taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. OLS

    JamiiForums Tanzania Tukizingatia Exchange, deni la taifa ilibidi lipungue

    Deni la Taifa kwa sasa limepanda kutoka Trilioni 108 mwezi Mei hadi trilioni 116 Mwezi Agost. Hili ni ongezeko la 7.41% ndani ya kipindi cha miezi miwili tu. Deni hili linaweza kunasibishwa na taarifa kuwa exchange rate imezingua, lakini ieleweke kuwa thamani ya shilingi imeimarika kuanzia mwezi...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Deni la taifa limefikia Trilioni 116, Nafasi ya DP World iko wapi? Tuliambiwa mapato yataongezeka hivyo kupunguza deni

    Salaam! Rais Samia na serikali yake walitwambia kuwa ujio wa DP World utaongeza mapato ya serikali kwa kiasi kikubwa na kufadhili budget yetu. Sasa maswali yanakuja je! Ikiwa mapato yameongezeka serikalini,iweje deni likue, kwanini lisilipwe kwa amount kubwa ikibidi limalizwe sababu ya ujio wa...
  3. didy muhenga

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Deni la Taifa lafikia trilion 116

    Tanzania imefikia deni la taifa la trilioni 116 (dola za Marekani bilioni 46.6) hadi Juni 2025, likiongezeka kwa asilimia 1 ukilinganisha na Mei. Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ilieleza kuwa deni la nje linachangia asilimia 70.7 ya jumla, huku deni la umma likiwa sehemu kubwa zaidi kwa asilimia...
  4. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Migodi na Rasilimali za Taifa Wanapewa kina Rostam na CCM, halafu wao wanajengewa Hospitali na Wajerumani

    Mandondocha kwenye hii nchi wapo wengi sana. Mkoani Ruvuma rasilimali adhimu ya Makaa ya Mawe imehodhiwa na Wanamtandao wa CCM chini ya Rostam pamoja na Chama cha Mapinduzi kupitia kampuni yao ya Tujitegemee ambapo wanaiba na kupiga wapendavyo. Haya yakifanyika na Wananchi tukizidi kuwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Maaskofu wa TEC kuomba NOVENA na Rais kukimbilia kikao cha Maimam ni kuligawa Taifa kidini

    Umoja wetu ni TUNU ya Taifa letu. Maaskofu na Watanzania wana hoja katika swala zima la kudai haki. Badala ya Rais na serikali yake kuwasikiliza ili kulinda Umoja wetu yeye ameamua kutugawa kwa kukimbilia kuongea na Maimam. Je anataka tufarakane kidini? Je maimam wanaunga mkono watu kutekwa...
  6. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu vijana kwenye siasa kazi na uaminifu ndiyo itakayokufanya ujulikane na Taifa na si kupiga majungu na upotoshaj mwisho huwa ni kudharauliwa

    Alama ya kijana ni kazi, kijana ni maneno machache kazi nyingi, kijana awe na tamaa ya maendeleo huku anafanya kazi siyo tamaa ya maendeleo huku anakesha anaangalia press za akili mnemba polepole badala apumzishe mwili kwaajili ya KAZI kesho yake. Popote ulipo kijana onyesha upekee kiutendaji...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Vipi lile Disco la Msigwa la jana baada ya Taifa Stars kufungwa na kutolewa lilikuwepo?

    Mnijibu nijue.
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Dodoma leo 23 Agosti, 2025

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika mkoani Dodoma tarehe 23 Agosti, 2025.
  9. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kanisa Katoliki Tanzania: Mkombozi wa Kweli wa Taifa. Leo tumefunga Novena; Tunakesha na Kuomba, kuiombea Tanzania - A Very Powerful Prayer!

    Wanabodi Mimi mwanabodi mwenzenu,pamoja na mambo mengine yote,mimi pia ni Mkristo Mkatoliki, ila Ukatoliki wangu, ni wale Wakatoliki tulioendelea endelea, kwa Lugha ya Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere. Kwa maelekezo ya Baraza la Maaskofu Katoliki la Tanzania, TEC, Kanisa Katoliki Tanzania,na...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wachaga ni Taifa Teule

    Ukikaa ukatafakari sana unagundua Wachaga siyo kabila la kawaida ni Taifa teule. Mungu aliwakusanya watu kutoka sehemu mbalimbali toka Shungwaya Ethiopia, Congo, Cameroon, Uganda, na wengine toka kusini huko umbali hadi Zimbabwe akawakusanya Kilimanjaro. Akawaweka chini ya ule Mlima mkuu...
  11. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa: Madai ya Humphrey Polepole ya kuhujumiwa kwa mifumo ya uchaguzi ni tishio la usalama wa nchi na taifa moja kwa moja. Huu ndio uhaini uhalisi!

    https://youtu.be/Zuf0AQbofZs?si=WeqZpejCIpZYoDR2 IN BRIEF: 1. Dr Wilbroad Peter Slaa ameanza kwa kumshukuru Humphrey Polepole kwa ukiri wake wa kushiriki kuandaa hujuma hizi. Ameomba msamaha kwa taifa na Watanzania wote, nasi tunamsamehe kwa kama ambavyo nasi Mungu wa mbinguni hutusamehe kila...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC mnataka kumsajili huyu Kipa wa Taifa Stars Yakub je, mna uhakika ataweza kumuweka Mkeka Pin Pin Camara au mnataka tu Warogane?

