Ukikaa ukatafakari sana unagundua Wachaga siyo kabila la kawaida ni Taifa teule.
Mungu aliwakusanya watu kutoka sehemu mbalimbali toka Shungwaya Ethiopia, Congo, Cameroon, Uganda, na wengine toka kusini huko umbali hadi Zimbabwe akawakusanya Kilimanjaro.
Akawaweka chini ya ule Mlima mkuu...