Nimepanga kuacha tabia hizi 2024

Valenciaga

Member
Jul 4, 2020
44
61
Habari wadau,

Na mshukuru mungu, kunifikisha December salama, mwaka huu mwanzoni mwa mwaka huu niliweka malengo ya kuacha pombe, na kweli tokea tarehe 01-01-2023 sijanywa pombe Wala sitamani.

Itakapofika tarehe 01-01-2024
Nataka niache:

(01) Kunywa soda
(02) Nataka nikae mwaka mzima bila kufanya sex, bila kuwa na mwanamke, bila kununua malaya, bila kupiga puli. Kwani mambo haya yanakula muda wangu mwingi. pesa nyingi sana mwaka huu nimetumia kwa kuhonga, na kununua k

(03) Nataka niachane na smartphone naifungia Hadi December 30 2024, hii imekuwa ikinipotezea muda na fedha pia, natumia wastani 70k kwa ajili ya internet kwa mwezi. Pia itanisaidia kutimiza lengo langu namba 02

Eeh mungu nisaidie
 
Habari wadau
Na mshukuru mungu, kunifikisha December salama , mwaka huu mwanzoni mwa mwaka huu niliweka malengo ya kuacha pombe, na kweli tokea tarehe 01-01-2023 sijanywa pombe Wala sitamani.
Itakapofika tarehe 01-01-2024
Nataka niache
(01)kunywa soda
(02) nataka nikae mwaka mzima bila kufanya sex, bila kuwa na mwanamke, bila kununua malaya, bila kupiga puli. Kwani mambo haya yanakula muda wangu mwingi. pesa nyingi sana mwaka huu nimetumia kwa kuhonga, na kununua k
(03) nataka niachane na smartphone naifungia Hadi December 30 2024, hii imekuwa ikinipotezea muda na fedha pia, natumia wastani 70k kwa ajili ya internet kwa mwezi. Pia itanisaidia kutimiza lengo langu namba 02

Eeh mungu nisaidie
2024 nitaacha kusoma nyuzi za kipuuzi.
 
Soda binafsi nimeweza tangu mwezi wa Saba mwaka huu sijanywa , nilikuwa mlevi wa Pepsi,now hata weight imepungua kidogo....... sukari nimepunguza kwa kiasi kikubwa.....kuna positive changes naziona
 
Habari wadau
Na mshukuru mungu, kunifikisha December salama , mwaka huu mwanzoni mwa mwaka huu niliweka malengo ya kuacha pombe, na kweli tokea tarehe 01-01-2023 sijanywa pombe Wala sitamani.
Itakapofika tarehe 01-01-2024
Nataka niache
(01)kunywa soda
(02) nataka nikae mwaka mzima bila kufanya sex, bila kuwa na mwanamke, bila kununua malaya, bila kupiga puli. Kwani mambo haya yanakula muda wangu mwingi. pesa nyingi sana mwaka huu nimetumia kwa kuhonga, na kununua k
(03) nataka niachane na smartphone naifungia Hadi December 30 2024, hii imekuwa ikinipotezea muda na fedha pia, natumia wastani 70k kwa ajili ya internet kwa mwezi. Pia itanisaidia kutimiza lengo langu namba 02

Eeh mungu nisaidie
Aisee ipo sawa kabisaa, huo ushetani namba (03) utakuondolea hilo pepo namba (02)

MUNGU AKUTANGULIE.
Sema amina ya RADI.
 
Habari wadau
Na mshukuru mungu, kunifikisha December salama , mwaka huu mwanzoni mwa mwaka huu niliweka malengo ya kuacha pombe, na kweli tokea tarehe 01-01-2023 sijanywa pombe Wala sitamani.
Itakapofika tarehe 01-01-2024
Nataka niache
(01)kunywa soda
(02) nataka nikae mwaka mzima bila kufanya sex, bila kuwa na mwanamke, bila kununua malaya, bila kupiga puli. Kwani mambo haya yanakula muda wangu mwingi. pesa nyingi sana mwaka huu nimetumia kwa kuhonga, na kununua k
(03) nataka niachane na smartphone naifungia Hadi December 30 2024, hii imekuwa ikinipotezea muda na fedha pia, natumia wastani 70k kwa ajili ya internet kwa mwezi. Pia itanisaidia kutimiza lengo langu namba 02

Eeh mungu nisaidie
03) Hapo kwangu kamwe siwezi kuacha hata kama itatokea nikatumia 5M kwa mwezi.

Hiyo kwangu ina faida nyingi kuliko chochote
 
Back
Top Bottom