taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. PLOII

    JamiiForums Tanzania Rais wetu kipenzi hujachelewa, rekebisha eneo hili maana hakuna aliyetoka salama

    Habari za Jioni Wadau, Niende kwenye Mada. Binafsi leo naandika thread hii nikiwa na huzuni sana tena sana. Najiuliza maswali mengi kwa hali ilivyo hapa Nchini. Rais alipopata nafasi ya kuongoza nilipata amani na matarajio kuwa ni wakati wa Watanzania kuishi kwa furaha kwenye nchi yao. Hii...
  2. PLOII

    JamiiForums Tanzania Taifa Stars ni timu yetu Fahari yetu; Nina Tickets 1000 Shabiki wa Stars DM nikutumie plus usafiri upo

    Hello Taifa Stars Fans ! Wadau tuna tukio Zito na zuri na uzuri wake ni kwa sababu ya kumtupa Morocco nje ya CHAN2024. Binafsi nimeandaa Tickets 1000 plus Usafiri kwa ajili ya mashabiki lengo ni kushangilia hatuendi kukaa Kwenye viti wala kusinzia. Kwa wale ambao wapo vizuri kiafya maana...
  3. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Vyovyote vile, yakitokea Mabadiliko nchini, hatuna budi kuziunda upya Taasisi zifuatazo ili kuliokoa Taifa na Watu wake

    Kwa mahali tulipofika Tanzania, haijalishi hili litafanikiwa mwaka gani, ila kwa uozo uliopo kwenye hili Taifa na mifumo yake endapo mabadiliko yakitokea, iwe kwa njia halali au zisizo halali, baada ya kuipatia nchi Katiba Mpya, hatuna budi kuzifanyia mabadiliko na kuziunda upya kabisa Taasisi...
  4. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Tuiombee mungu Taifa stars,i vuke salama dhidi ya Morocco! Majirani wanatunanga kweli

    I pray for Taifa star, majirani pamoja na kocha wao wamekuwa na nongwa kweli,naamuru Kamati zote zianze kazi mapema,kwani fedhea haikubaliki kwa dhati kabisa!
  5. ngara23

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania hawaendi uwanjani inapocheza timu ya taifa

    Tanzania tumepata bahati ya ku host mashindano Makubwa ya CHAN 2025 pamoja na Kenya na Uganda Kwa wenzetu Kenya tunaona viwanja vinajaa na TV zinawekwa kwenye maeneo ya wazi, Watu wana hamasa mno Hapa kwetu Tanzania tumeonekana hata kufika watu 10, 000 kwenye uwanja wa kubwa watu 64, 000...
  6. Ubaya Ubwela

    JamiiForums Tanzania Mahakamani:Chadema wasali sala ya kuliombea Taifa iliyotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki

    Wananchi, wanachama na viongozi wa Chadema wakisali sala ya kuiombea Taifa iliyotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania katika ukumbi wa Mahakama ya Kisutu.
  7. Daraja2

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Taifa Stars baadhi acheni uzwazwa

    Jibuni hili swali ; KENYA v/s MOROCCO nani alifungwa ? Acheni kukatisha watu tamaa likiwemo benchi la ufundi. Kama wewe ni mzalendo wa kweli toa maoni yako hapa tutayafanyia kazi "Kama yanatekelezeka" "KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE..................."
  8. M

    JamiiForums Tanzania Neno "Kwa maslahi ya Taifa" ni joka kubwa linaweza kummeza hata anayelifuga

    Hili neno ni neno gumu sana, baya kwa watawala na zuri kwa wananchi wanyonge. Ndio msingi mama wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na almost katiba zote duniani. Neno hili pacha wake anaitwa "Kuilinda Katiba" Ni ngumu sana kumjua mtu hasa anayeilinda katiba. Walinda katiba ni kama...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tunaenda Robo Fainali ya CHAN 2024, ila huu ukweli kuwa Taifa Stars ni DHAIFU lazima usemwe. Kenya na Uganda wako vyema Kiufundi kuliko Sisi

    Kwakuwa hata Ibada ya Katoliki niliyohudhuria hii leo inasema kuhusu Mtume Jeremiah alivyochukiwa na kuadhibiwa kwa kuwa Mkweli hata Mimi GENTAMYCINE kama kawaida yangu ya kuwa Msema Ukweli Maishani na hapa JamiiForums kwa kujiamini kabisa nasema Taifa Stars bado si timu Shindani CHAN 2024...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Huyu Mchezaji wa Taifa Stars PIPINO JR anakimbia kimbia tu Uwanjani hana Tija

    Ni nadra sana kukuta Mchezaji wa Mpira wa Miguu mwenye Matege mabaya kama yake akawa anajua Mpira. Ilitokea bahati tu kwa Marehemu Ramadhan Lenny kuwa nayo na hakika alikuwa na Kipaji cha hali ya Juu hasa katika Nafasi ya Kiungo wa Juu na cha Chini. Hebu upesi sana Kocha Hemed Morocco amtoe...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Tuungane kuliombea taifa letu Tanzania

