tabia

Tabia is a small town and rural commune in Taroudannt Province of the Souss-Massa-Drâa region of Morocco. At the time of the 2004 census, the commune had a total population of 2329 people living in 487 households.

View More On Wikipedia.org
  1. Nilimkuta mke wangu bikra ila na bado nilichapiwa, wewe Je?

    Nilimkuta mke wangu ni bikra kabisa yaani hymen iko slide kabisa kwahiyo mimi ndiyo nilikuwa mtu wa mwanzo kumtoa hiyo bikra ila na bado wahuni wimechapa bila hata ya kupindisha kabisa ila masela ni michosho sana. Labda sijui ni laana ya kuhasi uparoko wala hata sijui kuna moment katika maisha...
  2. M

    Ni wajinga tu wanaomuhusisha Chama na Yanga, tabia yake kipindi cha usajili inajulikana

    Hizi porojo tulishazizoea, mchezaji ana mkataba na timu yake wa mwaka mmoja alafu wajinga wajinga wanatembea na upepo kuihusisha yanga na mchezaji husika. Ni lini vilabu hivi vikauziana wachezaji wenye mikataba? Uyo chama keshazoea kufanya icho anachokifanya uwa anapenda kucheza na fursa pindi...
  3. Mimi huwa nina tabia moja ya kumchunguza mwanamke kabla ya kumtongoza

    Mimi huwa nina tabia moja ya kumchunguza mwanamke kabla ya kumtongoza Ni muhimu kutambua kwamba kila mtu anao haki ya kujisikia salama, kuheshimiwa, na kuthaminiwa katika mahusiano ya kimapenzi. Hata hivyo, ni muhimu kufahamu tofauti kati ya kumchunguza mwanamke kwa njia nzuri na ya heshima na...
  4. Tabia za wizi husababishwa na Kutokuwa na Kiasi, Tamaa pamoja na Uvivu wa Kufikiri na Kutenda

    Utu wa mtu unapimwa kwa kazi tena iliyo halali, kinyume na hapo wewe huna tofauti na wanyama waishio mwituni. Kwa muda mrefu sana nimejitahidi kufanya chunguzi mbalimbali, maana ni mambo ninayopenda hasa nikiwa sina vitu vingi vya kufanya. Katika hili nililoandika kwenye kichwa cha uzi...
  5. M

    Shairi: Usiwaze ya pekee, waza na ya wengineo

    1. Naanza ona mikasa, yawezaleta balaa, Viongozi wengi tasa, kwa hoja zisizo zaa, Hasa kwa Wana siasa, wao ni kama tabia, Wajifanya ni matasa, wafanyacho wakijua. 2. Ni kutafuta majanga, kuvunja mzinga nyuki hi, Mambo tunayoyalenga, mbele yataleta chuki, Badala sisi kujenga, wengi twatafuta...
  6. Wanawake wenye tabia za kiume wanakera sana

    Ukweli usemwe tu kuna wadada wa ajabu sana. Wengine sura zao zimekomaa kama za madume kulegea hawataki. Unaeza kuwa nae chumbani mpaka ukashtuka yani wanakaza sana kama sisi madume anakaa kama dume ule utamu wa mwanamke haupo kabisa na wanafanya mapenzi kama hawataki yani hawataki kujishusha kwa...
  7. Tabia ya kuomba hela (Kiholela) imekuwa desturi ya Watanzania wengi

    Hili ni tatizo na ni tabia inayonikera sana. Mtu usipost upo kiwanja flani utashangaa inaingia text "Mzee nisaidie elfu 10 hapo".. Sawa tunapaswa kusaidiana kwa shida na raha ila ukipata request za kuombwa hela na watu zaidi ya 6 kwa siku mbili tu lazima hata ule moyo wa kiutu unaisha...
  8. D

    SoC03 Tabia ya uwajibikaji hutengenezwa ndani ya mtu

    TABIA YA UWAJIBIKAJI HUTENGENEZWA NDANI YA MTU Mara nyingi mtu anapopokea cheo au nafasi flani, kwa zile siku za mwanzo huanza kwa kasi ya ajabu, lakini muda unavozidi kusonga mbele, ile kasi inapungua, kwanini inakuwa hivyo? Kuna sababu nyingi ambazo hupelekea jambo hilo kutokea. Familia zetu...
  9. Y

    Tabia mbovu

    Hi Tabia mbovu mtu unaona watu wanacheka vizuri kisa wewe mlipishana kauli una amua kwenda kupandikiza chuki achukiwe sawa atachukiwa baada ya hapo? Acha kwenda pm kwa watu kuongea umbea ili achukiwe mambo kama hayakuhusu achana nayo kabisa
  10. Hizi tabia kwenye daladala ziliniumizaga sana

