taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. CHAGOSI GERALD

    JamiiForums Tanzania 14. Tatizo la JKT si vijana waliopelekwa huko - tatizo ni taifa lililoamua kuigeuza JKT kuwa kaburi la ndoto zake lenye bendera juu

    Unajua tofauti kati ya JKT ya Mwalimu na hii ya sasa? JKT ya mwalimu ilikuwa sehemu ya kuishi, kufanya kazi, kujenga taifa, kuwa mtu huru mwenye taaluma na hadhi. JKT ya sasa ni sehemu ya kubana pumzi, kufukuza akili na kurudisha mtu kijijini akiwa amechoka zaidi kuliko alivyoingia. Na ndiyo...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kuichukia na kuilaani taifa stars kuelekea AFCON

    Binafsi kwa sasa sijivunii utanzania hivyo jambo lolote linalo ihusu Tanzania kama taifa naliombea mabaya. Naanzia mashindo ya AFCON. MUNGU naiombea Tanzania isipate hata goli moja bali vipigo vitakatifu kwa mechi zote AMINA.
  3. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda kuiongoza Taifa Stars AFCON 2025 nchini Morocco

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda ndiye ataongoza msafara wa Tanzania katika Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) zitakazofanyika Morocco kuanzia Desemba 21, mwaka huu hadi Januari 18, mwakani. Hilo limethibitishwa leo na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na...
  4. Mgeni wa Jiji

    JamiiForums Tanzania Vazi moja la taifa, matamanio yasiyoweza kufikika

    Salamu wana JF Hii mada ya vazi la taifa ni miongoni mwa mada zinazoonesha namna gani hatupendi kukubaliana na ukweli wa mambo sisi kama watanzania. Ukweli ni kwamba kama taifa lenye zaidi ya makabila 120 haiwezekani kuea na vazi moja la taifa tena tukabaki kuzingatia tamaduni zetu. Ni vipi...
  5. Damaso

    JamiiForums Tanzania Goli la Mama, lakini Kombe halionekani: Taifa Stars Kati ya Ahadi na Kampeni

    Kauli ya Serikali kwamba “goli la mama lipo… safari hii tutavunja rekodi” imeamsha mjadala mzito miongoni mwa wadau wa soka nchini. Wakati fainali za AFCON zikikaribia Desemba 21, 2025, matumaini yanapandishwa juu kupitia kauli tamu, zawadi nono na misafara ya wajumbe. Lakini swali la msingi...
  6. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Mfalme ‘akiuawa’ huwa inachukua muda mrefu sana Taifa kupona

    Mwaka 235 A.D kule Roma aliuwawa Kaisari aitwaye Severus Alexander. Aliuwawa kwa hila za majasusi wake waitwao The Praetorian Guard ambao walikuwa ndiyo kikosi cha ulinzi na ujasusi cha watawala wa Roma. Mtu ulikuwa huwezi kutawala Roma bila kutumia hichi kikosi. Makaisari wa Roma walikuwa...
  7. Foffana

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti ipi kati ya Deni la Taifa na Deni la serikali wasomi tupeni elimu

    Tupeni tofauti yake na sisi tuwape elimu tulio nao mitaani huku Manyanza zitto junior MALCOM LUMUMBA Kiranga
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kuigiza vitu, CCM inaenda kulipeleka Taifa shimoni

    HIi serikali ya CCM ni waigizaji wazuri sana, mfano wanajiridhisha kwa kusema maandamano ya jana hakufanyika sababu Vijana hawataki kuandamana huku walijaza Askari kila sehemu. Jibu lake watu hawakuandamana sababu Askari walijaa kila sehemu, maana yake walipata muda wa kubadilisha mawazo na...
  9. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hawatoshi kutufanya vijana tukavuruga Taifa letu

    Habari zenu wazalendo na wale wasiokuwa wazalendo!!? Naamini mpo salama kabisa. Sasa ipo hivi, vijana tunapenda sana mabadiliko. Lakini pamoja na kuhitaji mabadiliko, hatuhitaji kuvuruga nchi yetu kupata mabadiliko hayo. Hatuhitaji wanaharakati uchwara kutupeleka kwenye mabadiliko...
  10. Cyclopedia

    JamiiForums Tanzania Maandamano Yenye Tija kwa Taifa

    Kibinafsi sikuunga mkono maandamano ya D9 kwa sababu zifuatazo: 1: Niliamini hakuna atakayeweza kutatua yale yote tuyatakayo ikiwepo samia kujiuzuru. 2: Mfumo uliopo sasa unaipa nguvu CCM kufanya walitakalo tena bila kupingwa hivyo kuandamana ni sawa na kazi bure kikubwa ni ku-risk maisha...
  11. L

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia ameshinda, Watanzania wameshinda Taifa limevuka na Maadui zetu wameaibika vibaya sana

