Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amekataa kumpa fursa Naibu wake kuhutubia taifa katika maadhimisho ya Siku ya Madaraka, Juni Mosi, 2022
Hii ni mara ya kwanza Ruto amekosa kupewa fursa ya kuhutubia taifa tangu Kenyatta alipoingia madarakani mwaka 2013.
Hatua ya Kenyatta imetafsiriwa na raia wa...