taharuki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Kauli 6 alizowahi kutoa Mzee wa Upako ambazo zilileta taharuki nchi, anajua kucheza na muda kufanya atrendi

    Habari za asubuhi wakuu. Siku ya jana, Mzee Wa Upako yaani Mchungaji Anthony Lusekelo alitengeneza headlines nchini kufuatia interview alyofanya na Jambo TV Online ambapo alizungumzia upepo wa kisiasa ulivyo nchini ikiwemo ishu za utekaji, ukosoaji unaendelea dhidi ya Rais Samia na mengineyo...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali inahusika na taharuki, ili watu wasijadili mambo muhimu?

    Majasusi wa kiserikali duniani huzua taharuki mashimo yenye miili ya binadamu, watu kunyofoa viungo vya binadamu, pipi kutumika kuteka watoto. Pia kesi ya Deus Soka inatumika kuogopesha raia . Nitafafanua mbeleni Je, kwa hapa kwetu matukio haya nayo yana nasaba hizo hapo juu? Mashirika ya...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Ajira ya Kuzika Maiti zisizotambulika latolewa Mkuranga. Hizo maiti zitakuwa zinatoka wapi?

    Bali kuna Maswali yanayohitaji majibu Pia soma:Maiti 69 zazikwa na Jiji la Dodoma baada ya kukosa ndugu
  4. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wabunge 19 Kurudi au kutorudi CHADEMA, nini kifanyike?

    Kila tunapokaribia duru za uchaguzi wa Serikali za Mitaa vuguvugu na joto la siasa linapanda. Kuna suala la wabunge 19 walikuwa CHADEMA na ambao suala lao liko mahakamani. Hawa wabunge walifukuzwa uanachama na Kamati Kuu na kupata baraka za Baraza Kuu baada ya rufaa zao, na kisha suala hilo...
  5. Stunnaman008

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Yemen laipiga Tel Aviv kwa droni mpya ya 'Jaffa', taharuki yatanda

    Mtu mmoja ameuawa huku wengine zaidi ya 10 wakijeruhiwa baada ya mfumo wa ulinzi wa anga wa Israel kushindwa kutungua shambulio la ndege isiyo na rubani (droni) lililofanywa na jeshi la Yemen dhidi ya mji wa bandari wa Jaffa (Yafa) unaokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel, viungani mwa...
  6. A

    JamiiForums Tanzania TRC mnazua taharuki na madaraja yenu! Kwa hili mmetukosea sana wananchi

    TRC - shirika la reli Tanzania kwakweli mmekuwa kero Kubwa sana kwasasa! Tunaheshim sana kazi mnayofanya lakini nyie hamtuheshimu WANANCHI wa Tanzania. 1. Mmeziba Barabara zoote za waenda kwa miguu, mkilazimisha watu wapite juu ya MADARAJA ambayo kiuhalisia bado hayajakamilika kujengwa. Hakuna...
  7. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Bank ABC yauzwa kwa acces bank na kuzua taharuki kwa walioomba mikopo

    ABC wamerusha taulo, Na kuuzwa kwa access bank, Lakini kuna wateja ambao walikuwa wameomba mikopo kipindi kabla ya June 1, Hata hivyo mpaka sasa nikizungumkuti, Kwani hakuna malipo yoyote yamefanyika toka tarehe moja, Na hata nilipo jaribu kufika ofisini kwao Nilijibiwa kwamba wapo kwenye...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbunge Martha: Tembo wamesababisha taharuki kwa Wananchi wa Manyoni na Ikungi

    Mbunge wa Viti Maalum, Martha Nehemia Gwau amesema Serikali inatakiwa kutafuta njia mbadala ya kukabiliana na Tembpo ambao wamekuwa wakiharibu mazao na kutishia usalama wa Wananchi
  9. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Kataa ndoa inavozidi kuleta taharuki

    Jinsi maisha haya inaonesha idadi ya wakataa ndoa inazidi kuwa kubwa yani siku hizi ndoa zimekuwa kama uchaguzi NEC tanzania. jamaa kavisha pete kumbe pembeni kuna jamaa alishapitia kitambo
  10. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Wafungwa wapatao 100 watoroka baada ya gereza kuanguka kwa mvua kubwa

    Taharuki nchi nzima, watu wanapiga simu kuuliza ndugu zao kama wamepona kutokana na kuanguka kwa ukuta wa gereza. Ila hawa jamaa wa TBC Digital wakazusha taharuki kubwa kuweka picha ya uongo wa tukio. Angalia hiki kituko hapa. --- More than 100 inmates have escaped from a prison in Nigeria...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Serikali Kuhusu Vitambulisho vya NIDA Vyenye Ukomo na Visivyo na Ukomo

    SERIKALI KUANZA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI KUHUSU VITAMBULISHO VYA NIDA VYENYE UKOMO NA VISIVYO NA UKOMO Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janejelly James Ntate ameuliza swali lililoelekezwa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kuhusu...
  12. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Utoaji taarifa zisizohakikiwa za vifo vilivyotokana na Ajali huzua taharuki kwenye Jamii

