Mheshimiwa Rais Mama Samia amemuonya Waziri wa wizara ya Fedha kuacha kutumia nguvu kwenye kukusanya kodi badala yake watumie akili.
Mama Samia ameonya tabia ya Watendaji wa Serikali kutumia nguvu kukusanya kodi, kufungia biashara zao, kunyang'anya fedha kwenye akaunti kisa Sheria inawaruhusu...