taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Naunga mkono kinidhamu kuachwa kwa Jonas Mkude Taifa Stars, ila kuachwa kipa Mnata na beki Tshabalala sijamwelewa Kocha Ndayiragije

    Ni Mwendawazimu tu pekee ndiyo anaweza Kukuelewa ukisema Kipa wa Yanga Metacha Mnata ( Yanga SC ) na Beki wa Kushoto Mohammed Hussein Zimbwe Jr (Tshabalala ) walistahili Kuachwa (Kutojumuishwa ) katika Kikosi cha Taifa Stars chenye Wachezaji 30 kilichotajwa leo na Kocha Mkuu Ndayiragije. Kama...
  2. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli umelifaa taifa kisiasa na kiuchumi. Sasa ongeza kasi kudhibiti fedha za political vote

    Dkt. John Pombe Magufuli, ni mwamba imara - umefanya mengi mazuri i.e utawala bora, uwajibikaji, miundombinu nk Pamoja na hayo nashauri uangazie sana matumizi ya fedha unazotoa kwa ajili ya mfuko wa self help schemes or political vote. Kwa wasiozifahamu ni kuwa Serikali hutoa:- (a). Fedha za...
  3. Superbug

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa Shule hivi vikao vyenu vya mwisho wa mwaka vina tija kwa Taifa?

    Katika kundi ambalo ni hopeless katika nchi hii kwa mtazamo wangu ni walimu. Hata wakusanyike laki mbili wote nchi nzima watakuja na maazimio hopeless na yasiyo na tija. Jiulize vikao hivi vya kila mwisho wa mwaka na jafo vinatija gani ni ujinga mtupu mkusanyiko wa executives elfu mbili kuja...
  4. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Napendekeza Namungo iwe timu ya Taifa

    Habari wadau..! Binafsi napendekeza Namungo FC ndio hiwe timu ya Taifa .Au wadau mnasemaje??? Na kwa kuwa mheshimiwa waziri hii timu ndio inatokea kule kwake naamini atalifanyia kazi.
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tunapokuwa na taifa ambalao halina utawala unaofuata misingi ya sheria tutafika huko tunakoenda?

    Utawala wa sheria unataka viongozi na raia wa kawaida kuheshimu sheria na kuhakikisha wanafanya shughuli zao na kuishi kama sheria zinavyosema. Ibara ya 13(3) iko wazi kabisa kwamba haki za kiraia au masuala yote yanayohusu haki na au uvunjifu wa haki yataamuriwa na mahakama. Kama katiba...
  6. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Je, kama Taifa tupo salama kuwa na wabunge wenye vyeti feki waliowahi kufukuzwa kazi kwa kufoji?

    Taifa linapokuwa na mkuu wa nchi msemakweli linakuwa ni taifa zuri, maana hamumunyi maneno bali anaweka mambo wazi. Alipokuwa anawaapisha mawaziri wa wa cabinet ya Tanzania mkuu wa nchi yetu alisema kuna mbunge alifukuzwa kazi kwenye paranja la vyeti feki lakini kwa zali la mentali sasa ni...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Huwezi kutawala Taifa kwa hisia, ila kwa hekima

    Hisia nikitu hatari sana moyoni mwa kiongozi. Kiongozi akiwa na hisia Fulani au tawaliwa na hisia moyoni wakati wa maamuzi yake basi mara nyingi maamuzi hayo huwa na athari mbeleni. Hisia nikitu cha hatari kama ilivyo furaha. Ndio maana Una ambia huwezi fanya maamuzi ktk hisia ya furaha au...
  8. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Shirika la Bima la Taifa (NIC) kuna tatizo gani? Mbona hamlipi fedha za watu kwa wakati?

    Mimi ni mfanyakazi wa taasisi X ya umma hapa Shinyanga... Nilichukua bima ya elimu (Education Provider With Profit) kwa ajili ya ada ya watoto wangu hapa tawi la NIC - Shinyanga yenye thamani ya Tshs 7,500,000 kwa makato ya Tshs. 62,500 kila mwezi kwa miaka kumi (10) tangu mwaka 2010... Bima...
  9. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Watanzania Taifa letu lipo kwenye muelekeo mzuri, hatuna budi kulitakia mema Taifa letu

    Ninasikitika sana ninapoona watu hawalitakii mema Taifa lao. Hivi hamjui kuwa tunaelekea pazuri? Kwa nini ubeze mradi kama SGR, JNHP au barabara na miundo mbinu inayoimarishwa? Jamani naomba mtambue, kuna kipindi kama Taifa, tulianguka ndio maana tunashuhudia mambo ya kimaendeleo ambayo...
  10. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Ungependa Serikali ifanye nini kuongeza chachu ya maendeleo ya watu na Taifa?

    Natamani kuona mawazo chanya ya watanzania wakipendekeza nini kingefanyika ili kikidhi matarajio ya ndoto zao na za Taifa. Hapa tuongelee maendeleo/Uchumi, mambo ya kampeni za siasa tuweke pembeni. Kama hoja inahusu mkoa/eneo fulani litaje. Binafsi napendekeza; 1. Vijana wetu wanao maliza...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Serikali ipige marufuku mara moja hizi pyramid schemes kama Q-NET na kamari nyinginezo kwani zinaliathiri Taifa na kuua nguvu kazi ya Taifa

    Kila uchao watanzania wanaumizwa na ghilba zilizobeba miradi hii haram kuwa watapata maisha bora! Ilianza DECI, watu wakakimbilia kama nyumbu. Hadi leo wamekuwa mafukara. Ikaja sasa Q-NET mara FOREVERLIVING, MR KUKU pia ziko kamari lukuki hivi sasa, bila kusahau MIKOPO UMIZA mitaani. Wengi...
  12. Leslie Mbena

    JamiiForums Tanzania Nani aliyetukosea; Je, aliyeshindwa kuapa au wale waliosaini mikataba iliyogharimu taifa letu. Je, ni Mzumbe University au Dar es Salaam University?

    NANI ALIYETUKOSEA,JE ALIYESHINDWA KUAPA AU WALE WALIOSAINI MIKATABA ILIYOGHARIMU TAIFA LETU,JE NI MZUMBE UNIVERSITY AU DAR ES SALAAM UNIVERSITY!? Leo 18:30hrs 11/12/2020 I really admire Mzumbe University,ina miaka 20 toka ilipobadilishwa Institute of Development Management (IDM Mzumbe) hadi...
  13. Trubarg

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maabara ya Taifa ya Afya(NPHL) boresheni haya

    Maabara ya Taifa inajihusisha na kufanya tafiti pamoja na upimaji wa magonjwa ya mlipuko Kama Corona n.k. Kipindi hi Cha Corona ndiyo wanaohusika na kupima wagonjwa na wasio wagonjwa. Msafiri yeyote anayetaka kutoka nje ya nchi hairuhusiwi kupanda ndege mpaka awe na Cheti kutoka kwa Hawa jamaa...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Lema na Familia yake kupewa Asylum Canada kinaashiria Taifa limeanza kutengeneza wakimbizi wa kisiasa, jambo ambalo halina afya

    Upo umuhimu wa wasomi na wataalam wetu kuliangalia hili suala kwa macho mapana na kuishauri serikali. Tusione Canada wanatoa hifadhi kwa Watanzania tukakaa kimya, tujiulize tumefikaje hapa? Ikumbuke kwa mujibu wa sheria za kimataifa ukimbizi ni hadhi unayopata baada ya wataalam kukaa na...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Tujadili matumizi ya V8 katika Taifa letu

    Kutumbuliwa kwa Mkurugenzi wa Geita kumeibua mjadala kuhusu kiongozi gani anapaswa kumiliki au kutembelea gani. Hoja kuu inatokana na kile kinachoelezwa kuwa V8 si anasa kwa wakurugenzi na wamekuwa wakitumia gari hizi kwa miaka kadhaa sasa. Hi hoja ilipowasilishwa Bungeni wakati wa Spika...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu muhimu kwa Taifa wanajitenga na siasa Tanzania?

    Duniani wanasiasa ni mchanganyiko wa makundi ya watu waliopo kwenye jamii, kukosekana kwa makundi haya nikukosekana kwa washauri wazuri ndani ya Bunge. Bunge linapaswa liwe na wastaafu wa Jeshi la Wananchi hasa senior officials, senior Government official wa aina ya Mkuchika, wafanyabiashara...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Gari la zaidi ya milioni 400, na chaguzi za marudio zilizotokana na watu kuunga mkono juhudi, kipi kimetia Taifa hasara kubwa zaidi?

    Wakati baadhi ya watu wakisifu na kupongeza hatua ya Mkurugenzi wa Halmshauri ya Geita kusimamishwa kazi kwa kununua gari lenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 400, binafsi najiuliza kati ya hilo gari na zile chaguzi za kuunga mikono juhudi, kipi kimetia Taifa hasara kubwa zaidi? Jimbo...
  18. 5

    JamiiForums Tanzania Majibu Kwa Tundu Lissu - Imeandikwa na Janeth Rithe Katibu wa Uenezi Taifa ACT Wazalendo

    Imeandikwa na Janeth Rithe, Katibu wa Uenezi Taifa ACT Wazalendo. Nimesoma maoni ya Ndg. Tundu Lissu kuhusu Uamuzi wa chama cha ACT Wazalendo kuingia katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar. Ninaheshimu sana maoni yake na tunachukulia kwa uzito mkubwa ukosoaji wake kwa maamuzi ya vikao vya...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Wizi huu wa Benki sio mzuri kwa Taifa

    Rafiki yangu mmoja mwenye asili ya India anapata shida kupata pesa zake. Kaka yake diaspora Canada kamtumia $100,000 wanunue mabasi ya biashara ya familia. Pesa ikaingia mwezi wa kumi alipoenda akaambiwa kwasababu ya uchaguzi wana wasiwasi hivyo pesa haitakuwepo mpaka baada ya uchaguzi. Mwezi...
  20. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuwe makini tunapojadili mustakabali wa Taifa letu, tusiruhusu hisia mbaya zitutawale

    Kama kuna taifa ambalo Mungu amelibaliki ni taifa la Tanzania. Maana udini na ukabila ni vitu ambavyo havina nafasi kabisa. Naongea maisha ambayo ni uhalisia wa maisha yetu sisi watanzania. Ukisoma na mtu awe na dini au kabila tofauti huyo anakuwa ndugu yako. Mimi najua kila mtanzania...
Back
Top Bottom