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Rais Samia ni Mshindi katika Vita hii ya kulilinda Taifa letu dhidi ya maadui zetu. Rais Samia ameibuka kidedea kwa mara nyingine tena kama ilivyo kawaida yake ,Rais Samia amewaunganisha Watanzania dhidi ya maadui zetu, Rais Samia Amewapa ujasiri watanzania wa...
  12. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuadhimisha miaka 64 ya uhuru wa Tanganyika tukiwa LOCKDOWN ni ishara tosha hakuna uhuru, tunabinyana tu kulinda maslahi yenu

    Nina uchungu nalia hakika Leo hii angekuwepo Nyerere Angelia mara mia ya Mimi. Kitendo Cha kusherekea uhuru wa miaka 64 paspo kwa kufungiwa ndani ni UPUMBAVU wa Hali ya juu mno. Tunajiuliza tunapumzika Ili iweje? Nauliza Kuna maana Gani ya uhuru ENDAPO tunaazimisha siku muhimu kama Leo paspo...
  13. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Karibu Jamiiforums tena — mijadala irudi, hoja zijadiliwe, Taifa lijengwe. 🇹🇿✍🏽

    Hongera Jamiiforums Kurudi Hewani Ushindi wa Uhuru wa Kujieleza 👏👏👏 Nawapongeza kwa dhati uongozi wa Jamiiforums kwa ujasiri, uvumilivu na ukomavu mkubwa mliouonesha katika kipindi chote ambacho mtandao huu pendwa ulifungiwa leseni ya uendeshaji. Pamoja na kupewa nafasi ya kukata rufaa...
  14. A

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nini CCM wanachokitaka kwenye taifa hili?

    Kuna kitu nimekuwa nikifikiria sana, na kila nikirudi kwenye hoja ile ile, naendelea kuona kwamba mengi tunayoyasikia sasa ni propaganda tu—njia ya kutafuta uungwaji mkono kutoka kwa watu wasiopenda kuchambua mambo kwa undani. Kabla ya maandamano, Watanzania tulisema wazi kabisa: Tunataka...
  15. Replica

    JamiiForums Tanzania Netflix yaridhia kuinunua Warner Bros kwa $ 72bn, inalipa deni lote la Taifa na bajeti ya mwaka mmoja juu

    Netflix imekubali kuinunua kampuni ya filamu na kurusha maudhui ya Warner Bros Discovery kwa dola za kimarekani Bilioni 72. Netflix ameibuka kinara wa zabuni ya kuinunua Warner Bros baada ya kuwapiku washindani wake Comcast na Paramount Skydance baada ya vita kali. Tume ya ushindani ikipitisha...
  16. uhuruborn

    JamiiForums Tanzania Uongozi Uliochoka na Taifa Lililogawanyika: Uchambuzi wa Kiuchumi, Kisiasa, na Kijamii wa Hali ya Tanzania

    Katika historia ya mataifa, kuna vipindi ambavyo misingi ya utawala imara huonekana kufifia, taasisi zikaishiwa nguvu, na kauli za viongozi zikaanza kutengeneza mipasuko ndani ya jamii badala ya kuijenga. Tanzania, katika miaka ya karibuni, imeingia katika kipindi cha aina hiyo kipindi ambacho...
  17. digba sowey

    JamiiForums Tanzania Bada ya ukombozi D9, Kama Uganda wasivyompa heshima Idd Amin Dada,nashauri Samia na awamu yake isikumbukwe,mabaya yake yasimuliwe vizazi na vizazi.

    Wakuu hamjambo!!? Huku tukielekea kwenye maandamano ya amani D9 nikiwa naamini awamu hii nduli Samia anaenda kuondoka kabisa, nashauri rais wa awamu ijayo na kama taifa hatupaswi kumtambua huyu Samia kama rais aliye wahi kuitawala Tanganyika kutoka na unajisi wa nchi yetu alioufanya...
  18. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Samia anapigana na watanzania inamaana anaenda kupigana na taifa lake kwa kusudi la kulinda taifa lake hiyo D9

    Samia anapigana na watanzania inamaana anaenda kupigana na taifa lake kwa kusudi la kulinda taifa lake hiyo D9. Kweli washauri wake ni akina kingwendu.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Tunaelekea wapi kama taifa?

    Mama ana mengi ya kusema kuhusu nchi yetu na viongozi wa serikali hii. Msikilize hapa chini: https://youtu.be/z7VCFPIZqJk
  20. CHAGOSI GERALD

    JamiiForums Tanzania 7 JKT kama mama wa uchumi - mfumo uliyoua uwezo wa taifa kwa makusudi”

    Hapa tunafungua ukurasa ambao mfumo haujawahi kutaka uandikwe. Hapa ndipo roho ya JKT inajitokeza kama mzimu wa baba aliyenyang’anywa ardhi yake na majambazi halafu akaitiwa polisi ati ni kelele anapiga. Karibu. JKT Ilipangwa Kuwa “Uchumi wa Taifa kwa Ujumla”, Sio Idara ya Parade. JKT...
Back
Top Bottom