Mbunge wa Viti Maalumu, Hawa Mwaifunga, ameonyesha kutoridhishwa na kasi ya ujenzi wa Hospitali ya Mkoa wa Tabora, ulioanza mwaka 2020 lakini hadi sasa haujakamilika.
Akizungumza bungeni katika kipindi cha maswali na majibu, Mwaifunga amesema kuwa kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka...
Serikali ya awamu ya sita imepongezwa kwa kupeleka mradi wa maji wa Miji 28 katika Wilaya 3 za Mkoa wa Tabora ambazo zilikuwa na changamoto kubwa ya upatikanaji huduma ya maji.
Pongezi hizo zimetolewa jana na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Steven Wasira alipokuwa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amekutana na kufanya mazungumzo na Muadhama Kadinali Protase Rugambwa katika Jimbo Kuu Katoliki la Tabora.
Wasira amekutana na Kadinali Rugambwa leo Aprili 16, 2025 katika Jimbo Kuu Katoliki Tabora akiwa katika ziara...
Akitambulishwa bungeni na Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paulo Chacha anayepewa sifa ya kuwa 'kiboko ya Ali Kamwe' amelitikisa Bunge baada ya kusimama, ambapo Wabunge walipagawa kwa furaha na kumpigia makofi mazito, ishara ya kukumbuka tukio lake na Msemaji wa Yanga...
Ilianza Wasafi FM 94.5 tokea mwaka jana, ikaja East Africa Radio 105.2 hii yapata kama mwezi hivi, imefuatiwa na Clouds FM 88.0 na E FM 93.7 hizi ni wiki hii na inayokatakata kwa sasa ni Radio Maria 93.7.
Radio Free Africa ya Mwanza 90.0 yenyewe mvua ikinyesha tu inapotea, sijui mtambo wake...
Viongozi wa Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo CHADEMA Mkoa wa Tabora na Kanda Ya Magharibi wakiwemo watia nia wa Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali wametoa msimamo wao kuhusiana na kuibuka kwa kundi ndani ya Chama hicho La G-55 na Kusadiki kusema Kuwa hilo linakiuka misimamo na maazimio...
Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Tabora na Kanda ya Magharibi, wakiwemo watia nia wa ubunge katika majimbo mbalimbali, wamejitokeza hadharani kulaani vikali kundi la G-55 lililoibuka ndani ya chama hicho, wakilituhumu kukiuka misimamo halali na maazimio...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Tabora, James Kabepele, amekanusha kuhusika na waraka wa vuguvugu la G55 linalodaiwa kupinga kampeni ya No Reforms No Election, akisisitiza kuwa hakuwahi kuweka saini kwenye waraka huo wala kuonesha nia ya kugombea jimbo lolote...
Mkoa wa Tabora umeshuhudia upungufu mkubwa wa majaribio ya uhalifu na utapeli kupitia mtandao, kutoka majaribio 590 hadi 122 katika kipindi cha miezi mitatu ya Oktoba hadi Disemba, kwa mwaka wa fedha 2023/2024. Hii ni sawa na upungufu wa asilimia 79.3.
Taarifa hiyo imetolewa na Meneja wa...
Barabara ya Kitete Hospital, kupitia bank ya damu hadi Game reserve imeota majani mengi kwa muda mrefu na haijawahi safishwa.
Hali hiyo inapelekea watembea wa miguu kuwa hatarini maana wanatembea katikati ya barabara maana barabara imekua ndogo, majani yameota upande wa kushoto na kulia...
Klabu ya Simba SC imemtangaza Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia, kuwa mgeni maalum katika mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) dhidi ya Al Masry. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Aprili 9, 2025 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar...
Tumesha sema sana hapa JF kuhusu mwenendo wa serikali ya CCM jinsi mnavyo weza kuwapa watu viburi na kujiongelea au kutokuheshimiana.
Sija shtuka kuona la Ally Kamwe kwani hata Steve Nyerere alishawai kuita vyombo vya habari na kuikemea Chadema.
Soma Pia: 'Kamdomo kamponza Ally Kamwe..' Polisi...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Richard Abwao amesema Jeshi la Polisi Mkoani humo limemuachia Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe kwa dhamana huku taratibu nyingine za kiuchunguzi kuhusu tuhuma zinazomkabili zikiendelea.
Kamanda Abwao amenukuliwa akisema “ameachiwa kwa dhamana ambayo imetolewa...
Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe akamatwa usiku wa manane huko Tabora.
Chanzo cha Kukamatwa kwake ni kutoa Lugha chafu kwa viongozi wa Mkoa.
Ameshikiliwa kwa Mahojiano Maalum.
RPC Tabora amethibitisha
“Nathibitisha tunamshikilia Msemaji wa Yanga, Ali kamwe, tunamshutumu kwa kutoa...
Awali RC wa Tabora alitoa taarifa za uongozi wa Yanga kutuma watu kutoa rushwa ili kupanga matokeo ya mchezo wa Yanga na Tabora.
Imebumbuluka kwamba kipa wa Tabora United Jean Noel anashawishiwa na Jamaa wa Yanga awafanyie wepesi waweze Kushinda mechi ya Leo. Kipa huyo amethibitisha na Tabora...
Karibu katika mikiki ya NBC PL ambapo leo majira ya saa 10kamili jioni pale katika dimba la kumbukumbu ya Rais wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ally Hassain Mwinyi,wenyeji Tabora United watawakaribisha vigogo na vinara wa ligi Yanga kuzisaka alama tatu muhimu.
Ikumbukwe...
Kuelekea mechi ya Tabora vs Yanga. Kuna sauti zimenaswa haijulikani ni nani hasa akimkoromea mtu anayetajwa kama Dida kutoka Tabora UTD, kwamba asihujumu Yanga mechi ya kesho la sivyo maisha yake na familia yake yatakuwa hatarini.
Haya sasa, wale wataalamu wa drama, sauti, IT na masuala...
Tunaheshimu mamlaka za uteuzi wa mkuu wa mkoa Tabora
Tunatambua upo Tabora kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Leo umeongea kauli za ovyo na uropokaji ambao ni kutweza na kudhalilisha club ya Yanga
Mkuu wa mkoa anatoa shutuma za uongo kuwa club ya Yanga imehonga wachezaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.