nzalendo
Platinum Member
- May 26, 2009
- 13,025
- 14,950
Jambo hili lichukuliwe kama dharura,,,,Kwa sasa mwendokasi si rafiki kwa watu wenye changamoto za kiafya na wengi wetu hatuna mbadala wa usafiri toka maeneo husika uelekeo Muhimbili.
Kwa kweli tunawaomba, tena tunawasihi... si kuangalia ! bali kuruhusu,si daladala tu,...bali hata usafiri mbadala kama noah n.k.....hapa lengo ni kuokoa maisha ya watu,
Kwa leo nisiseme sana nikapoteza maana ya hili ombi la DHARURA,