YASIYOSEMWA
Member
- Jun 1, 2026
- 68
- 149
Kuna Muda unaweza kujilaumu Sana Kwa Nini?umepoteza Muda mwingi kusoma hii elimu tuliyoachiwa na mkoloni...
Kama MTU ana master's degree na Ni winga kariakooo Au afisa ubashiri Yani mkamalia,au Ni mwanamtandao I mean Content creator elimu Kuna Shida Mahali
Vijana ndo nguvu kazi YA TAIFA lakini vijana ambao Ni Zaidi YA 75% Ni wachuuzi na Hakuna productions then tuko proud kabisa utasikia nafata mzigo China au uturuki...
Lini tutakuwa na viwanda vyetu hata vya nguo tu ambavyo vingezalisha ajira ZA kutosha na pia thamani YA pamba ingepanda..mnyororo wa thamani ungekuwa mkubwa tungepuza Adha YA vijana kujaza mikeka YA betting kwenye wallet zao mpaka suruali zinashuka wanaonekana hawana nidhamu TUamke kama TAIFA Sera ziwezeshe viwanda vidogodogo vya wazawa..
Vitu Kama Sabuni,mafuta YA kupaka na kupikia KWELI TUMESHINDWA KUWAWEZESHA VIJANA WAZALISHE NA TULINDE SOKO ILI WAUZE NDANI Kwa population tuliyonayo kweli?