Kiongozi UVCCM Taifa, Victoria Mwanziva kushiriki YALI Mandela Washington Fellowship 2022, Marekani

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,895
940
📍 DODOMA

Bungeni 26/05/2022

Mheshimiwa Spika Dkt Tulia Ackson akitambulisha wageni wake ambao ni Vijana wa Kitanzania wanaotarajiwa kwenda nchini Marekani mwezi ujao (June 2022) kwa mafunzo maalumu ya YALI Mandela Washington Fellowship 2022.

Vijana hawa watawakilisha Tanzania katika programu hii itakayounganisha viongozi vijana kutoka Bara la Afrika wote masomoni nchini Marekani kwenye program hii.
Upatikanaji wa vijana hawa ni baada ya usahili uliofanyika chini ya ubalozi wa Marekani kwa kina na kati ya wengi waliojitokeza kuomba nafasi hizi wachache wamefanikiwa kikidhi vigezo vya kushiriki.

Vijana hawa wamefika Bungeni Dodoma wakiongozwa na mshiriki mwenzao Victoria Charles Mwanziva.

#YALI2022
 
Attachments

  • FTrqCEbWQAAYr-2.jpg
    FTrqCEbWQAAYr-2.jpg
    39.6 KB · Views: 31
  • IMG-20220527-WA0003.jpg
    IMG-20220527-WA0003.jpg
    75.8 KB · Views: 29
  • FTsvp_xX0AMoH3Y.jpg
    FTsvp_xX0AMoH3Y.jpg
    9.7 KB · Views: 27
Victoria kamaliza UDSM 2014 ,kwa ccn ni kijana ila kimtaani sio kijana ni mama, alikuwa demu wangu enzi hizo,huyu demu alinishinda sababu za kisiasa yeye CCM mimi upinzani ilikuwa piss kaki enzi hzo ikizingatiwa mama yake anatokea kwa putin na baba yake ni mbongo sasa uzungu mwingi,ila i cherish and remember iur remarkable moments at udsm,God bless you baby
 
Ulikula pazuri

Ova
 
MaUvccm yanaenda kuipiga nchi mnada maana sio majitu ya kuyaamini
Acha wivu boss, nafasi zinatolewa kwa wote, uwe unatembelea account ya Twitter ya US Embassy Tanzania, siku ukikuta wamepost omba na wewe ujaribu bahati yako. Hiyo nafasi haikutokana na nafasi aliyonayo ya UVCCM ila kapambana na ma interview kama wengine.

Anyway, Good luck.
 
Victoria kamaliza UDSM 2014 ,kwa ccn ni kijana ila kimtaani sio kijana ni mama, alikuwa demu wangu enzi hizo,huyu demu alinishinda sababu za kisiasa yeye CCM mimi upinzani ilikuwa piss kaki enzi hzo ikizingatiwa mama yake anatokea kwa putin na baba yake ni mbongo sasa uzungu mwingi,ila i cherish and remember iur remarkable moments at udsm,God bless you baby
Utabutuliwa na personal Assistant wa Aweso !!
 
Back
Top Bottom