taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Taifa letu limekosa upinzani thabiti, nani atainyoosha CCM?

    Sisi Chadema ndio tumekosa hoja kabisa za kunyoosha na kuikosoa hii CCM ya wakandamizi. Act wazalendo ndio wamebakiza mipasho huko Twitter na kwa ujumla wameunga juhudi. Sisi Chadema hatuna mwelekeo wa kisiasa kabisa. Sioni ajenda au mkakati wa kupambana na Ccm zaidi ya kuwa washabiki wa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Masanja Mkandamizaji: Watu ooh! Mama anasafiri sana. Ulitaka asafiri babaako?

    Kauli hii ya kifedhuli ameitoa Masanja Mkandamizaji alipopewa nafasi ya kuburudisha leo hii mbele ya mamilioni ya Watanzania na wana-Afirika Mashariki kwa ujumla, waliokuwa wanafuatilia sherehe za Uhuru wa Tanganyika kupitia runinga. Kauli hii inawabeza Watanzania wenye moyo wa kuipenda nchi...
  3. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kuonesha zana na silaha za kijeshi mbele ya umma sio kuweka hadharani siri za taifa letu kwa maadui?

    Sijawahi kuona taifa kama Usa au United Kingdom wakionyesha zana na siraha zao za kivita hadharani. Nashangaa sana kwa nchi za Africa na taifa letu kuonyesha zana za kivita hadharani. Je, huku sio kuweka hadharani taarifa na siri za kijeshi za taifa letu na kuwapa mwanya maadui wetu?
  4. John safar tour

    JamiiForums Tanzania Itanigharimu kiasi gani kutalii katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti?

    ITANIGHARIMU KIASI GANI KUTALII KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI? Napenda kuchukua nafasi hii kutoa ufafanuzi kwa wale wanaotamani kwenda kutalii lakini hawajui itawagharimu shilingi ngapi. Gharama ya kutalii mara nyingi inabadirika kutegemeana na sababu mbalimbali kama vile... Kampuni...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais Samia zuia mazao kwenda nje ya nchi, njaa inalinyemelea Taifa

    Mh. Ukiachilia mbali mfumuko wa bei wa ajabu kuwahi kutokea,,,nakuomba zuia mazao kwenda nje ya nchi ulinisuru Taifa na njaa,,mvua zimegoma kunyesha mahindi na mpunga vimeanza kupandishwa bei kiholela.Mh.nakuomba simama na wananchi angalau kwa hili njaa itakuletea mgogoro mkubwa katika utawala...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Taifa la watu wajinga likikosa au likifichwa taarifa/habari, hugeuka kuwa taifa la watu wapumbavu

    Kabla sijaandika lolote kuhusiana na hii mada, niseme tu tuvumiliane kwa matumizi ya neno "wapumbavu " kwani hilo si tusi na hata Baba wa Taifa alikuwa akilitumia inapobidi. Tukirudi kwenye mada, kuna Taifa fulani huko kusini mwa bara la Afrika limedhihirisha pasipo shaka kuwa, watu wajinga...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akiwa na kitukuu cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere

    SSH amemtembelea Mama Maria Nyerere leo nyumbani kwake leo December 6,2021
  8. SubTopic

    JamiiForums Tanzania Maoni: Tuwape Wachambuzi wa soka wafundishe timu ya taifa

    Tanzania tuna wachambuzi wa soka wazuri sana na inavyoonekana mpira wanaujua vizuri tu,sasa kwanini tusiwape timu ya taifa ili waifundishe?Maana ukiwasikiliza baada ya mechi wanakueleza kocha alikosea wapi na kama angetumia mbinu Fulani angepata matokeo chanya. Naamini kwa pamoja wakiunganisha...
  9. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole kuongea Star Tv saa 3:30 usiku

    Nimealikwa na Star ⭐️ TV nimekubali kwa sharti moja kwamba Mjadala ujikite katika kujenga na kuweka mbele Maslahi Mapana ya Nchi yetu! NB: Ukitaka kujua NB ya leo fuatilia Star ⭐️ TV saa 3:30 Usiku na tutakuwa hewani pia! Mjuze na mwingine! https://t.co/HOoJjoCh4K
  10. T

    JamiiForums Tanzania Nawatafuta wanaosutwa na nafsi zao kwa kulisaliti taifa kwa ushabiki wao kwa chama

    Kama mjuavyo ndugu zanguni wahenga wana msemo wao usemao neno "ningejua huja mwisho wa jambo" Nimetafakari sana hali ya kimaisha inavyoenenda nikaona kabisa iko haja ya kupitia upya mienendo yetu ya ushabiki wa kisiasa. Inavyoonekana licha ya unyeti wa majukumu ya kisiasa tunayowakabidhi...
  11. wakatanta

    JamiiForums Tanzania Mkanganyiko wa kauli ya Mzee Mangula, Rais Samia, Waziri Mwambe na ya Hayati Magufuli inaonyesha Mradi wa Bandari ya Bagamoyo ni ‘White Elephant’

