Wakuu leo tuongee kuhusu mambo ya mpira na ushabiki, kwa kweli kwa maoni yangu hivi club huwa inamuwakilisha nani, tumekua na washabiki wengi sana wa club kuliko washabiki wa timu ya taifa.
Club kama club ni timu za kibiashara ambapo mtu yeyote kutoka sehemu yoyote duniani anaweza kuja kuchezea...