzania Jezi zaTaifa stars zinauzwa kiasi gani huko madukani?

    Wakuu,,,samahani kwa alie pitapita huko madukani...jezi ya stars ni Bei Gani?nataka nikaisapoti timu kesho
  11. G

    JamiiForums Tanzania Kama taifa linawategemea hawa, basi tusahau kabisa maendeleo halisi

    Nimefuatilia yanayoendelea hapa nchini kwetu, nimejukuta nikijiuliaza swali, hawa ndio viongozi wa kutuletea watanzania maendeleo tunayoyatamani kama nchi? Kesi ya Lissu bila shaka watu/viongozi wanaotegemewa walikaa wakapanga kumpa kesi ya uhaini ili kumkomesha. Sasa angalia aina ya mashtaka...
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hivi bado kuna mtu anaamini kuwa vyama vya siasa vya upinzani ndio vitaleta mageuzi katika taifa hili?

    Vyama hivi vinavyotumika kama stepping stone ya career za watu, kufanyiana unafiki wao kwa wao, loyalty chalii.., kurubunika, etc Upande wangu, i dont think so.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Ukombozi wa Taifa hili la Tanganyika utakuwa mgumu sana!

    1. Nguvu ya Umma haitakuwepo any time soon. Tu waoga sana wa kufa. Ndiyo maana tunatumia fake IDs 2. Walio kazini serikalini na vinafasi vizuri wanaogopa kupoteza ugali wao....wananyamaza na sIwezi kuwalaumu, they have to survive with their families 3. Wafany biashara wanaogopa kubambikiwa...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Patakuwa na Tetemeko ktk Taifa laku sadikika

    Hali inaonyesha patakuwa na tetemeko na hofu kuu ktk taifa lakusadikika. Wazee wa Taifa hilo watasimama kukabiliana na kesho ya kizazi kijacho. Itakuwa nivita kali isio tumia silaha wala mabomu kulitetea Taifa la kusadikika. Vyombo vya usalama wa Taifa hilo havitoingilia mtifuwano huwo ila...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Dunia au Taifa Inatawaliwa na Nani? Ufunuo wa Deep State

    Dunia au Taifa Inatawaliwa na Nani? Deep State Je, Wanaojua Kila Kitu na Wenye Uwezo Mkubwa Kabisa Duniani Wanafanya Kazi Kwa Siri? Tunapokua, tunafundishwa kuwa viongozi wa kitaifa kama Marais na Waziri Mkuu ndio wenye mamlaka makubwa. Lakini je, hii ni ukweli wote? Imekuwa na misimamo...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sugu: Siyo lazima tuuane ndio tukae mezani, tuzungumze kama Taifa, huo ndio uzalendo

    Akizungumza leo Agosti 20, 2025 kwa njia ya Mtandao, Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi (Sugu) amesema Taifa halitakiwi kuishi kwenye makovu, bali Wadau wanatakiwa kuzungumza kuokoa Taifa kuingia kwenye machafuko.
  17. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Joseph Mbilinyi (Sugu) afunguka mabadiliko wanayoyahitaji, awapongeza pia Askofu Gwajima na Polepole

    Wakuu tusubiri madini kutokea Kanda ya Nyasa hapo saa 7 https://www.youtube.com/watch?v=uKYw8JinUVc === Sugu anabainisha kuwa hadi hakuna hatua zozote zilizochukuliwa licha ya watu kupotea akiwemo Deus Soka na wenzake. Aidha ameeleza kuwa dola imeendelea kuonesha ubabe kwa kufanya mambo...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nauliza tu hivi Polepole angeendelea kuwa Mwenezi CCM Taifa au Balozi wa Cuba haya anayoyafichua sasa Serikalini na CCM alipanga kutuambia lini labda?

    Tafadhali nawaomba mlio nae karibu na kumuunga mno mkono mniulizie hili Swali kisha ama Yeye au Nyie mje Kunijibu.
  19. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole kesho Agosti 21 kuongea na taifa ikiwa maoni yake hayatafanyiwa kazi

    Ni kwamba leo ameongea kiduchu kwa kusisitiza kuwa ni muhimu wenye mamalaka kuacha kushupaza shingo wao ni wadogo kuliko taifa wawe na hofu ya Mungu kwani kundi la mtandao halina nia njema na taifa letu.
  20. R

    JamiiForums Tanzania Kauli Tata kwa Mfariji Mkuu wa Taifa

    by Pdizaina from X Nikikumbuka aliwahi kusema 1. Kwenye mbuga za wanyama kuna madini ya thamani Sana,na Simba wala hali madini. Tukachimbe " 2. Katiba ni kijitabu Tu 3. Hata mkipiga Kura kule kwingine lakini Sisi ndiyo tutakaounda serikali 4. Utekaji ni vijidrama Tu 5. Kifo ni Jambo la kawaida
Back
Top Bottom