taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kafulila: UNDP imetoa orodha ya nchi 54 duniani zilizoelemewa na deni la Taifa. 25 zinatoka Afrika Tanzania haipo, tukope zaidi tujenge Uchumi zaidi

    Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Kafulila kupitia Ukurasa wake wa Instagram amewafunda wanaolalamika Kuhusu ukuaji wa deni la Taifa. Kafulila amesisitiza kama Taifa lazima tukope zaidi ili tujenge uchumi wetu zaidi, Mhe Kafulila anasema hata Japan ambayo ni nchi ya...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Taja sekta ama nyanja ambazo taifa la Tanzania limefanikiwa sana

    Mijadala mingi humu JF ni ya kulalamikia juhudi, mipango na mikakati ya kitaifa inayofanywa na serikali. Watanzania muda wote tunajiona tuko ktk taifa la hovyo na lisilo na jambo jema lolote. Nachotaka kusema hakuna jambo jema ktk sekta yoyote linaloongelewa na watanzania kuhusu taifa lao...
  3. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna vijineno Serikalini hakuna hela, ni kweli…

    Rais aliamua kuwa sehemu ya watu wasiopenda kulipa kodi na ndiyo baadhi yao wanafadhili mitandao ya kijamii kwa kumsifia kuwa anaupiga mwingi. Wakati sasa umefika anajionea yeye mwenyewe ameweka tozo kwa wananchi bado pesa za tozo hazijamsaidia kitu chochote hazijulikani zinaenda kwenye miradi...
  4. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania AIBU: Rais anazindua ujazaji maji Bwawa la JNHP taifa likiwa na mgao wa umeme huku mizengwe kibao ikiwekwa lisikamilike mapema

    ~ Nini kimesababisha bwawa la JHNP lisikamilike kwa wakati? ~ Kwanini aliyekuwa waziri wa nishati kabla ya kutumbuliwa alituhakikishia litakamilika june 2022. ~ Crane za mizengwe za January? ~ Kwanini hawataki kuondoa tatizo la umeme Tanzania? ~ Leo wananchi wengi hawakushuhudia huu uzinduzi...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Utabiri kwa yale yatatokea 2023 fungua macho naombea taifa

    "Watu wangu wana angamia kwa kukosa maarifa na kwa kuwa umeyakataa maarifa na mimi nimekukataa." Hili ndio neno lakutiongoza kama Taifa kuelekea mwaka 2023. Nikwanini Mungu analiambia Taifa juu ya maarifa majibu mnayo kwakuhisi au kwakuwa kile Manisha. Mwaka 2023 ni mwaka wa maarifa ni mwaka...
  6. IBRA wa PILI

    JamiiForums Tanzania Fahamu kisa cha Jasusi John Gweru, Afisa Usalama aliyeikimbia Zimbabwe kwa kuchoka kuua

    Bila Shaka mko poa wakuu yesss twenzetuni uandishi tuvumiliane John gweru alikua Jasusi kutoka nchini Zimbabwe katika shirika la kijasusi la central intelligence organization (CIO). Alikua ni kijana aliependa kufanya kazi za kijasusi bila kujua kama ilikua na kazi ngumu ya ukatili na umwagaji...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia analivusha mwaka Taifa likiwa na umoja na mshikamano wa hali ya juu

    Ndugu zangu Ni kwa Mara nyingine Tena tukiwa tunaelekea kuumaliza Mwaka tunashuhudia Rais wetu mpendwa mama wa Shoka, Jasiri, shupavu, imara, madhubuti, mwenye msimamo usiyoyumba,mcha Mungu, mzalendo, mpenda nchi yake, na mwenye maono ya Mbali Mama Samia Suluhu Hassan akilibeba Taifa letu katika...
  8. Shark

    JamiiForums Tanzania Karim Benzema astaafu Timu ya Taifa

    Karim Benzema has announced his retirement from international football on his 35th birthday, just a day after France suffered a heartbreaking penalty shootout defeat to Argentina in the World Cup final on Sunday. The 2022 Ballon d'Or winner missed the tournament in Qatar with a thigh injury and...
  9. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Rais mstaafu Jakaya Kikwete amehitimisha mapumziko yake kwa kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Serengeti

    Rais Mstaafu Mhe Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amehitimisha mapumziko yake mafupi ya mwisho wa mwaka kwa kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Serengeti. Dkt Kikwete, ambaye ameongozana na Mkewe Mama Salma Kikwete katika ziara hiyo, pia alipata wasaa wa kupita katika Kituo cha Makumbusho ya Bonde la...
  10. Mgalatia123

    JamiiForums Tanzania Ufaransa kujaza watu weusi kwenye timu ya taifa ni kuendeleza utumwa

    Kwanza kabisa nimefurahi Messi kuchukua kombe la dunia. Isingekuwa haki kama huyu mwamba angestaafu bila kuchukua hii ndoo. Poleni timu Ronaldo, mimi nafurahi nikiona mnaumia. Niende kwenye mada husika. Timu ya Ufaransa imejaa wachezaji wa Africa. Nimeona waafrica wengi wakiishabikia Ufaransa...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa Kombe la Dunia wabadili mpango wa Messi kustaafu