    Mbona tunae tu Kipa mwingine hapo huyo Dogo Abel na nimemuona ni mzuri tena hata kuliko huyu Yakub. Tuwaeleweje?
  13. MjukuWaBabu

    JamiiForums Tanzania Kama Taifa tumefeli pakubwa!

    Title states openly........... Mimi ,wewe, yule na waleee sote TUMEFELI. Mwl. J.K. Nyerere alinukuliwa alisema taifa ni watu, ardhi na utawala Bora. Mimi na wewe kama segment muhimu ktk taifa TUMEFELI PAKUBWA. Nchi hiii hiii hiii ambao Mimi na wewe tumerithishwa na wazee wetu ambao hawakuwa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Watanzania wengi kufurahia Taifa Stars kufungwa na Morocco kinapasa kifikishe ujumbe muhimu sana kwa Samia na CCM

    Sidhani kama imewahi kutokea duniani wananchi wengi kufurahia timu yao kufungwa na timu ya tafa jingine katika mashindano makubwa kama haya ya CHAN. Ni jambo la kipekee ambalo linaonyesha kuna jambo kubwa sana linatotupata Watanzania, na hatua za haraka sana zinatakiwa kulirekebisha. Namsihi...
  15. ngara23

    JamiiForums Tanzania Kwanini Taifa stars haiunganishwi kwenye mfumo wa NIDA ili ishinde Kwa Chama chetu

    Pole alituibia mbinu 1 ya ushindi wa Chama chetu ni kuwa NIDA zote zipo kwenye mfumo wa tume na zimefanya tushinde hata kabla ya uchaguzi Kwanini lakini walisahau kuiunga Taifa stars kwenye huu mfumo ili iwe inaingia uwanjani kucheza ikiwa inaongoza goli 3, na ili iende kuongeza magoli
  16. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Nimepata furaha ya ghafla baada ya Morocco kuwatoa Taifa stars kwenye robo fainali ya CHAN 2024

    Naamini sio mimi tu, tupo wengi, ghafla tu nimepata furaha na faraja kubwa baada ya kushuhudia Taifa stars ikipata kipigo mbele ya Morocco baada ya kuchapwa goli moja kwa bila na kutolewa hatua ya robo fainali ya CHAN 2024. Hata sijui ni kwanini, lakini hii hali imetokea automatic tu. Natamani...
  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Namba za NIDA na Taifa Gas (Kampuni ya Rostam)

    Kutokana na tuhuma alizotoa polepole jana, zimenirudisha nyuma kidogo kiasi cha wiki mbili hivi. Hawa wasambaza gas za Taifa Gas mitungi midogo ambayo wanatoa kwa bei ya offer ghafla saba wanapokupa unaacha namba ya NIDA. Sijajua lengo la NIDA number ni nini na kuna mahusiano katika ya Gas na...
  18. PLOII

    JamiiForums Tanzania Stars imemaliza mwendo taifa limepoteza; Morocco ni Football Brain tugange yajayo, Asanteni Watanzania kwa Sapoti kwa timu yenu

    Kwenye Mada moja kwa moja, Tukubali kuwa kilichotokea leo ni matumizi ya Brain, tukubali tukutae matumizi ya Brain kwa wachezaji wetu ni KIDOGO sana mfano Coach unamtoa Kagoma anaingia SAADUNI (hana anachoweza) badala yake katikati panapwaya ~ Morocco wanasogea kirahisi bila pressure. Clement...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kwa kuwa siasa uchwara zimekithiri michezoni leo naomba Morroco waifungu taifa stars tano bila

    Litakuwa jambo jema sana. Walimu wanaishi vijinini hawana nyumba. Manesi na madaktari wanangaika vijijini kuokoa maisha ya watu. Hakuna anayepewa hata sh tano kama motisha. Leo stars afungwe tano bila
  20. Z

    JamiiForums Tanzania Tukutane uwanja wa Taifa, naaza kuelekea huko nimepiga uzi wangu wa Taifa stars

    Jamani eeeeeee!!!!! twendeni tukapate burudani, twendeni tukaishangilie timu yetu ya Taifa. Leo ni kufa au kupona, Ushindi ni lazima.
Back
Top Bottom