tabora

  1. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bashe amlisha kiapo Mwaifunga jukwaani, amuahidi kiwanda cha tumbaku Tabora

    Mgombea Ubunge Jimbo la Nzega mjini na Waziri wa Kilimo Hussein Bashe leo Septemba 19,2025 akiwa katika mkutano wa Kampeni kata ya Gongoni Jimbo la Tabora mjini amemlisha kiapo cha kuwatumikia Wananchi Mgombea Ubunge Jimbo la Tabora mjini Hawa Mwaifunga mbele ya wananchi waliohudhuria mkutano...
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Tabora mkoa kinara kwa wasiojua kusoma na kuandika

    Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima Nchini Professa Philipo Sanga amesema Mkoa wa Tabora ni kinara kwa asilimia kubwa ya watu wasiojua kusoma na kuandika katika mikoa mitano nchini ambayo bado ina changamoto hiyo. Akizungumza na waandishi wa habari katika viwanja vya maonesho ya...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Waganga wa Jadi Tabora watambika kuombea Uchaguzi wa Oktoba 29, 2025

    Umoja wa Wataalamu wa Tiba za asili, pamoja na viongozi wa mila ambao ni Machifu, Watemi na Watwale kutoka mkoa wa Tabora wamekusanyika katika eneo la matambiko ya asili lililopo Izimbili kata ya Kalunde Manispaa ya Tabora na kufanya matambiko ya kimila wakiombea uchaguzi mkuu wa oktoba 29...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Watoto wawili wafariki Dunia kwa moto Tabora

    Watoto wawili wa familia moja, Ester Hillary na Eliana Hillary, ambao walikuwa wanafunzi wa shule za msingi na wakazi wa Mtaa wa Ikindwa, Kata ya Mapambano, Manispaa ya Tabora, wamefariki dunia baada ya nyumba yao kuteketea kwa moto usiku wa kuamkia Septemba 13, huku mtoto mmoja akinusurika...
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Aahidi kuweka taa za barabarani 2300 Tabora kufanikisha vijana kufanya biashara masaa 24

    "Ndani ya Mkoa wa Tabora, tunakwenda kujenga madaraja 133, katika barabara ambazo tumeziweka kwenye ilani [...] Lakini pia, tunakwenda kuweka taa za barabarani 2,300." - Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Rais Samia Suluhu kwenye mkutano wa kampeni Tabora Mjini
  6. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Umati wa Vijana wa Tabora wakielekea kwenye Kampeni za Mgombea Urais CCM Dkt. Samia

    Maelfu ya vijana mkoani Tabora wamejitokeza kwa maandamano ya amani wakielekea kwenye mkutano wa kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan Vijana hao walisema wamehamasishwa na kazi kubwa ya maendeleo iliyofanywa na...
  7. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA Tabora: Pamoja na maumivu yote, kesho yetu ni bora

    Viongozi na makada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilayani Nzega, Tabora, wamefanya maadhimisho ya Mashujaa Day kwa kuwakumbuka na kuwaenzi wanachama na viongozi wa chama hicho waliopoteza maisha wakiwa katika mapambano ya haki na demokrasia nchini. Soma pia: Makalla: CCM...
  8. Think2

    JamiiForums Tanzania Tetesi: TRA yainunua Klabu ya Tabora United

    Club ya Tabora united Imeuzwa rasmi Na sasa itamilikiwa na Mamlaka ya Mapato Nchini TRA makao makuu Dar es Salaam Uongozi wa TRA umewapa muda wa miezi mitatu waliokuwa Viongozi wa Tabora united kuhakikisha wanatafuta kazi sehemu nyingine kabla ya kukabidhi Rasmi nyaraka za Club kwa mmiliki...
  9. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Traffic light za isevya Tabora ni aibu

    Jana azam media wametangaza stori kuhusu ubovu wa taa za kuongozea magari za isevya Tabora.Zimeharibika toka mwezi wa pili mwaka huu.Hii ni aibu,waziri anayehusika hebu nenda mwenyewe ukamuondoe yule meneja wa tanroads maanaajibu aliyotoa ni uzembe
  10. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Moto wateketeza nyumba ya mchungaji Tabora

    Moto umezuka na kuteketeza nyumba yenye vyumba tisa ambayo anaishi mmoja kati ya wachungaji wa iliyotokea usiku wa jana Jumatano, Agosti 20, 2025, hakuna mtu aliyepoteza maisha lakini mali mbalimbali zilizokuwamo zimeteketea. Mchungaji Amosi Chidemi ambaye alikuwa anaishi katika nyumba hiyo...
  11. Y