    Siku chache baaa ya kuiambia BBC kuwa Michuano ya Kombe la Dunia 2022 itakuwa ya mwisho kwake, Nyota Lionel Messi amebadili uamuzi huo na kueleza kuwa ataendelea kucheza kama Mchezaji wa Mabingwa wa Dunia. Messi mwenye miaka 35 ameshinda Mpira wa Dhahabu na kuwa Mchezaji Bora wa Kombe la Dunia...
  12. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Modric Hajatuachia deni; Hongera kwa Morocco,haijawahi kutokea Taifa kama wao katika ukanda wa CAF

    Luca Modric amehitimisha huduma yake kwa timu ya Taifa ya Croatia. Hakika ameitendea haki jezi hiyo na pia heshima,adamu na ustaarabu wake utakumbukwa daima uwanjani. Tumejionea leo mapenzi ya wapenzi wa mpira kwa FUNDI huyu. Niende moja kwa moja kwenye Mada kuu: Ulitokea mgogoro...
  13. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Mkesha wa VUKA NA CHAKO: Kutoka Uwanja wa Benjamin Mkapa na prophet Boniphace Mwamposa - 16/12/2022

    Bwana Yesu asifiwe? Bila shaka asilimia 70 ya watanzania wamchao Mungu, muda huu wenye tvs watakuwa live kufuatilia kongamano kubwa la VUKA NA CHAKO ikiwa ni maono ya mtumishi Boniphace Mwamposa yenye maudhui ya kuupokea mwaka mpya ukiwa tayari umeshapokea Baraka, uponyaji, Rehema na Mambo...
  14. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Kufanyike uhakiki wa Deni la Taifa

    Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan inaendelea kutekeleza miradi mikubwa ya miundombinu ikiwemo ya reli ya kisasa ya SGR, ujenzi wa bwawa la umeme la Nyerere na barabara za mwendokasi kutoka katikati ya mji wa Dar es Salaam kwenda Mbagala. Hata hivyo serekali ya Rais Samia imeweza kupata...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Mwigulu anasema hakuna Mtanzania atagongewa mlango alipe Deni la Taifa, kwani tozo maana yake nini?

    Mimi ni layman wa uchumi lakini alichoongea leo Mwigulu Nchemba katika kipindi cha 360 Clouds TV ni Doctorial Rubbish, amesema, "Hakuna siku Mtanzania atakwenda kugongewa mlango kwamba sasa atoe mbuzi alipe Deni la Taifa. Na hakuna siku Mtanzania ataambiwa alipe Deni la Taifa atoe mchango...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Morroco ni Taifa la Kiarabu linaloishi Afrika

    Tofauti na "Ngozi nyeusi" wengi tunavyoamini au kuaminishwa, Hakuna mataifa yenye waarabu yalioyo barani africa hupenda kutambuliwa kama waafrika. Haya mataifa hutumia uafrika tu pale kwenye maslahi Yao Fulani Fulani nyeti, Lakini ukweli wanajisikia KINYAA kujitambukisha ni Waafrika. Mafanikio...
  17. MK254

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza Putin hatahutubia taifa kwenye mwisho wa mwaka

    Kuna tetesi nyingi sana jamaa anapitia hali mbaya hata ameshindwa jambo muhimu sana la kuhutubia taifa ambayo ni desturi yake kila mwisho wa mwaka... Vladimir Putin has pulled out of his "giant end of year press conference" this year, a Kremlin official has revealed, sparking rumours that he is...
  18. Msanii

    JamiiForums Tanzania Maridhiano yanayoendelea ni hadaa kwa Taifa. Vyama vijitoe kabla havijakaangwa

    HAKI NA WAJIBU Katiba na sheria vinatoa haki na kila upande yaani raia na dola wana wajibu wa kufana ili sheria itekelezeke. Rais anamsema mtangulizi wake kuhusu utawala wa mabavu na vitisho lakini yeye hajafanya lolote kufuta mabavu hayo anataka maridhiano yaendelee huku akiagiza vyombo vya...
  19. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Kwanini ATCL wanaweza kukodisha ndege likizo hii

    Kampuni ya Air Tanzania (ATCL) inaweza kufikiria kukodisha ndege iwapo mahitaji yataendelea kuzidi uwezo wa shirika hilo, hasa katika msimu wa sikukuu, ambao unachukuliwa kuwa kipindi cha kilele kwa wasafiri wa ndani na nje ya nchi. Hivi karibuni, kumekuwa na hali ya kufadhaika miongoni mwa...
  20. Mystery

    JamiiForums Tanzania Je "kuropoka" Kwa Mzee Yusufu Makamba kwenye Mkutano Mkuu wa CCM uliopita, kunaweza kuleta ukombozi Kwa Taifa letu?

    Mzee wetu Ysufu Makamba, Katibu Mkuu mstaafu wa CCM alitoa kauli yenye ukakasi mkubwa Sana kwenye Mkutano Mkuu uliopita, kuwa eti viongozi wema huwa hawafi na akatolea mfano wa JK na Kinana, kuwa Bado wako hai hadi Leo, Kwa kuwa wamewatendea mema watanzania! Ingawa kauli hiyo Rais wetu Dkt...
Back
Top Bottom