tabora

  1. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Ni vizuri barabara kuanzia Tabora via Sikonge via RUNGWA via Chunya mpaka Mbeya kupigwa lami kwa njia tatu

    Kutokuwa na lami kwa barabara ya Tabora, Sikonge, RUNGWA, Chunya mpaka Mbeya kunapunguza kasi ya maendelo kwa kiwango kikubwa sana katika haya maeneo Hata uwekezaji katika hayo maeneo unakua ni mgumu sana kwa sababu ya ubovu wa barabara Mfano kipindi cha mvua hii barabara ni changamoto...
  2. Mmawia

    JamiiForums Tanzania RC Tabora Paul Chacha Azielekeza Taasisi za Serikali Zaidi ya 20 Kujieleza kwa Kushindwa Kushiriki Shughuli za Mwenge na Nanenane

    Naona sasa kama watanzania wameanza kutazama wapi wanatoka na wapi wanaelekea. Sijawahi kusikia ni wapi watumishi wa serikali wamegoma kushiriki mbio za mwenge. Je huu tunaweza kusema ndiyo mwanzo wa ukombozi wa fikra kwa watumishi wa umma? ================= Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul...
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Majina ya wagombea udiwani kata za wilaya ya Uyui Tabora

    Akisoma Majina hayo Agosti 1, 2025 ofisini kwake Katibu wa Siasa na uenezi Ccm mkoa wa Tabora Ndugu Idd Moshi Mambo ameeleza kuwa haya ndio majina ambayo yamepitishwa na Chama cha mapinduzi Ccm kwa ajili ya Wajumbe wa Chama cha mapinduzi ngazi ya kata kuwapigia kura na kumchagua mmoja kuwa...
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Majina ya wagombea udiwani wilaya ya Tabora mjini

    Katibu wa Siasa na uenezi Ccm mkoa wa Tabora Iddi Moshi Mambo ametaja orodha ya majina ya watia nia wa udiwani wilaya ya Tabora mjini. Mambo, ameeleza kuwa majina hayo yamepitishwa na Chama cha mapinduzi CCM kwa ajili ya Wajumbe wa Chama hicho ngazi ya kata kuwapigia kura na kumchagua mmoja...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Majina ya wagombea udiwani wilaya ya Urambo - Tabora

    Katibu wa Siasa na uenezi Ccm mkoa wa Tabora Iddi Moshi Mambo ametaja orodha ya majina ya watia nia wa udiwani wilaya ya Urambo mkoani Tabora. Mambo, ameeleza kuwa majina hayo yamepitishwa na Chama cha mapinduzi CCM kwa ajili ya Wajumbe wa Chama hicho ngazi ya kata kuwapigia kura na kumchagua...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Watoto 5 wafariki kwa Moto Kituo cha Yatima Tabora

    Watoto watano wamepoteza maisha kwa tukio la moto lililotokea katika kituo cha kulelea watoto yatima cha Igambilo, kilichopo Kata ya Misha, Manispaa ya Tabora, usiku wa kuamkia siku ya Jumanne. Watoto hao walikuwa ndani ya bweni lao la kulala wakati moto ulipozuka na kuliteketeza kabisa, huku...
  7. Investigation Unit

    JamiiForums Tanzania Huenda waha wa Kigoma wakamshukuru Rais Samia kwa miaka mingi ijayo hii SGR ya kutoka Tabora hadi Kigoma ni nani angeijenga kwa pesa nyingi namna hii

    https://youtu.be/CR33rwJsPKg?si=q0zQsyQ7wFv3SY8h Mnafahamu, Rais Samia anajenga mradi wa SGR kutoka Tabora hadi Kigoma kilometa 506 kwa TZS5.1Trilioni sawa na $2.2bn Mtaku,buka mradi wa reli ya kisasa (SGR) kutoka Tabora hadi Kigoma ni sehemu ya awamu ya sita ya ujenzi wa reli ya Standard Gauge...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU Tabora: Tunafuatilia tuhuma za Askari wa Kigwa na Mwalimu kuomba rushwa kwa Mwananchi wa Kijiji cha Izumba

    Baada ya malalamiko yaliyoibuliwa na Mwananchi kupitia JamiiForums.com kuhusu Mwanamke Mkazi wa Kijiji cha Izumba Mkoani Tabora, kudai kuombwa fedha na Askari wa Kituo cha Polisi Kigwa kwa kushirikiana na Mwalimu wa Shule ya Sekondari Kigwa ili mume wake aachiwe huru baada ya kushikiliwa kwa...
  9. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Mtoto aliye daiwa kupotea tabora ,amekutwa amefariki kwenye kisima cha maji cha nyumbani kwao

    Inalilah wainailah rajiun Mtoto amepatikana amefarik akiwa amedumbukia kisimani nyumbani kwao Shukran sana ndugu zangu kwa dua zenu na ushirikiano wenu Pia soma..https://www.jamiiforums.com/threads/mtoto-amepotea-anatafutwa-na-wazazi-wake.2235104/
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tabora: Changamoto ya stakiki kwa watumishi wapya Hospitali ya Kitete

