taarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Hatuna maji mtaani mwezi mzima, idara ya maji Arusha (AUWSA) hawashughulikii

    Huku Arusha kata ya Lemara mtaa wa Kikwakwaru B tuna shida ya maji yapata mwezi mmoja sasa hatuna maji kabisa! Tukapata taarifa kwamba kuna bomba limeharibika na linafanyiwa kazi lakini mpaka leo hii hakuna maji au yanatoka kwa pressure ndogo sana tena usiku wa manane. Cha ajabu ni kwamba...
  2. JamiiForums Tanzania Unafanya biashara gani , je unahitaji mfumo kutunza taarifa

    Habari za leo wandugu kijana wenu nime rudi , Nina mifumo mingi y kutunza rekodi za biashara kama Mining Ofice management office Spare Store Management Systerm Loan Ofice Managenent System POS for supermarket and all size shop Nakadhalka Je unahitaji mfumo wowote ambahaupo hapo na una miss...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Nadhani ni muda sasa baadhi ya taarifa ziwe na limitation ya kutazama

    Wakuu mulewapanga! Nilimsikiliza waziri wetu wa Wizara ya Habari Sanaa Michezo na Utamaduni, Mh Paul Christian Makonda akielezea kuhusu baadhi ya taarifa au habari kuwa ni za ukakasi kwa jamii lakini wana habari wamekuwa wakizipeleka kwenye jamii Hivyo kuna haja sasa tuanze kudhibiti baadhi ya...
  4. JamiiForums Tanzania Umoja wa Haki ya Kupata Taarifa (CoRI) walaani baadhi ya Viongozi, Taasisi za Umma.. kudhoofisha uhuru wa Wanahabari na Vyombo vya Habari

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Mwenendo wa Uhuru wa Vyombo vya Habari Tanzania unatisha Umoja wa Haki ya Kupata Taarifa (CoRI) unalaani mwenendo unaoendelea wa baadhi ya viongozi wa serikali, taasisi za umma na vyombo vya usalama kudhoofisha uhuru wa wanahabari na vyombo vya habari nchini...
  5. JamiiForums Tanzania Balozi Paul Mella: Matukio ya Oktoba 29 yametoa somo kubwa kwa Vyombo vya Ulinzi na Usalama

    Balozi Luteni Jenerali Paul Mella akizungumza wakati Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 ikizungumza na Waanadishi wa Habari, amesema tukio la Oktoba 29 limetoa funzo kubwa kwa vyombo vya Ulinzi na Usalama na kwamba vitakuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Marekani watoa donge la Dolar milion kumi kupata taarifa za Hashim Finyan Rahim al-Saraji!!

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani inatoa zawadi ya hadi dola milioni 10 kwa taarifa kuhusu Hashim Finyan Rahim al-Saraji, anayejulikana pia kama Abu Ala al-Walai, kiongozi na Katibu Mkuu wa kundi la Iraq linaloungwa mkono na Iran, Kataib Sayyid al-Shuhada.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ili wapike matapishi yale ilikuwa lazima waende gizani, wazuie taarifa za live wakati wa mchakato

    Naona ugumu kukichafua cheo cha Jaji kwani ni adhimu na chenye heshima kwa anayestahili kuheshimiwa nacho na Wewe Chawa, Chande umejivua cheo hicho, acha nisionekane mtovu wa nidhamu kwa wakubwa nikuite Mzee Chande kutokana na Mvi zako. Nachelea kusema kwamba, kama wasingeenda gizani upisha wa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mlio Dar, taarifa hii ni kweli by SATIVA

    Naambiwa leo Jiji la dar polisi wenye silaha wametapakaa kila kona. Ni wazi kesho CHANDE Anakuja kuongea visivyoeleweka Usitegemee jipya kesho jiandae kupasuka moyo mara 200..by SATIVA
  9. JamiiForums Tanzania Niliomba passport, miezi karibia miwili imepita naambiwa taarifa zangu zimeliwa!

    Wakuu nilifanya application ya passport pale Kurasini mwezi February mwishoni, na nikaambiwa March 24 nifate passport Wizara ya mambo ya ndani! Sikwenda hiyo tarehe na nimekuja kwenda Ijumaa iliyopita, lakni cha ajabu kirahisi tu naambiwa taarifa zangu zimeliwa, hivyo nirudi tena Kurasini...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Rugemeleza Nshala: Tumepeana mwongozo wa namna ya kutoa taarifa zimuhusuzo Lissu, zitatolewa na Uongozi mkuu, Mwanasheria Mkuu na Mkurugenzi wa sheria

    Napenda kuwajulisha umma na wote wenye mapenzi mema kwa Tanzania, Chadema na Mwenyekiti Tundu Lissu kuwa Jopo Mawakili la kumtetea na kumfanyia utafiti Mwenyekiti Lissu li imara kabisa. Kwa niaba ya Chadema ninapenda kuwashukuru mawakili na wanasheria wote waliojitolea muda wao, taaluma yao...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kipangula: Taarifa Potofu Zinaweza Kuvuruga Mshikamano wa Taifa