    Kadiri tunavyokaribia uchaguzi mkuu mwezi Oktoba, ni muhimu kama Watanzania kuungana kwa sala, maombi na mshikamano tukiliombea taifa letu. Tuombe uchaguzi uwe: ✅ Wa amani – Usio na vurugu wala chuki ✅ Wa haki na uwazi – Haki ya kila Mtanzania iheshimiwe ✅ Wa mshikamano na upendo – Kila mmoja...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Washauri wa Mama ni janga la taifa

    Mama pale alipoacha kusikiliza wazalendo na kuanza kumsililiza kikwete na genge lake mashuhuri kama wana mitandao sasa amekuwa mateka. Kibaya zaidi hilo genge hata halimpendi Mama. Wameweka watu kila mahali . Mama kaweka Wanzanzibari ambao wenyewe walivyo wajinga jinga wanaogopa Lissu na...
  13. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunaomba kujua ni wapi alipo baba yetu mkuu wa usalama wa taifa seleman mombo DIGS

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU mtakatifu sana Mkuu wa usalama wa taifa siyo mali ya kikundi flan cha watu bali ni mali ya watanzania wote Kwa kuwa ni mali ya watanzania wote bas tunaomba kujua ni wapi alipo huyu baba yetu kipenz mzee seleman mombo Asanten sana LONDON BOY
  14. Sajo

    JamiiForums Tanzania TBC Taifa (Radio na Televisheni) na magazeti ya serikali kuonesha kwa usawa habari za vyama vyote vya siasa

    Kila baada ya miaka 5 Katiba ya JMT inaeleza kufanyika kwa uchaguzi mkuu hapa nchini ambapo wananchi huchagua Rais, wabunge na Madiwani. Katiba hiyohiyo pia imeelekeza uchaguzi mdogo kufanyika ndani ya kipindi kitachotangazwa na tume ya uchaguzi mara baada ya nafasi ya ugombea kuwa wazi...
  15. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Serikali ikanushe taarifa za taharuki kuhusu mkurugenzi wetu wa idara ya Usalama wa Taifa

    Huko x na instagram kuna watu wanashangikia kifo cha mkurugenzi wa kitengo. Nadhani serikali inapaswa kukanusha ili kuondoa taharuki. Pia wanao shangilia wajitahidi kuzuia furaha yao maana huo si utamaduni wetu. By Ponjoro wa Kinondoni Kwasasa safarini kizimkazi.
  16. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Ilani za vyama zisilazimishwe kisheria KUFUATA dira ya Taifa?

    Taifa liwe na dira ya miaka 50+ ijayo. Ifundishwe KWA Lugha rahisi kuanzia chekechea Hadi kwenye vijiwe vya kahawa mitaani. Kila Chama kilazimishwe kisheria kuandaa Ilani na malengo yake kuonyesha kitawezaje kutufikisha katika dira hiyo. Ni hayo tu Mtumishi Matunduizi
  17. H

    JamiiForums Tanzania Kanisa katoroki kuliomba taifa ni sawa au ulaghai?

    Kwanini wasiwaombee wagongwa mahospitalini,vita ya kongo,vita ya israel na palestina,nk? Mbona waTz mnakuwa mataahira hivi jamani?uzuzu gani huu?wao wenyewe wanaotaka kuombea taifa ndugu na jamaa zao wanaowazunguka wana hali mbaya kiuchumi,afya,nk kwanini wasiwaombee hao? Au wanawaombea...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea kwa Wananchi kususia michezo, ni mgomo wa waziwazi kwa Taifa lao dhidi ya Viongozi

    Hiki kinachoendelea kususiwa kwa Timu ya Taifa na mashabiki ni dhahiri kwamba wananchi wana kinyongo na Taifa lao, sio tu timu ya taifa itafika mpaka kwenye vilabu vya Yanga na Simba. Wajitayalishe kwa hilo; huwezi kumlazimisha mtu afwate siasa ambazo yeye hazipendi na bado ukamnyima haki, na...
  19. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kila Agosti 15 kila mwaka taifa la Congo Brazzaville inasherehekea siku uhuru waliopata mwaka 1960?

    Wakuu ==== Mwaka 1960, Congo-Brazzaville ilipata uhuru kutoka kwa Ufaransa na kupitisha jina la ‘Jamhuri ya Congo’ ambapo Fulbert Youlou alikuwa Rais wake wa kwanza. Mnamo Agosti 15, 1960, Jamhuri ya Kongo, inayojulikana pia kama Congo-Brazzaville, ilipata uhuru wake kutoka kwa Ufaransa...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Ni hatari sana kwa maskini na taifa matajiri wanapokuwa karibu sana na watawala

    Nimesthushwa sana humu jukwaani wanaoshabikia michango inayoitwa ya matajiri kukifadhili chama cha mapinduzi. Ukweli ni kwamba tajiri hata mara moja hata kwa bahati mbaya hajawahi kuwa na mapenzi mema kwa maskini Siku zote huwaza namna ya kumtumikisha na kumakuma huyu maskini hadi tone lake...
Back
Top Bottom