    JamiiForums Tanzania RC KATAVI: Rais Samia amekarabati Reli ya MG kutoka Tabora -Katavi kilometa 210 kwa shilingi bilioni 379.40

    ==Ndugu Wananchi, katika kipindi cha miaka mitano, sekta ya usafiri wa anga na reli katika Mkoa wa Katavi imeimarika ambapo Mkoa ulipokea Shilingi 1,444,617,687.63 (Bilioni 1.444) kwa ajili ya ujenzi wa jengo la utawala na abiria la kipekee ambalo tayari limekamilika na linatumika, huku huduma...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wananchi wa Tabora wakataa kupokea mwenge ulionakshiwa na picha ya Rais Samia

    Huko Tabora, mkuu wa mkoa acharuka kuwatishia wananchi kuhama kwenye mkoa huo kisa kukataa mwenge ulio na picha ya Rais Hii inaleta maana gani kwa Wananchi kuanza kukataa jambo la kitaifa, sababu tu linafungamanishwa na siasa za ccm? Ni kwamba, Rais hakubaliki sasa...! Ama wanataka kuona...
  13. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Naibu Katibu Mkuu Umoja wa Vijana CCM, Mussa Mwakitinya, asisitiza Mshikamano baada ya vikao vya uteuzi, Tabora

    Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM, Mussa Mwakitinya (MNEC) amewasihi viongozi wana CCM mkoa wa Tabora, kuendelea kuwa wamoja na kuzuia mipasuko inayoweza kukipata Chama wakati mgumu wa kuitafuta Dola Mwakitinya ameyasema hayo mara baada ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM cha Mkoa wa...
  14. Kayabwe

    JamiiForums Tanzania Tabora

    Wenyeji wa Tabora nielekeze mahali palipochangamka hapa MJIN TABORA,HASA CLUBS,BARS NA SEHEMU ZA KUPATA WATOTO WA KINYAMWEZI!
  15. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Watu wa Tabora leo mmenifanya nitembee usiku kucha

    Kuanzia jana jioni nilianza kuona maruweruwe (halucinations) na muda mwingine nasikia watu wanatembea nikiwa nimekaa, ila nikigeuka siwaoni. Nikachukulia poa. Usiku nimekunywa maji ya moto yenye tangawizi ili walau nipate usingizi, ila na penyewe ikawa holaa. Kuna nyakati nasikia mtu anavuta...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanachama w CCM Tabora wajitokeza kumdhamini rais Samia

    Wanachama wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Tabora wamejitokeza kushiriki zoezi la kujaza fomu ya kumdhamini mgombea mteule wa nafasi ya Urais kupitia Chama hicho Dkt. Samia Suluhu Hassan. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread...
  17. J

    JamiiForums Tanzania RC TABORA: Mkoa umepokea kiasi cha TZS226bn kwa ajili ya barabara tayari kilometa mpya 100 za lami zimejenjwa ndani ya miaka minne ya Rais Samia

    Katika ripoti yake kwa waandishi wa habari Mkuu wa Mkoa wa Tabora amesema yafuatayo namnukuu Katika kipindi cha 2021|25 Serikali ya Rais Samia imetumia TZS225.993bn kwa mchanganuo ufuatao TANROADS TZS124.277bilioni, TARURA TZS101.716bilioni kuimarisha mtandao wa barabara wa kilometa 10,592...
  18. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania GE2025 Serikali yaongeza bilioni 10 elimu bure Tabora

    Chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan utoaji wa huduma za elimu mkoani Tabora umeimarika kwa kiasi kikubwa kupitia ujenzi na ukarabati wa miundombinu pamoja na ongezeko la walimu. Serikali imetoa jumla ya TZS 146.69 bilioni kuanzia mwaka 2021 hadi mwaka 2025 kwa sekta ya elimu...
  19. J

    JamiiForums Tanzania RC Paul Matiko: Uzalishaji wa Maziwa Mkoa wa Tabora umeongezeka kwa 200%

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe Paul Matiko Chacha anasema Chini ya Rais Samia sekta ya Mifugo Mkoa wa Tabora imeimarika kupitia ujenzi wa majosho 16 mapya na kufikisha jumla ya 95 yenye uwezo wa kuhudumia ng’ombe 889,183. Ananendelea kwa kusema Serikali pia imetoa pikipiki 44 kwa maafisa mifugo...
  20. Now and then

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Sikonge Tabora inakuaje mnaweka viongozi dhaifu sana ?

    Mlianza na Said Nkumba , mkaja Joseph Kakunda kwa ila kwa Munde. Mpo sahihi. Mnabidi kujitafakari Sana .
Back
Top Bottom