Hawa watu walipaswa kuwa usalama wa Taifa kwenye idara kadhaa

system hacker

JF-Expert Member
Mar 13, 2022
426
706
Usalama wa Taifa ni 'sector' kama zilivyo sector zingine.

Kikubwa ni vitu vitatu vinne vikubwa hivi:

1. Intelligence
2. Usiri
3. Uaminifu
4. Uwezo to make it happen

Mengine ni added advantage.

1. Tundu Lissu - eneo la sheria
2. Peter Kibatala - eneo la sheria
3. Chief-Mkwawa - eneo la Teck
4. paschal Mayalla - trend reading
5. Freeman Mbowe - Leadership
6. system hacker - The motive behind (system hacking)

Kwenye maeneo sio kwamba ni 'wabobezi' ila ina maana ya wafuafiliaji mahiri kwenye maeneo husika.

Endeleza orodha maana wapo wengi, unaweza kujiweka vile unavyojidhani una uwezo extra

Karibu
 
Tundu ni msaliti hawezi kuwa na sifa huyo. Maana kwake kuuza Siri ni jambi rahisi sana. Uaminifu na usiri Hana.

Pia ulitakiwa kuweka kigezo chauzalendo hapo; sema tu kitawa disqualify hao wote uliowataja.
 
Uzalendo hadi uwe CCM?
 
Back
Top Bottom