Enzi hizo miaka ya late 80's na earl 90's
kulikuwa na aina za mavazi ambazo almost kima mtu alivaa:D:D
ntazitaja baadhi zingine mtanisaidia malejendari
1. chupi zza kiume ziliitwa VIP, Hii kila mtu aliva ukianika nje unaweza kuondoka na ya dingi
suruali za TOKYO maarufu kama mchelemchele hizi...