Tanzania Railways Corp
JF-Expert Member
- Mar 23, 2018
- 291
- 686
TAARIFA KWA UMMA
ONGEZEKO LA TRENI YA EMU KATI YA DODOMA NA DAR ES SALAAM
Dar es Salaam, Juni 12, 2026.
Shirika la Reli Tanzania (TRC) linapenda kuuarifu umma kuwa, kufuatia ongezeko la mahitaji ya huduma ya usafiri, limeongeza treni ya Mchongoko (EMU) kwa siku ya Ijumaa Juni 12, 2026 kati ya Dodoma na Dar es Salaam.
Treni hiyo itaondoka Dodoma kuelekea Dar es Salaam majira ya saa 1:00 usiku.
Hatua hii imelenga kukidhi ongezeko la idadi ya wasafiri na kuendelea kutoa huduma bora, salama na ya uhakika.
TRC inawashauri wasafiri kukata tiketi mapema kupitia mfumo rasmi wa ukataji tiketi ili kuepuka usumbufu.
Imetolewa na Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano kwa Umma, Shirika la Reli Tanzania (TRC).
FREDY MWANJALA