    Sisi Ajira mpya bado tunadai stahiki yetu ya hela ya kujikimu, pia tumekuta watumishi wanalalamikia hali ya kutopewa stahiki zao kwa wakati, stahiki hizo ni pamoja na Call, Extra & Refferal allowarence hali hii imekuwa ikididimiza utendaji kazi wa watumishi na motisha ya kazi. Tunahitaji...
  11. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Nikiwa mkuu wa mkoa wa Tabora nitahakikisha mkoa unakuwa tajiri kwa kuzalisha pombe ya asali(Mead)

    Wakuu mi sitaki vyeo vikubwa kama ndugu Dennis Robert Shughuru , ukuu wa mkoa tu unanitosha. Pombe/wine ya asali ni pombe moja ghali sababu ya ughali wa asali. Tanzania ni ya pili Afrika baada ya Ethiopia kwa uzalishaji wa asali. Mkoa wa Tabora ni mkoa unaoongoza kwa kuzalisha zao hilo nchini...
  12. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Serikali imetoa Billioni 12 kukamilisha Ujenzi wa shule Tabora, Katavi na Rukwa

    Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan imekamilisha ujenzi wa shule mbili za kisasa za Amali wilayani Kibondo, Tabora na Wilaya ya Mlele mkoani Katavi zinazogharimu Shilingi Bilioni 3.2 Vilevile serikali imetumia kiasi cha shilingi Bilioni 8.8 kwa ajili ya...
  13. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Waziri wa Maji Jumaa Aweso: Zaidi ya Trillioni 1 imewekezwa kwenye mradi wa miji 28

    Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso amekuwa Wilayani Urambo katika ziara ya kikazi ya kimkakati ya kutembelea, kukagua na kujionea maendeleo ya Kazi ya Utekelezaji wa Mradi wa Maji wa Miji 28 kwa Miji ya Urambo, Kaliua na Sikonge Akiwa maeneo ya matukio Waziri Aweso ameshuhudia ulazaji wa bomba la...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Waziri Aweso: 'Tufocus' katika miezi hii miwili, kufikia Oktoba wananchi Tabora wapate maji

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso amewataka Wakandarasi wanaotekeleza Mradi wa Maji wa Miji-28 kufanya kazi Usiku na Mchana ndani ya Kipindi cha Mwezi Julai na Agosti, akiagiza wananchi wa Miji ya Urambo, Kaliua na Sikonge mkoani Tabora kuanza kupata huduma ya Maji Mwezi Oktoba mwaka huu. Wakati wa...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Aliyetekwa akutwa ameuawa na kuzikwa nyumbani kwa mtu Tabora

    Mtu mmoja aliyekuwa akifahamika kwa jina la Castory Madembwe ambaye alikuwa anatafutwa kwa zaidi ya mwezi mmoja tangu kupatikana kwa taarifa zake kwamba ametekwa,hatimaye leo Jeshi la Polisi mkoani Tabora kwa kushirikiana na wananchi wa Kata ya Mpera wamefanikiwa kuupata mwili wa mtu huyo...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU yasema inafuatilia tuhuza za rushwa zinazotajwa kuhusisha Askari Polisi wa Kituo cha Polisi Kigwa - Tabora

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imesema inafahamu hoja kuhusu suala linalohusu tuhuma za rushwa kwa Mkazi wa Kijiji cha Izumba kilichopo Uyui Mkoani Tabora. Awali, Mwanachama wa JamiiForums.com kupitia Jukwaa la Habari na Hoja mchanganyiko aliandika kuwa “TAKUKURU Uyui -...
  17. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 RC- Chacha Agomea Millioni 5 za mtia nia amchana Makavu

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha, ameibua mjadala mkali wa kisiasa baada ya kudai kuwa baadhi ya wagombea wa kisiasa wamekuwa wakijaribu kumshawishi kwa fedha ili waweze kufanikisha ushindi katika kura za maoni kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Akizungumza mbele ya viongozi wa serikali...
  18. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jackson Lupanda atia nia kuwania jimbo la Ulyankulu, Tabora

    Jackson Lupanda Maarufu kama Lupanda_Hd Slomo Master Kutoka Azam media Limited ametia nia ya kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Ulyankulu Wilaya ya Kaliua Mkoani Tabora kupitia Chama cha Mapinduzi CCM. Pia soma...
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Shilole achukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na CCM kugombea ubunge wa Viti maalumu mkoa wa Tabora

    Namshukuru Mwenyezi Mungu mapema leo nimefanikiwa kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na chama changu cha CCM kugombea nafasi ya UBUNGE wa Viti maalumu mkoa wa Tabora kupitia UWT. Nashukuru nimepokelewa na mama yangu Katibu wa UWT Mkoa wa Tabora, Bi. Rhoda John Madaha. Ndugu zangu fomu...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Waganga wa tiba asili Tabora wamesema hawatashiriki kuwagua wanasiasa kwa njia zisizo sahihi kuelekea uchaguzi mkuu

    Waganga wa tiba asili mkoa wa Tabora wamesema kuelekea uchaguzi mkuu hawatokubali kushiriki kuwagua wanasiasa katika njia ambazo sio sahihi ikiwemo kutumia viungo vya binadamu pamoja na vishawishi vyovyote vya kutaka kumzuru mtu ili kumfanikishia mtu mwingine. Msimamo huo umetolewa na...
Back
Top Bottom