tabora

  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Waganga wa tiba asili Tabora wamesema hawatashiriki kuwagua wanasiasa kwa njia zisizo sahihi kuelekea uchaguzi mkuu

    Waganga wa tiba asili mkoa wa Tabora wamesema kuelekea uchaguzi mkuu hawatokubali kushiriki kuwagua wanasiasa katika njia ambazo sio sahihi ikiwemo kutumia viungo vya binadamu pamoja na vishawishi vyovyote vya kutaka kumzuru mtu ili kumfanikishia mtu mwingine. Msimamo huo umetolewa na...
  2. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wadau wajadili uhuishaji mitaala ya chuo cha Ardhi Tabora

    Chuo cha Ardhi Tabora (ARITA) kinaendelea kuhuisha mitaala yake ili kukidhi mabadiliko ya uhitaji wa soko kwa kuandaa wataalam wa sekta ya Ardhi kwa maendeleo ya chuo na taifa kwa ujumla. Mitaala inayohuishwa katika chuo hicho inahusisha masomo ya Urasimu Ramani; Usimamizi wa Ardhi, Uthamini...
  3. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Huwa nawaambia RAIS SAMIA Hasomi chochote anacholetewa Mezani, yeye ni kusaini tu , Aliyefukuzwa Ukurugenzi Arusha kwa Ufisadi, Ateuliwa Tabora !!

    Mnaona MTU wenu sasa anavyoendelea kadhihirisha kua Wanaomzunguka wanamchezesha kidalo Poo watakavyo nayeye anacheza ,huku wakimsifia Mamaa mamaaa unaupigaa unaupigaaa !!. Kuna mwaka alimtumbua Mkurugenzi wa Musoma Vijijin Bwana Panela Nitu Msongela , kwa Makosa ya Utumbuaji Fedha, Usimamizi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anayejua kuhusu hili shirika naomba anisaidie

    Maeneo ya kimara suka dsm, kuna shirika linaloitwa (UM) United Mission. Au jina lingine ni Foundation Mission Tanzania (FMT). Wanajihusisha na utoaji misaada kwa jamii, kama kujenga misikiti, makanisa, mashule, uchimbaji visima na mambo mengine kede kede. Wanatoa kazi na misaada kwa wanachama...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ajiua na wanawe (4) kwa sumu kisa mke mwenza kajengewa nyumba

    Katika tukio la kusikitisha na kuzua maswali mengi kwa jamii, mwanamke mmoja aitwaye Kangw’a Tungu Mahigi (25), mkazi wa Kijiji cha Lugubu, Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, amefariki dunia kwa kunywa sumu aina ya Ruruka 80 WDG, inayotumika kuua viwavi jeshi vinyamizi — huku pia akiwanywesha...
  6. P

    JamiiForums Tanzania KERO Maji yanayotoka Tabora yana harufu kali sana za madawa. Wanazidisha sana madawa. (TUWASA) mtaleta madhara kwa watu

    Kuna baadhi ya maeneo mkoani tabora maji yanayotoka kwenye mfumo wa mabomba chini ya TUWASA yana harufu kali sana ya madawa. Hali hii ni tokea mwaka jana mwishoni hadi sasa. Harufu hiyo kero sana hasa pale unapoamua kuchemsha maji hayo ufanye yawe maji ya kunywa. Unakunywa maji yakiwa na harufu...
  7. ngara23

    JamiiForums Tanzania Mgogoro ndani ya Simba unafukuta, Mo na bodi yake wasusa, Simba yasafiri Kwa njia ya barabara kuelekea Tabora

    Baada ya suluhu ya mgogoro wa derby huko Ikulu Dodoma umekuwepo mgogoro mkubwa kwenye timu ya Simba Bodi ya Simba na mdhamini mkuu Mo Dewji hawakufurahia uwakilishi wa viongozi wa Simba ambapo wengi walikuwa wazee wa Simba akina Dalali na Hasanoo Wazee hao wa Simba hawakuwa na hoja au matakwa...
  8. chiembe

    JamiiForums Tanzania Angalia jinsi Chauma "walivyosepa na kijiji" Tabora, umati ni maelfu kwa malaki, wasipuuzwe, wanakamata nafasi chama kikuu cha upinzani

    Inawezekana ni kweli kwamba chama hiki kina ma injinia wa siasa. Chama hiki kina ma-genius wa siasa. Wanajua wafanye nini saa ngapi, na wapi. Ni muda mfupi tu, lakini angalia walivyoifunika Tabora! Hawa jamaa wakiendelea hivi, kufikia October itakuwa habari nyingine! Kufikia 2027 watakuwa...
  9. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Yanga yaungana na Tabora United kupendekeza Wallace Karia kugombea bila mpinzani katika uchaguzi ujao wa TFF

    -------------------------------------------- --------------------------------------------
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi Tabora girls ajifungua chooni, mpaka anapelekwa hospitali hakujulikana kuwa na ujauzito, alidaiwa kuumwa kichwa na mguu

