taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maoni ya Mwananchi akimjibu Dkt Rioba, tunatokaje hapa kama taifa? Haya yafanyike

    1. Achia watu waliotekwa. 2. Achia watu waliofunguliwa kesi za kijinga. 3. Weka katiba mpya yenye matakwa ya sasa. 4. Acha kulilia mali kuliko uhai wa watu. 5. Ongea lugha ya kuridhiana sio lugha ya kutishiana ubabe na kujiona kuwa wewe ni wewe. 6. Ruhusu uhuru wa vyombo vya habari...
  2. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Dini ni Nguvu ya Taifa: Tuseme Hapana kwa Mauaji

    Katika kipindi hiki ambacho Tanzania inapitia changamoto mbalimbali za kijamii na kiutawala, ni muhimu sana kurejea kwenye misingi yetu kama taifa lenye amani, utu na heshima. Njia zinazotaka kutumika kwa sasa katika kushughulikia changamoto hizi hasa zile zenye dalili za ubaguzi au ukandamizaji...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kafara ya taifa ni nini? Is it real?

    Habarini wanajamvi LA jamiiforums Kuna ili Jambi linniwazisha na kunisononesh sana for surer, kafaraa ya taifa in kitu gani? Akina nani in wausika was kutolewa kafara? Msaada wa majawabu tafadhariini
  4. Avith almachius

    JamiiForums Tanzania Natamani sana kuungana na Vijana wenzangu katika kulipambania Taifa ila.....?

    VIJANA wenzangu Kuna mambo yanaendelea na yametokea na yanavunja moyo Sana Tena Sana katika nchi yetu Kama isemavyo Vijana ni TAIFA la kesho Nataman Sana niwe miongoni watakaoibadilisha kwa kulipigania In any means. Ila nashindwa kwasababu Sina mtu atakaekuja na kusimulia baba alifanya ichi na...
  5. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Taifa la Tanzania linahitaji "inner engineers" wakati huu kuliko wakati wowote ule: Tumevuta nguvu hasi " negative energy" kwa kiwango kikubwa sana

    Wapo wapi "Mystic figures" wa Kitanzania wakati huu?. Yapo wapi mafundisho na mafunzo ya kujitambua badala ya kutambulishwa? Wapo wapi watu watakaosaidia wasijua kusudi la uwepo wao kulijua kusudi hilo kama anavyofanya Sdhguru India?. Je tuna tayari wa kuwasikiliza? Wapo wapi watu watakaofunua...
  6. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaribio la kuhatarisha usalama wa taifa lilianza uchaguzi mkuu 2020 idara na mamlaka wakajiona washindi sasa tunavuna matokeo

    Hii idara huenda haipo huwa tunadanganywa kama taifa, inawezekana vipi idara ilishindwa kuona hatari iliyopo wakati wa Uchaguzi Mkuu 2020, then 2024 serikali za mitaa na mwaka huu wakapuuza security alert iliyokuwa imeshaonekana mapema? Hii idara ivunjwe kama ipo kweli maana naona mambo mengine...
  7. Spectophotometer

    JamiiForums Tanzania Matamko, je, yanajenga au kuzidisha ufa? Je, yanaponya au yanazidi kutonesha?

    MATAMKO, JE, YANAJENGA AU KUZIDISHA UFA? JE, YANAPONYA AU YANAZIDI KUTONESHA? NAJARIBU KUTAFAKARI.-TAFAKURI YA SHEIKH SHAMS ELMI. 1. Utangulizi Katika mazingira ambayo Taifa letu linapitia changamoto ya kijamii na kisiasa inayohitaji busara, uzalendo na utulivu, ni muhimu sana kila Taasisi...
  8. Lamomy

    JamiiForums Tanzania Waovu wanapojificha kwenye kichaka cha dini taifa linazidi kuangamia

    Kuna vitu vinachekesha sana..!! 😹😹😹 Hivi lengo la waarabu na wamisionari kuleta dini Africa ilikuwa ni nini? Sheikh, Sharifu Majini (GTH) Sheikh Jongo Masheikh wa Bakatwa Sheikh Mwaipopo Mchungaji Mwamposa Hawa watu wakuu mnawaelewa kweli na matamko yao? Hivi wanaona tunachokiona sisi au...
  9. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Tuheshimiwe kama tunavyowaheshimu mataifa mengine

    "Kama taifa tunapenda tuheshimiwe kama sisi tunavyoheshimu mataifa mengine. Na katika kulinda maslahi ya nchi hakuna mbadala. Ni lazima tuhakikishe tunalinda utu, heshima na uhuru wetu." - Rais Samia Suluhu akihutubia na kufungua Bunge la 13
  10. Inside10

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu Nkwande: Yaliyotokea Oktoba 29 ni fedhea kwa Taifa

    Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Mwanza, Mhashamu Renatus Nkwande amesema kilichotokea Oktoba 29 mwaka huu ni fedhea kwa taifa na kinalishushia taifa heshima iliyojengeka kwa miaka mingi kimataifa. Akizungumza leo kwenye misa ya kuwaombea waliopoteza maisha kwenye vurugu zilizotokea wakati na...
  11. Ninja

