Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,143
- 10,521
Trump anakwambia bila yeye Iran ilikuwa inaenda kuibananga na kuisambaratisha kabisa Israel.
Vipi Wayahudi wa Nampula, Matuta na Segera, mna nini cha kumuambia Trump!?
Vipi Wayahudi wa Nampula, Matuta na Segera, mna nini cha kumuambia Trump!?