    Mkuu wa mkoa wa Tabora, Paul Chacha ameagiza kukamatwa kwa Bodaboda aliyempa mimba mwanafunzi wa shule ya sekondari Tabora Wasichana (Tabora girls) kuhamishwa kwa walimu wenye miaka zaidi ya 10 katika shule hiyo na kuchunguzwa kwa Daktari aliyemfanyia vipimo mwanafunzi huyo aliyejifungulia...
  11. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mkutano wa Heche washambuliwa Igunga, Tabora

    CHADEMA kupitia ukurasa wao wa X(Twitter) wamesema watu waliokuwa na mapanga na visu wamevamia mkutano wao maeneo ya Igunga mkoani Tabora, watu hao walianza kwa kurusha mawe msafara wa makamu mwenyekiti wa chama John Heche. CHADEMA pia wamethibitisha kujeruhiwa kwa mlinzi wa makamu Mwenyekiti...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Tabora: Wananchi wagomea uwekwaji wa mradi wa skimu ya umwagiliaji wakidai ni eneo la matambiko

    Wananchi wa Kata ya Chomachankola iliyopo wilayani Igunga mkoani Tabora, wamekataa uwekwaji wa mradi wa skimu ya umwagiliaji katika eneo lililotengwa kwa ajili ya mradi, wakidai kuwa eneo hilo wamekuwa wakifanyia matambiko ya kimila. Taarifa hiyo imetolewa na Katibu Tawala Mkoa wa Tabora Dkt...
  13. Pfizer

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tabora: Serikali yatoa bilioni 26.9 kujenga Skimu ya umwagiliaji Mwamapuli

    📍NIRC: Igunga Serikali kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), imeingia mkataba na mkandarasi mzawa kampuni ya Samota limited kujenga mradi wa skimu ya umwagiliaji Mwamapuli, katika kijiji cha Mwanzugi wilayani Igunga mkoani Tabora, mradi ambao utagharimu zaidi ya shilingi bilioni 26.9...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli MV Mwanza kuanzia safari kupitia Singida, Tabora hadi Dodoma?

    WADAU nimekutana na mjadala kwenye kijiwe cha kahawa,naombeni usibitiaho kama Uzi hapo juu unavoeleza
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Treni ya Abiria imepata ajali kwa kugongwa na Lori maeneo ya Tabora leo Mei 28, 2025

    Inadaiwa kuna Treni ya Abiria imepata ajali kwa kugongwa na Gari maeneo ya Tabora huko, wenye taarifa zaidi watujuze. ============================= Abiria wa Gari Moshi wamenusurika kifo kufatia ajali ya lori la mizigo lenye trela Namba T 933 DMF lililokuwa likitokea Tabora kuelekea Wilayani...
  16. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashindwa kwenda Tabora kuhudhuria Ibada ya kuwekwa Wakfu

  17. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Safari Yangu Kutoka Tabora Kuja Kupata Master’s Degree yenye Global Relevance – A Transformational Academic Journey

    Mimi ni mmoja wa wale ambao waliamini kwamba elimu ni mlango wa mabadiliko. Leo hii nimesimama kama mtu mwenye Master’s Degree kutoka University of California, Berkeley, moja ya vyuo vikongwe na vinavyoheshimika zaidi duniani. Lakini safari yangu haikuwa laini. Ilijaa milima na mabonde – lakini...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Tabora: Wanafunzi wa kidato cha 6 waliotaka kuchoma moto Shule ya Sekondari Milambo wakamatwa

    Wahitimu wa kidato cha sita zaidi ya 130 katika Shule ya Sekondari Milambo iliyopo Mkoani Tabora wamelazimika kuondolewa Shuleni hapo chini ya ulinzi mkali wa Jeshi Polisi muda mfupi baada ya kumaliza mtihani wao wa mwisho wa kuhitimu kidato cha sita, hii ikiwa ni baada ya njama zao za kutaka...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kailima awataka Wananchi wajitokeze kuhakiki, kuboresha taarifa zao, atembelea Vituo vya Wapiga Kura - Tabora

    Mkurugenzi wa Tume Huru ya Uchaguzi, Ramadhani Kailima, akiwasaidia wananchi kuhakiki majina yao kabla ya kwenda kuboresha taarifa zao katika Kituo cha kuandikisha wapiga kura, Ofisi ya Kata ya Isevya, Halmashauri ya Manispaa ya Tabora, wakati alipotembelea na kukagua vituo vya uboreshaji wa...
  20. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mbunge viti maalumu: Tangu 2020 Mpaka leo Tabora hospitali ya mkoa tunaambiwa hospitali inajengwa kwa awamu

    Mbunge wa Viti Maalumu, Hawa Mwaifunga, ameonyesha kutoridhishwa na kasi ya ujenzi wa Hospitali ya Mkoa wa Tabora, ulioanza mwaka 2020 lakini hadi sasa haujakamilika. Akizungumza bungeni katika kipindi cha maswali na majibu, Mwaifunga amesema kuwa kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka...
Back
Top Bottom