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Taifa

    Barua yangu kwa No 1 haikuzingatiwa, nasikitika sana, ona sasa yanayoendelea!, na sasa nakuja kwenu KAMATI na taarifa kutoka kwa ULIMWENGU usioonekana. Sote tunatamani kuwa maovu yote yaliyotokea Tanganyika (Tanzania Bara) yasitokee tena kamwe. Tunatamani mambo yarudi kama zamani. Kwenye...
  12. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Kamishna wa Ustawi wa Jamii Dkt. Nandera Mhando ameongoza kikao cha Kamati tendaji ya Mpango wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake & Watoto

    Kamishna wa Ustawi wa Jamii Dkt. Nandera .E. Mhando ameongoza kikao cha Kamati tendaji ya Mpango wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto Awamu ya Pili (MTAKUWWA II), kilichofanyika tarehe 11 Novemba, 2025 Jijini Dodoma. kikao hicho kilihudhuriwa na wajumbe kutoka Wizara...
  13. BigTall

    JamiiForums Tanzania Kupuuza maoni ya Wananchi Mtandaoni: Hatua ndogo inayoweza kuigharimu Taifa kubwa

    Ripoti ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) iliyochapishwa Julai 2025 inaonyesha kuwa idadi ya watumiaji wa intaneti nchini imefikia milioni 54 kufikia robo ya nne ya Mwaka wa Fedha 2024/2025, hilo ni ongezeko kubwa kutoka milioni 29, Mwaka 2020. Katika kipindi cha miaka minne hiyo...
  14. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mbunge mteule Viti Maalum, Mwanaenzi Hassan Suluhu ala kiapo bungeni tayari kulitumikia Taifa

    Mbunge Mteule wa Viti Maalum Zanzibar Mwanaenzi Hassan Suluhu, leo Novemba 12, 2025 katika Bunge la 13 Mkutano wa kwanza kikao cha pili Jijini Dodoma, amekula kiapo kulitumia Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kikamilifu
  15. B

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi "First Gentleman" wetu!!??

    Waungwana ninashangazwa saana kumuona "Mama" akiwa peke yake mda mwingi na katika ziara zake....vipi ""FG"" wetu masahibu gani yamemkuta? ...sio jambo la kawaida....au ndio yale mambo ya Diamond ya ""Niko salaaama sijui wewe ukoo.....ohooo uku nakula nyama kwa nyama ahaaaa sijui wewe uko"
  16. sizzya007

    JamiiForums Tanzania “Mungu Ibariki Afrika” haifai tena kuwa Wimbo wa Taifa la Tanzania 🇹🇿 (na Afrika kwa ujumla)

    “Mungu Ibariki Afrika” ilitungwa kama wimbo wa matumaini. Wito wa umoja, amani, na hekima miongoni mwa Waafrika waliokuwa wakipigania ukombozi. Lakini leo, zaidi ya nusu karne baadaye, maneno hayo hayana uhalisia katika bara letu. Tunaimba “Hekima, Umoja na Amani” huku viongozi wetu wakiongoza...
  17. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Clemence Mwandambo: IGP na Mkuu wa Usalama wa taifa walitakiwa kuwajibika kwa kujiuzulu nafasi zao

    Mzee Clemence Mwandambo anasema Katika nchi zenye kuwajibika leo hii IGP na Mkuu wa Usalama wa taifa walitakiwa kuwajibika kujiuzulu nafasi zao, waache ofisi wazi waingie wengine. Anaendelea kwa kuongeza kuwa, Huwezi kushughulikia maharage yaliyoungua unamwagia maji kwenye sufuria harufu...
  18. covid 19

    JamiiForums Tanzania Uongo unaangamiza taifa

    Uongo imekuwa siyo tu tabia ya viongozi na serikali imegeuka kuwa sehemu ya maisha yetu. Hii ndiyo sababu tumefika hapa tulipo: taifa likiendeshwa kwa hila na uongo badala ya ukweli. mfano ni huu uchaguzi wa mwaka huu unadhani ulikuwa huru? Tunasema mshindi alishinda kwa kura milioni 32 kati...
  19. Keynez

    JamiiForums Tanzania Sawa mmeshindwa kujizuia kwenda kwenye mamipira, basi hata kusimama kuimba Wimbo wa Taifa?

    Labda mmeshindwa kujizuia kwenda kwenye hayo mamipira yenu. Labda ni addiction mnayoshindwa kuizuia. Labda wengine mnaona ni sehemu ya "kusahau" kwa muda machungu ya maisha. Sawa tunakubali. Ila hata kujiorganize na wote kwa pamoja kusimama wakati mpira unaanza na kuimba Wimbo wa Taifa? Hili...
  20. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Hakuna mtu mwenye nguvu na mamlaka kwenye hili taifa kuliko wananchi

    Hakuna mtu mwenye nguvu na mamlaka kwenye hili taifa kuliko wananchi.
Back
Top Bottom