Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,781
- 16,217
Kuanzia jana jioni nilianza kuona maruweruwe (halucinations) na muda mwingine nasikia watu wanatembea nikiwa nimekaa, ila nikigeuka siwaoni. Nikachukulia poa. Usiku nimekunywa maji ya moto yenye tangawizi ili walau nipate usingizi, ila na penyewe ikawa holaa. Kuna nyakati nasikia mtu anavuta miguu yangu, nikiinyanyua juu nasikia watu wanacheka... dah, watu wa Tabora 😁😁