    Na Mwandishi Wetu. Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Wakili Patrick Kipangula , amesema uandishi wa habari usiozingatia maadili unaweza kuhatarisha umoja wa kitaifa, amani na utulivu wa jamii. Akizungumza na waandishi wa habari ambao ni wanachama wa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA watoa Taarifa kwa Umma kuelezea alichosema Lissu baada ya kukutana na Wakili Kisabo. Adai Uchunguzi huru wa kimataifa kwa matukio ya Oktoba 29

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinawaarifu wanachama wake, wafuasi na umma wa Watanzania kuwa, Wakili Paul Kisabo amemtembelea Mwenyekiti wa chama, Mhe. Tundu Lissu, katika Gereza la Ukonga, jijini Dar es Salaam. Katika mazungumzo yao, wamejadili kwa kina mwenendo wa kesi...
  13. JamiiForums Tanzania KWELI Kwa taarifa yako… uking’atwa na nyoka huruhusiwi kufunga kamba juu ya kidonda

    Kumekuwepo na chapisho ambalo limechapishwa na chombo cha habari cha Azam tv tanzania kikiwa nukuu ya kuwa uking’atwa na nyoka huruhusiwi kufunga kamba juu ya kidonda, kuchanja wala kunyonya sumu kwa mdomo. Unachopaswa kufanya ni kutulia kwanza ili kupunguza msukumo wa damu. Dai hilo...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa Taarifa Tu: ICC hawaingii hadi majibu ya maswali 5 yafuatayo yatolewe...

    Na. M. M. Mwanakijiji Kwa wanaokumbuka nilitoa taarifa mwezi wa kumi na mbili mwaka jana hapa kuwa nilipata nafasi ya kufanya "utalii" pale The Hague Uholanzi. Sikuwahi kufikiria naweza kufika mahali hapo kiutalii na kuweza kujifunza mambo mbalimbali. Matukio ya Oktoba 29-Nov. 4, 2025...
  15. R

    JamiiForums Tanzania BURKINA FASO: Serikali yakana ripoti ya zaidi ya raia 1,800 kuuawa kipindi cha uongozi wa Traore

    Burkina Faso imekanusha taarifa inayodai kuwa zaidi ya raia 1,800 wameuawa katika matukio yanayochukuliwa kama “uhalifu dhidi ya ubinadamu” tangu Ibrahim Traoré alipochukua madaraka kwa nguvu miaka mitatu iliyopita. Shirika la Human Rights Watch, lililotoa ripoti hiyo, linasema kuwa mauaji...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa Karne tuliyopo unapoenda kumtembelea mtu jitahidi utoe Taarifa kabla

    Usikurupuke kwenda kwa mtu umetoka sehemu unaenda kwa mtu bila taarifa wengine tunasababishiana tuonekane tuna roho mbaya kumbe mtu unakuja hutoi taarifa yoyote unashtukia tu mtu huyu hapa na mbaya zaidi bora uje ukae kidogo uondoke ila unang'ang'ania kulala kwamba hutaki kuondoka. Watu tuwe...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kutohama kwa taarifa za Utumishi baada ya kuhamia Halmashauri nyingine

    Mimi ni mwalimu, Nimehama kutoka halmashauri A tangu mwaka 2024 na sasa nipo halmashauri B lakini mshahara na taarifa za utumishi bado zinasoma halmashauri A. Na wanaohusika kuhamisha hizo taarifa ni TAMISEMI na kila ninapowapigia simu majibu ni yaleyale kuwa watahamisha lakini hawajahamisa...
  18. JamiiForums Tanzania Kheri ya siku ya kimataifa ya uhakiki wa Taarifa (International Day of Fact-Checking)

    Kila ifikapo April 2 kila mwaka Dunia huadhimisha siku ya kuthibitisha taarifa mtandaoni ikiwa ni lengo la kuhamasisha umuhimu wa kuchunguza ukweli wa habari kabla ya kuziamini au kuzisambaza. Siku hii ilianzishwa mwaka 2016 na taasisi mbalimbali za habari na uhakiki wa taarifa, hasa...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu katika taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu Iran!!

    Benjamin Netanyahu katika taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu Iran, Hapa kuna mambo MUHIMU ZAIDI: -"Natumai naweza kukuambia kuhusu miungano muhimu hivi karibuni". -"Utawala wa Iran unatarajiwa kuanguka - mapema au baadaye". -"Tuliunda mabadiliko ya kimkakati - Iran ilitaka kutunyonga, leo...
  20. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Advanced Excel katika uchambuzi wa taarifa ofisini

    Wakuu, husika na mada tajwa hapo juu, naomba mnisikilize kidogo. Nimehitimu masomo yangu mwaka 2024 katika fani ya IT in Business. Baada ya hapo nilipata nafasi ya kufanya kazi katika kampuni moja iliyopo Posta, ambapo nafanya kazi kama Consultant pamoja na Data Analyst. Pia ninashiriki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…