taharuki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwaka 2022 katika tawi la Kahama Benki ya NMB PLC ilipata hasara ya Tsh. 24 Bilioni kutokana na taratibu mbovu zilizowekwa na Uongozi

    Mimi nikiwa mfanyakazi wa Taasisi hii tangu kipindi ikiwa NBC Bank nasikitishwa sana na yanayoendelea humu ndani, Kwa kuwa haya mambo tumekuwa tukishauri kwa nyakati tofauti na kupuuzwa nimeona ni vyema niyalete humu ili wadau wote wajue yanayoendelea na Uongozi wa Benki Uweze kutupatia majibu...
  2. Lupamba's grandson

    JamiiForums Tanzania Wazazi msipowafuatilia watoto wenu chuo mtajutia mwishoni

    Wazazi na walezi, Tembelea watoto wako wanaosoma vyuo! Hasa hawa walioenda ngazi ya cheti baada ya kumaliza kidato cha nne, wengine wameoa na kuolewa! Binti haingii darasani, anafua na kupika kwa kijana waliyekutana naye chuoni. Kuna ambao pesa ya ada hajalipa anahudumia "mke"! Unaweza fikiri...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Service charges katika maghorofa zazua taharuki

    02 February 2023 Dar es Salaam, Tanzania Waomba mamlaka kuigilia kati, kampuni inayosimamia huduma ya jengo la ghorofa Kuna matatizo ya kuhudumia ghorofa lenye floor 9 ambalo watu wamenunua apartment. Lift hazifanyi kazi, Bill za umeme anayesimamia jengo hapeleki TANESCO, pia service charges...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mazoezi ya kuzuia majanga ya moto yazua taharuki TRA Dodoma, mmoja akimbizwa Hospitali

    Baada ya watu 191 kunusurika kwenye tukio la moto katika jengo la Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), tukio hilo limetajwa kuwa ni mazoezi ya kukabiliana na majanga ya moto. Licha ya kunusurika huko mmoja wa wafanyakazi wa Mamlaka hiyo alikimbizwa katika kituo cha afya cha Makole kupatiwa...
  5. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Taharuki yatokea kijiji cha Narumu, Machame Mashariki baada ya picha zikionesha migomba ikipandwa barabarani

    Viongozi wa serikali akiwemo diwani wa kata ya machame mashariki wafunga safari kwenda kukagua barabara ambayo Inadaiwa kuoteshwa Migomba baada ya kuahidiwa lami. viongozi hao akiwemo engineer wa wilaya baada ya kufika kijijini hapo na kukagua barabara inayodaiwa kuoteshwa Migomba na kukuta...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania China: Vifo vya watu maarufu vyaongeza taharuki kuhusu UVIKO-19

    Wakati China ikiendelea na msimamo wake wa kulegeza masharti ya tahadhari ya UVIKO-19 kwa wasafiri, upande wa pili vifo hivyo vimeendeleza maswali kuhusu uhalisia wa maambukizi ya virusi ilivyo Nchini humo. Baada ya kifo cha mwanamuziki Chu Lanlan (40), hivi karibuni, familia ya msanii huyo...
  7. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza ajiepushe na upindifu wa kimantiki unaoweza kuzaa taharuki ya kijamii bila uhalali

    Bagonza akiwa amemkumbatia Lissu Kwenye Uwanja wa Kayanga, Karagwe, 2020. Kuhusu sababu mojawapo ya uzushi angalia tofauti kati ya urefu wa kidole cha pili na kidole cha nne, ambapo duara A ni vidole vya Mlinzi wa Lissu vikionyesha kidole cha pili kikiwa kifupi kuliko kidole cha nne na duara B...
  8. Webabu

    JamiiForums Tanzania Droni za Iran zaleta taharuki Ukraine

    Mwanzo ilikuwa kama tetesi na mshangao kuwa Iran imeiuzia au imeipa zawadi Urusi droni zake ili zishiriki kuitandika Ukraine.Na hata raisi wa Ukraine mwanzoni alizitaja droni kuwa haziwezi kazi na hazitobadilisha kasi yao ya kuteka miji ya Urusi.Mambo yamebadilika tangu wiki mbili zilizopita...
  9. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania India: Taharuki baada ya wanaume 11 waliombaka mjamzito kuachiwa huru

    Kuachiliwa kwa wafungwa 11 waliokuwa wamehukumiwa kifungo cha maisha kwa ubakaji na mauaji nchini humo kumezusha maandamano, huku mwathiriwa wa ubakaji akitoa wito kwa Serikali kubatilisha uamuzi wake, akisema umetikisa imani yake katika haki Bilkis Bano alikuwa na ujauzito wa miezi mitano...
  10. BigTall

    JamiiForums Tanzania NHIF yazusha taharuki tena licha ya tamko la Waziri, wateja walalamika kutolewa katika huduma

    Maboresho yanayoendelea kufanywa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), yameibua malalamiko na taharuki kwa wanachama, hasa baada ya baadhi ya wategemezi wakiwamo wazazi, kuanza kuondolewa katika mfumo wa matibabu. Taharuki hiyo imeibuka siku moja tangu Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kuagiza...
  11. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Katibu wa CCM wilaya ya hai aunda kamati ya siasa ya muda ya CCM wilaya kimakosa na kusababisha taharuki ndani ya CCM jimbo la Hai