    Mwanaume amesimama nyuma yako anakuelekezea mtalimbo Ingawa hali hii huwapata sana Watoto wa 17-30 years
  11. Waziri Tabia Mwita Akiwa Bungeni Jijini Dodoma

    WAZIRI TABIA MWITA AKIWA BUNGENI JIJINI DODOMA Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo - Zanzibar Mhe. Tabia Maulid Mwita akiwa Bungeni Jijini Dodoma Juni 27, 2023 kufuatilia shughuli za muhimili huo, kwa mwaliko wa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana...
  12. Rushwa Tanzania: Ni Kwa sababu ya njaa au tabia

    Rushwa! Ni msamiati unaofahamika sana Tanzania. Si matajiri wala maskini, wote wameathiriwa na Rushwa, kama wahanga au wanufaika. Rushwa! Rushwa Tanzania! Kila Kona ni rushwa. Huenda hata kwenye dini nako kuna rushwa! Inashangaza na kusukitisha! Hata watoto wanajua rushwa. Kwa nini rushwa...
  13. Hii tabia ya maneno tata ya wasanii wa Singeli sio sawa

    Kumekuwa na tabia ya wasanii wa singeli kuimba kauli tata na watu kuchukulia poa. Mfano unakuta mwanaume anaimba “mume wa mtu sumu ila kwangu mtamu” hivi hii iko sawa kweli? Kwanini mamlaka husika wasikemee hili?
  14. Chongolo: Wazazi wafundisheni watoto tabia njema

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi ndugu Daniel Chongolo amewakumbusha wazazi kuwalea watoto wao kwa misingi ya uadilifu na tabia njema. Hayo ameyasema mbele ya hadhara aliposimama barabara huko Wilayani Kondoa anapoendelea na ziara yake Mkoani Dodoma. Kidumu Chama cha Mapinduzi!
  15. Kama umechoshwa na Tabia mbovu ya Mwanamke wako , pitia hapa upate suluhisho na Umbadilishe Kirahisi

    Nishaandika Nyuzi nyingi sana kuhusu Hawa Wanawake, nyuzi zangu nyingi kuwahusu Wanawake nimezielekeza kupitia kucheza na "Ubongo wa Wanawake ". Ukijua hii Sanaa ya kucheza na Ubongo wao ,hawatakusumbua !! Sasa Leo nazungumzia na nyie wanaume wenzangu ambao inawezekana, Umechoshwa na tabia...
  16. M

    Tabia ya kufanya mapenzi kwenye vyoo vya kumbi za starehe na baa imekithiri na imekuwa kero

    Unabanwa haja ukiwa baa au klabu, unaenda ili ujisaidie unafungua mlango lakini haufunguliwi. Baadae anatoka mwanaume na mwanamke. Hii imekithiri sana hapa Bongo.
  17. Viongozi wa Dini wanazungumza na Serikali kuhusu Mkataba wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai

    Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa anazungumza na viongozi wa dini mbalimbali kuhusu mkataba wa ushirikiano wa kiuchumi na kijamii wa bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Dubai. Mkutano huo unafanyika kwenye Ukumbi wa Kurasini Centre, TEC Jijini Dar es Salaam, leo Jumatatu...
  18. Mwanaume, kutojiamini ndo adui yako mkubwa kwenye mahusiano na sio pesa wala mwanamke. Kwanini?

    Kutojiamini inajionesha kwenye tabia yako. Hata kama ulijificha lakini matendo yako yataonesha tu hujiamini. Na kama ulipata mwanamke anaweza kukuacha au kukusaliti. Sababu unaonesha tabia za kutojiamini. Kwanini wanawake wanawaacha watu wasio jiamini? Kwanini kutojiamini ni adui yako mkubwa...
  19. Tujuane ambao tukivurugwa na mapenzi bajeti ya pesa inavurugika , matumizi yanazidi na tabia zngine ikiwepo na kuvuta pisi mpya fasta.

    Helllo, Kuna watu sijui tupoje, mimi nainjoi mapenzi kiasi kwamba mpenzi au baby mapenzi akinivuruga ujue hapo kibajeti na kipesa ntavurugwa matumizi yanaongezeka ikiwemo kula sana bata, kukesha viwanja, natafuta demu kivyovyote vile na naonesha umwamba sana, nakula sana bia, nikitoka out...
  20. Visa nilivyokutana navyo, baada ya kumtembelea rafiki yangu mpenda matatizo

    Mimi intelli Kama nijulikanavyo ni mzee wa kauli ya "I mean no malice to nobody" - ila nilijuta Baada ya kwenda kumtembelea Jamaa yangu wa mkoa fulani. Aisee Kuna watu wanapenda Shari na ugomvi Kama vile ni chakula, nami nikaona SI mbaya nikishare nanyi niliyo yaona huko. Namnukuu Kisa Cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…