    Huu mkanganyiko wa kauli za hawa viongozi waandamizi wa chama na serikali kuhusu bandari ya Bagamoyo inaonyesha kuna madudu sana ndani ya terms of contract,na hii inatokana na baadhi ya viongozi wachache waliolenga kujinufaisha na mradi huo . Rejea jinsi dharura iliyotumika kupitisha miswaada...
  12. Ze Bulldozer

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa TZS 35BL Ujenzi wa Musoma Airport kumuenzi Baba wa Taifa

    RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ATOA TZS 35BL KUJENGA UWANJA WA "MUSOMA AIRPORT " ILI KUMUENZI HAYATI BABA WA TAIFA KWA VITENDO. Huu ni muonekano wa baadhi ya vifaa vya ujenzi vya mkandarasi Beijing kutoka nchini China ambavyo vinatarajiwa kutumika katika kazi za maboresho ya uwanja wa ndege wa...
  13. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Taifa letu linaharibiwa na watoto wa vigogo wa CCM waliorithiswa madaraka na wazazi wao. Tabia za kulifanya taifa letu la kisulutani inatugharimu

    Kasumba ya chama cha CCM kuwarithisha madaraka watoto wa viongozi inaligharimu taifa letu. Yawezekana huko nyuma wazazi wao walikuwa na uzalendo wa kweli lakini hawa watoto baada ya kuona kuwa siasa inalipa hasa baada ya CCM kuingiwa na na kubadilika kukumbatia ufisadi wazazi wao wakawalithisha...
  14. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kurudisha mabinti waliopata mimba shuleni ni kunyoosha mikono juu na kulikabidhi taifa letu kwa wakoloni mambo leo kwa ajili ya mkopo wa bil 600

    Fikiria binti asiyekuwa na maadili na alipata malezi mabaya akaanza uhuni akiwa na miaka kumi na nne akapata mimba akiwa la sita. Alafu akajifungua kisha akirudi shule akawa anasoma na mabinti ambao hawajawahi kubikiriwa, hatakuwa na ushawishi mbovu kwao ili waonje utamu wa ngono? Tumejustify...
  15. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli na serikali yake hawakumaliza wahuni "anonymous" wanaolisumbua taifa letu

    Ndio maana kila siku tunashuhudia maajabu ya upigaji dili maana kumbe bado kuna wahuni kibao bado wapo. Inawezekana wakatusumbua sana kama taifa hatutakabiliana na wahuni ambao, wanatishia watu maisha, hawalipi kodi, wanazua madili ya kuliibia taifa letu kila kukicha, wanadhulumu wananchi wanyonge.
  16. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Moshi: IGP Sirro ataka Watuhumiwa watendewe haki

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro amesema watuhumiwa wanatakiwa kuheshimiwa na kutendewa haki kama watu wasio na hatia mpaka itakapobainika vinginevyo. IGP Sirro alitoa kauli hiyo jana, wakati akifunga mafunzo yaliyoandaliwa na Shirika la Wanawake la Umoja wa Mataifa (UN-Women)...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Serikali iache mzaha; kuruhusu watoto waliopewa mimba kurudi shule ni anguko la taifa la kesho

    SERIKALI IACHE MZAHA; KURUHUSU WATOTO WALIOPEWA MIMBA KURUDI SHULENI KUSOMA NI ANGUKO LA TAIFA LA KESHO. Anaandika Robert Heriel. Naiomba serikali, viongozi wakubwa msikie Jambo hili, tena msifanye mzaha. Huruma huruma za ajabu ajabu katika baadhi ya ishu ni hatari Kwa ustawi wa taifa...
  18. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Imani ya wananchi kwa Serikali imeshuka tangu Dkt. Magufuli atutoke

    Wananchi wakisikia kuna Tril 1.3 zimekopwa kwa ajili ya kuchochea mdororo wa uchumi ulioletwa na Uviko -19, wanahisi kupigwa tu. Wanajua kuna kizingumkuti namna zitavyotumika. Umeme umekuwa ni tatizo la kukatika katika kila mara, wanahisi, kuna mchongo wa kupigwa kama walivypopigwa huko nyuma...
  19. Mystery

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kubwa Taifa kutimiza miaka 60 ya uhuru wake, linahangaika kuwatafutia wananchi umeme na maji

    Nimekuwa nikijiuliza, hivi kama Taifa tunakwamia wapi? Hivi Tanzania ya leo, ndiyo ihangaike kuwatafutia wananchi wake umeme na maji, baada ya kujitawala toka kwa mkoloni miaka 60 iliyopita? Nchi iliyojaa rasilimali tele, kama vile mito inayotiririka maji mwaka mzima, maziwa matatu makubwa...
  20. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Tujadili uaminifu wa Zitto kwa Taifa letu

    Huyo jamaa amekuwa akijifanya mwana mapinduzi na mfuasi wa sera za Hayati baba wa Taifa letu mzee Julius Lakini ukimtazama kwa matendo yake hakika ni mtu asiye muwazi wa maslahi yake kwa watu/makampuni ambao huwa anawatetea kwa baadhi ya nyakati. Binafsi siuoni uaminifu na uzalendo wa Zitto kwa...
Back
Top Bottom