    Huko Hai Kilimanjaro, Katibu wa CCM wilaya ametengeneza kituko cha mwaka ndani ya chama Tawala ccm kwa kuunda Kamati ya muda ya siasa ya ccm wilaya inayotokana na Makatibu wa matawi wa ccm ili kujadili wagombea wa ccm waliochukua fomu kugombea nafasi mbali mbali ndani ya chama. Swali la...
  12. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mgonjwa wa Omicron aripotiwa Tanzania, alazwa Hospitali ya Amana

    Wakati Rais Samia akimpolea Rais wa uganda Yoweri Mseveni uwanja wa ndege jijini Dar kuna taharuki ya kuwepo mgonjwa wa kwanza wa kirusi kipya kilichogunduliwa Afrika ya Kusini siku tatu zilizopita. Mgonjwa huyo Mzungu Rais wa Botwana aliyedaiwa kuingia nchini kutokea mjini Johannesburg Afrika...
  13. Stroke

    JamiiForums Tanzania Mahakama itoe semina maalumu kwa waandishi wa habari namna ya kuripoti habari za kimahakama maana wanapotosha na kuzua taharuki katika jamii

    Ukisoma vichwa vya habari vya magazeti mengi basi unapata picha kwamba Mdee na wenzake wameshashindwa kesi jambo ambalo kitaalam sio sahihi. Sasa wakionekana huko Bungeni wananchi wataanza kuiona serikali kama inafanya ndivyo sivyo. Jambo hili ni hatari kwani upotoshaji ukizidi unageuka kuwa...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Dunia yaingiwa na taharuki wakati maambukizi ya ugonjwa wa monkeypox yakizidi kuongezeka

    Dunia ikiwa bado haijamalizana na janga la COVID-19, ambalo limeondoka na roho nyingi za watu na kukwamisha shughuli nyingi za kiuchumi, sasa kuna taharuki mpya imezuka baada ya Shirika la Afya Duniani (WHO) kutangaza virusi vipya vinavyosababisha ugonjwa wa monkeypox. Monkeypox ni virusi...
  15. Cannabis

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mfuko wenye picha ya simba wazua taharuki kwa wakazi wa kijiji cha Mutiribu

    Wakaazi wa kijiji cha Mutiribu, kaunti ya Meru walipigia simu Huduma ya Wanyama Pori KWS kuja kumnasa ‘simba’ aliyekuwa amejificha kichakani karibu na makazi yao Ila maafisa hao walipofika mahali hapo waligundua kuwa ‘simba’ huyo alikuwa ni mfuko wa Supermarket ya Carrefour. =========...
  16. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Kifo cha raia wa Congo chazua taharuki Brazil

    Polisi nchini Brazil wamewakamata wanaume watatu kuhusiana na mauaji ya kikatili ya mhamiaji wa Congo mjini Rio de Janeiro. Mauaji hayo yaliyonaswa kwenye video yamesababisha ghadhabu ya umma. Jamaa wanasema Moise Kabagambe alishambuliwa baada ya kumtaka bosi wake alipe mshahara anaodaiwa kwa...
  17. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania TCRA: Kipindi cha Shule ya Uongozi cha Humphrey Polepole kinatolewa pasipo kuzingatia misingi, sheria na kanuni za huduma ya utangazaji

    Kamati ya Maudhui ya TCRA imesema kipindi cha Shule ya Uongozi cha Mbunge Humphrey Polepole kinatolewa pasipo kuzingatia misingi, sheria na kanuni za huduma ya utangazaji. Kamati imeongeza kuwa maudhui ya kipindi ni ya upotoshaji na yanayoweza kusababisha taharuki kwa wananchi. Sasa kiki ya...
  18. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Taharuki iliyopo sasa vyuoni kuhusu HESLB

    Ndugu wadau wa elimu habarini za mda huu, Tangu kuanza kwa wiki hii inayoelekea weekend kumetokea na taharuki kubwa kwa vyuo mbalimbali hapa Nchini na inaendelea hadi da huu wanafunzi wengi tuko midomo wazi. Issue iko hivi, baada ya vyuo kufunguliwa na wanafunzi kuanza masomo bodi ya mikopo...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuondoa taharuki kwa wanafunzi wanaokimbia ovyo waonapo wageni au magari shuleni?

    Sasa ni taharuki kwa wanafunzi wa shule za msingi wakiwa shule waonapo wageni au magari yakiingia shuleni basi huanza taharuki na kukimbia ovyo. Taharuki hiyo imesababishwa na wazazi wanaowambia watoto wao kuwa serikali inataka kuwachoma chanjo ya Corona kitu ambacho si sahihi. Wazazi hao...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mbowe na wenzake wanyakuliwa na Polisi usiku wa manane, haijulikani wako kituo gani

    Usiku majira ya saa tisa, Polisi walivamia Hoteli aliyokuwa amefikia Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na wageni wengine pamoja na wenyeji wao. Waliochukuliwa: 1. Freeman Mbowe 2. John Pambalu 3. John Heche 4. Rose Mayemba 5. Masenya(Mwenyekiti BAVICHA Ilemela) 6. Steven Odipo 7. Dr. Rwaitama 8. Seti...
Back
Top Bottom