Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetangaza tarehe rasmi ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani ambayo ni Oktoba 28, 2020.
Aidha Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetoa ratiba ya wateuzi wa Wagombea kiti cha Rais, Makamu wa Rais, Ubunge na Udiwani utakuwa ni Agosti 25, na...