Ubungo Riverside kuna ghorofa inachafua tunu za taifa

Leverage

JF-Expert Member
Jan 25, 2021
1,293
2,000
Mnaopita hii barabara upande wa kushoto kama unaenda Buguruni kuna ghorofa juu ina bendera tatu za taifa. Bendera zile zimechakaa, zimeisha na moja imechanika.

Hii ni kuzalilisha icon ya taifa. Mamlaka husika zifuatilie hili swala. Je ile ni ofisi ya umma au nyumba ya mtu?
 
Tony Laurent

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
2,518
2,000
Bendera zinauzwa. Huenda hawana/hawajatenga bajaeti ya kununua. Au wameamua kupuuzia tu.
 
mikeimani

JF-Expert Member
Jun 20, 2015
3,014
2,000
Mnaopita hii barabara upande wa kushoto kama unaenda Buguruni kuna ghorofa juu ina bendera tatu za taifa. Bendera zile zimechakaa, zimeisha na moja imechanika.
Hii ni kuzalilisha icon ya taifa. Mamlaka husika zifuatilie hili swala. Je ile ni ofisi ya umma au nyumba ya mtu?
Picha ndo kila kitu
 
Mufti Lion

JF-Expert Member
Jul 25, 2013
304
500
Mnaopita hii barabara upande wa kushoto kama unaenda Buguruni kuna ghorofa juu ina bendera tatu za taifa. Bendera zile zimechakaa, zimeisha na moja imechanika.

Hii ni kuzalilisha icon ya taifa. Mamlaka husika zifuatilie hili swala. Je ile ni ofisi ya umma au nyumba ya mtu?
Kuzalilisha ndio nini mkuu? Yani ulishindwa hata kupiga picha?
 
Rusumo one

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
1,547
2,000
Note: Bendera ya taifa haifuliwi, haishonwi na kuchakaa kwake siyo kosa naomba uweke picha watapata ujumbe Kisha watanunua mpya mkubwaa..
 
Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
58,190
2,000
Mnaopita hii barabara upande wa kushoto kama unaenda Buguruni kuna ghorofa juu ina bendera tatu za taifa. Bendera zile zimechakaa, zimeisha na moja imechanika.

Hii ni kuzalilisha icon ya taifa. Mamlaka husika zifuatilie hili swala. Je ile ni ofisi ya umma au nyumba ya mtu?
Bendera chakavu zinawakilisha watu wanaoishi kwenye nyumba za udongo, zisizo na maji ya bomba wala umeme.

Nchi chakavu inapata bendera chakavu.

Fair deal.
 
Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Dec 22, 2017
11,562
2,000
Mnaopita hii barabara upande wa kushoto kama unaenda Buguruni kuna ghorofa juu ina bendera tatu za taifa. Bendera zile zimechakaa, zimeisha na moja imechanika.

Hii ni kuzalilisha icon ya taifa. Mamlaka husika zifuatilie hili swala. Je ile ni ofisi ya umma au nyumba ya mtu?
Hivi mtu inakuaje ana weka hilo libendera kwenye jengo lake alilojenga kwa jasho kubwa?

Hivi inakuaje mtu anaweka bendera au anaita kiongozi yeyote wa serikali au mpumbavu yeyote wa serikali kufanya lolote kwenye jengo lake alilojenga kwa taabu na mateso?

Jengo langu mimi nililojenga kwa jasho langu na shida na mateso:

-Sipangishi office yeyote ya serikali
-Sipangishi ofisi au anything connected to CCM
-Siweki bendera ya Tanzania popote
-Siweki picha ya kiongozi yeyote wa serikali wa sasa wala aliepita popote
-Sitakodishia serikali chochote kwenye jengo langu
-Serikali ilpeleke matako huko ikajitegemee na hela zao zinazonuka sizihitaji
-Watu binafsi,wananchi private kwa jasho lao ndio watakua wateja wangu
-Atakae nilazisha chochote toka serikalini nampeleka mahakamani
-Mahakama za TZ zisipotoa haki nazipeleka mahakama ya East Africa
 
Leverage

JF-Expert Member
Jan 25, 2021
1,293
2,000
Hivi utaratibu wa bendera ya taifa ni lazima ipandishwe SAA 12 asubuhi na kushushwa SAA 12 jioni?
Pale hata ukipita SAA nane usiku zipo tu
 
Pablo Blanco

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
6,716
2,000
Mnaopita hii barabara upande wa kushoto kama unaenda Buguruni kuna ghorofa juu ina bendera tatu za taifa. Bendera zile zimechakaa, zimeisha na moja imechanika.

Hii ni kuzalilisha icon ya taifa. Mamlaka husika zifuatilie hili swala. Je ile ni ofisi ya umma au nyumba ya mtu?
weka picha mzalendo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom