taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. Ifahamu Wizara ya Usalama wa taifa ya China na majukumu yake kwa nchi hiyo kubwa Duniani

    https://www.youtube.com/watch?v=j1UH7Yn6gSg Hii ni makala ya pili inozungumzia nchi ambazo zina wizara kamili inoshughulikia Usalama wa taifa. Wiki ilopita nilizungumzia umuhimu wa raisi ajae kufikiria kuanzisha wizara ya Usalama wa taifa ambayo itashughulikia usalama wa nchi na mipaka yake na...
  2. P

    Tetesi: Rais Mfute Kazi Suleiman Abubakr Mombo Mara Moja

    Kwa video zinazoendelea kuwekwa na Dada Mange zikionesha utajiri usiendana na Kipato cha Dgis Mombo na Familia yake. Nashauri Rais Samia Tengua uteuzi wa Mombo mara moja. Leo kuna video ya Hidaya Binti wa Mombo akichezea Dola laki 3 takribani milioni 800 za Tanzania taslim na akiwanyooshea...
  3. JENEZA LA TAIFA : Riwaya bora ya Kiswahili

    Wakuu nimeonelea kushare nanyi riwaya hii Bora kutoka kwa mwandishi mahiri wa maabdishi bunifu aitwaye Maundu Mwingizi. Mwandishi wa riwaya hii anaisimulia kupitia ukurasa wake wa Facebook uitwao #Maundu Mwingizi. JENEZA LA TAIFA: [Riwaya iliyoshinda Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya...
  4. Siku hazirudi Nyuma : Kile Kizazi cha Dhahabu cha Team ya Taifa ya Cameroon

    Mfululizo wa Makala zangu za SIKU HAZIRUDI NYUMA. Hapa namaanisha kile kikosi Shababy kabisa cha Cameroon. Mguu wa shingo mguu wa Roho. “golden generation” ya Cameroon iliyotikisa dunia kwenye Kombe la Dunia 1990 (Italia) wakati wa Roger Milla na wenzake. Hicho ndicho kikosi kinachokumbukwa...
  5. Mashabiki DRC wang'oa viti Uwanjani baada ya timu ya taifa kufungwa na Senegal

    Mashabiki wa DR Congo wameharibu Uwanja wao kwa kuvunja na kurusha viti baada ya timu ya taifa kushindiliwa mabao 3-2 na Simba wakali toka hifadhi ndogo ya Wanyama ya Teranga Senegal nyumbani kwao. DR Congo walikuwa wakiongoza 2-0 kabla bao hizo mbili kuchomolewa kisha wakafungwa na jingine...
  6. Kwanini Pacome haitwi tena kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Ivory Coast?

    Kuna watu wamempigia chapuo huyu Pacome, mara sijui anastahili uMVP mara hivi, cha kushangaza huyu jamaa aliitwa timu ya taifa kwa mara ya kwanza katika mazingira ya kutatanisha akiwa majeruhi baada ya hapo kwishnehi, hatusikii tena hizo habari. Ametoka katika msimu ambao mashabiki maandazi...
  7. Taifa stars (kichwa cha mwendawazimu ), Haina makocha bali inawahuni tu na wapiga ramli chonganishi

    Benchi la Taifa stars kichwa cha mwendawazimu, limejaa uswahili Swahili mwingi , watu kama Julio kiwhelu , Juma Mgunda na Hemed Morocco hawafai kuwa hata wafua jezi wa timu ya Taifa .. Hao ni wahuni tu , ujuaji mwingi lakini maarifa sifuri...!!Kocha mkuu amejaa kiburi kisicho na faida , na...
  8. Taarifa Kutoka Taifa Group Kuhusu Shutuma Za TANCOAL

  9. Hili la kufungia mitandao ni hatari kwa usalama wa Taifa

    Narudia tena hakuna hatari kubwa kiusalama Kama watu kuzibwa midomo. Hakuna hatari kubwa Sana kwenye usalama wa Taifa Kama watu kukosa platform na kuanza kuwasiliana kwa code. Mlianza na Twitter, mkaja kupunguza uwezo wa kufanya kazi kwa Facebook na Instagram na tiktok. Sasa mnaifungia jamii...
  10. Mzee pekee mwenye uhalali wa kushauri na kuliokoa Taifa la Tanzania ni Mstaafu Joseph Sinde Warioba

    Mwenye uhalali wa kulikosoa na kulisahihisha Taifa kwa sasa ni Mzee Joseph Sinde Warioba kwa maana hafungamani na mtu yeyote, chama chochote na koleo anaita koleo na kijiko anakiita kijiko, Mungu akupe maisha marefu Mzee Warioba.
  11. Mtihani wa taifa wa somo la mahusiano mwaka 2025

    MTIHANI WA TAIFA WA SOMO LA MAHUSIANO MWAKA 2025. JIBU MASWALI YOTE. Kulia inaruhusiwa kwenye chumba cha mtihani. 😂 1. Umekuwa kwenye mahusiano na mtu kwa miaka (5) mitano lakini ghafla amekuacha na ameenda kuoana na mtu mwingine. Piga hesabu ya muda uliopoteza. (Maksi 15) 2. Umenunua zawadi...
  12. Mtihani wa taifa wa somo la mahusiano mwaka 2025

    MTIHANI WA TAIFA WASOMO LA MAHUSIANO MWAKA 2025. JIBU MASWALI YOTE. Kulia inaruhusiwa kwenye chumba cha mtihani. 😂 1. Umekuwa kwenye mahusiano na mtu kwa miaka (5) mitano lakini ghafla amekuacha na ameenda kuoana na mtu mwingine. Piga hesabu ya muda uliopoteza. (Maksi 15) 2. Umenunua zawadi...
  13. K

    Kosa kubwa la Polepole ni kuongelea CCM kuliko taifa

    Kosa kubwa la Polepole ni kuongelea CCM kuliko taifa. Kama kwa nyakati hizi unaongelea kumwaga oil ya CCM na kupuuza utekaji, haki na demokrasia kwa ujumla wake utakosa watu wa kukusikiliza. CCM pamoja na kujigamba hawafiki hata 50% ya Watanzania. Chadema wanasikika kwasababu wanaongelea mambo...
  14. Ninachoona kwenye Parade ya China Aisee! Kama taifa na bara tupo nyuma sana

    Kupitia maonesho ya hii parade ya wachina kutimiza miaka 80 toka vita vya pili vya dunia baada ya kumnyuka Japan. Kama taifa la Tanzania na bara zima la Afrika tujitafakari kidogo kwa kweli tupo nyuma kiulinzi. Kwa hizi silaha wachina walizo amua kutuonesha japo nina mashaka kama wameonesha...
  15. Hoja za Mange na Polepole si za kubeza kama taifa tujitathimini kwa kinachoendelea

    Sasa hivi kila mkoa na wilaya wakuu wa wilaya sijajua ni maagizo au vipi wana kundi la vijana wanaita jeshi la akiba hao vijana wanapatiwa mafunzo ya kijeshi kabisa na wakufunzi wa jeshi sasa sote tunajua jeshi la akiba ni migambo na wanatambulika sasa hili kundi la vijana walikusanywa na kupewa...
  16. “JKT Ni Roho ya Taifa, Sio Biashara ya Wachache”

    Makala ya Kwanza: Wakati tunaasisi Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), sikuliona kama sehemu ya kuuza ajira. Sikuliwaza kama mlango wa kuingilia kwenye mishahara au fursa binafsi. Nililiona kama darasa la taifa, mahali ambapo vijana wa Kitanzania wote wangejifunza uzalendo, mshikamano, na kazi za...
  17. JKT ni roho ya Taifa, siyo biashara ya wachache

    Wakati tunaasisi Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), sikuliona kama sehemu ya kuuza ajira. Sikuliwaza kama mlango wa kuingilia kwenye mishahara au fursa binafsi. Nililiona kama darasa la taifa, mahali ambapo vijana wa Kitanzania wote wangejifunza uzalendo, mshikamano, na kazi za kujenga nchi yao. JKT...
  18. Tulipofikia kama Taifa

    Hawa vijana wamekamatwa wakibomoa mabango ya mgombea Urais wa CCM, wanaiba mbao wanaenda kuuza kama kuni. Baada ya kukamatwa majibu ya huyu mmoja yameniacha na mshangao. Yani ameshajikatia tamaa na maisha. Yupo tayari kwa lolote. Je, Nini kimesababisha hali hii? A). Malezi mabovu ya wazazi B)...
  19. si kweli kuwa Nigeria ndio taifa lililoelimika zaidi barani Afrika

    Mnano agosti 24 2025 kumekuwa a chapisho ambalo linasambaa kwenye mitandao ya kijamii hasa facebook likieleza kuwa taifa la Nigeria ndio taifa ambalo limeelika zaidi huku likifuatiwa na mataifa kadha wa kadha barani afrika …. kando na halo chapisho hilo linasomeka kuwa nchi zilizoelimika zaidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…