    Pamoja na ukweli kuwa teknolojia imeleta mapinduzi makubwa kwenye sekta ya habari na mawasiliano, ambapo sasa mtu yeyote(Netizen) anaweza kutoa taarifa ikawafikia watu wengi kwa haraka sana, lakini ni vyema kuhakiki na kuthibitisha taarifa yoyote ambayo unaona inaweza kuzua taharuki kabla...
  13. Msanii

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna mashaka Bandarini. Serikali itoe tamko ya kinachoendelea ili kama yanayoripotiwa ni tetesi yasilete taharuki

    Nimepitia mtandao wa X na kukuta mjadala kwenye kurasa wa Martin Maranja M asese almaarufu MMM kuhusu DP World kusitisha mikataba ya wafanyakazi ili kuleta wafanyakazi wao. Serikali ambayo ni sehemu ya huu mkataba uliopigiwa kelele na wananchi, itoe maelezo kukanusha ama kufafanua...
  14. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Serikali iache kutoa taarifa za covd 19 ,inaleta taharuki isiyo na sababu ,tulishakubali kuishi nao mtafukuza watalii kwa mambo ya hovyo!

    Huu ugonjwa hebu upotezeeni kabisa ,tulishakubali kuishi nao .kutuletea taarifa za covd ni kututisha na kuleta taharuki isiyo na tija hata inaweza kufukuza watalii kuja nchini achaneni na hizo stori tafadhali
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kawe leo hii kuanzia Saa 1 hadi Saa 3 Usiku kulitokea nini hadi MP wa JWTZ Kufurika, Kukamata Watu, Kutembeza Kichapo na Kuzua taharuki?

    Na eneo walilokuwa wanadili nalo ni kuanzia Ukwamani hadi Kanisani na MP ndiyo walikuwa Wengi huku Wakikamata Watu ( hasa hasa Vijana Wahuni ) wa maeneo hayo. Ila kama nilichokisikia ni kweli Kwanza nitoe Pole kwa Mhusika na Taasisi yake ila Niwaase pia Vijana ( hasa Waendesha Bodaboda na...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Taharuki: Ang'oa mita ya maji nyumbani kwake na kuipeleka idara ya maji (Suwasa-Singida) kwa madai maji hayatoki wiki ya pili

    Mwanaume mmoja huko SINGIDA MJINI achafukwa kwa ukosefu wa maji mitaa ya MISUNA na kuamua kuingo'a mita ya maji na kuirudisha kwa wahusika..Angalizo; Enzi za jiwe haya hatukuyaona..ova
  17. L

    JamiiForums Tanzania Visiwa na nchi zinazopakana na bahari zaingiwa na taharuki baada ya Japan kumwaga majitaka yenye sumu ya nyuklia baharini

    Hivi majuzi Japan ilianza kuyaachilia maji taka yanayotoka kwenye kituo cha nyuklia cha Fukushima na kuyamwaga kwenye baharini ya Pasifiki, licha ya kwamba nchi zake nyingi jirani zilionesha wasiwasi mkubwa juu ya hatua hii, na hata kupinga kitendo hicho. Japan inadai kwamba eti maji haya...
  18. Bams

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi linapokosa weledi linageuka kuwa chanzo cha taharuki

    Tungekuwa tupo katika nchi zilizostaarabika, wakati huu, uongozi wote wa Jeshi la Polisi ungekuwa umeshaondolewa kwa mambo ya ajabu yanayofanywa na jeshi hili yanayoashiria kukosekana kwa weledi ndani ya chombo hiki. Jeshi la Polisi linapofanya kazi ya kuwatengenezea watu kesi za kubumba ili...
  19. J

    JamiiForums Tanzania SoC03 Nini kifanyike ili kukabiliana taharuki ya mkataba wa bandari wa DPW nchini Tanzania

    DPWORLD ni kampuni kubwa ya biashara yenye makao makuu yake Dubai ambayo inajishughulisha na uwekezaji katika maeneo ya bandarini. Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizopata bahati ya kuingia mkataba na Kampuni ya DPWORLD,hatua hii ya makubaliano Kati ya Tanzania na DPWORLD ili lenga kuboresha...
  20. mangiTz

    JamiiForums Tanzania Nguzo za TANESCO zilizotengenezwa kwa cement ni hatari, zinazua taharuki

    Habari wana jamvi, Kama heading inavyojieleza hizi nguzo za TANESCO ambazo zimetengewa kwa cement uimara wake ni mdogo na ni hatarishi hasa maeneo ya makazi na yenye watu wengi. Awali nilijua labda zinatengenezwa ndani zinawekwa nondo na seng'enge ili kuongeza uimara kumbe ni tofauti ,hii ni...
Back
Top Bottom