CHAMA CHA MAPINDUZI
TAARIFA KWA UMMA
Chama Cha Mapinduzi tunapenda kuwashukuru wananchi wa Jimbo la Konde wilaya ya Micheweni mkoa wa Kaskazini Pemba kwa kuendelea kukiamini chama chetu na kukipatia ushindi wa kishindo katika uchaguzi mdogo wa jimbo la hilo ambapo mgombea wa CCM Ndugu...
Watu watano wamepoteza maisha mkoanii Ruvuma kwa muda wa siku 7 likiwemo la mwanafunzi a kidato cha kwanza Sekondari ya Mbinga wilayani na mtumbo la kucharazwa viboko hadi kufa. Kamanda wa Polisi Ruvuma Bw Joseph Konyo anawashikilia walimu 6 katika tukio hilo ambalo hakuwataja majina kwa ajili...
Habari ndugu msomaji wa mtandau huu, karibu katika mfululizo wa makala zetu za kukuelimisha katika nyanja ya uwekezaji katika hisa. Leo ningependa kuzungumzia kuhusu namna na urahisi wa kusoma taarifa za fedha za Kampuni ambazo zimesajiliwa katika soko la hisa. Vile vile somo hili la leo...
Jamaa huyo maarufu kwa jina la Zungu ameuliwa kwa kuchomwa moto na mpenzi wake huyo kwa jina la Neema. Tukio limetajwa kutokea huko Mbezi Makabe, Dar jana usiku.
Sababu inadaiwa ni jamaa kutokuwa mwaminifu katika mapenzi yao ndipo mdada anadaiwa kumfungia ndani jamaa kisha kumwaga petrol na...
PICHA: Dkt. Dorothy Gwajima
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dk Dorothy Gwajima amesema serikali haitatumia nguvu katika kukabilia wimbi la tatu la virusi vya corona, na badala yake watajikita katika utoaji elimu zaidi.
Akijibu maswali ya waandishi wa habari jana Dar es...
Salaam Wakuu,
Taasisi ya Elimu Tanzania TET yaibuka na kukanusha habari zilizoenea kuwa waliahirisha somo la historia ya kiswahili kwa sababu vitabu vilivyoandaliwa kwa somo hili vilijikita kusifia watawala.
Soma: Mitaala ya somo la Historia iliyositishwa ilijaa propaganda za kumsifu Magufuli...
Kwema wadau,
Katika thread hii tutakuwa tukipeana Habari za usajili wa wachezaji kwa msimu 2021/22 kutoka nchi mbalimbali na ligi mbalimbali duniani.
Kuna baadhi ya timu zimeshakamilisha usajili wa baadhi ya wachezaji ambapo:
ULAYA,
David Alaba from Fc Bayern to Real Madrid
Memphis Depay...
Msemaji wa Simba SC Haji Manara binafsi nakuheshimu mno na nisiwe pia Mchoyo wa Kukusifia na Kukupongeza kuwa ndani ya Klabu ya Simba nawe umeweka Alama yako ya Mchango wako mkubwa wa Kuitangaza vyema Simba SC na kuwa Brand hivi ilivyo sasa.
Hata hivyo Msemaji wa Simba SC Haji Manara leo...
Habari JF.
Miaka ya nyuma Kati ya 2011 na 2012, Serikali ilianzisha ujenzi wa Maktaba au library ya kumuenzi Waziri Mkuu Kawawa. Maktaba hiyo ilikuwa ikijengwa eneo la Madale jijini Dar.
Mwenye taarifa juu ya kukamilika kwa maktaba hii na ikiwa inatumika atujuze. Najua nyakati hizi za digital...
Rais Samia Suluhu Hassan leo amepokea Taarifa ya Ukaguzi Maalum kutoka kwa CAG inayohusu matumizi ya fedha zilizotolewa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kuanzia Januari hadi Machi 2021. Ripoti imebaini uwepo kwa miradi ambayo haikupangwa na hivyo kufanya malipo nje ya bajeti.
Wakubwa shikamooni, Naomba Leo niwe mjinga kiwango Cha lami ya kutoka Iringa kwenda dodoma.
Leo hii tunashuhudia kesi mbali mbali zikiwa zinahitimishwa mahakani na watuhumiwa kuachiwa huru bila kukutwa na hatia, na majaji au mahakimu wakisema ushahidi umeshindikana kuletwa au kujitosheleza...
Mioyo yetu si vibaya sana kama tukianza Kuizoesha Asubuhi hii kwa kupokea Habari ( Taarifa ) yote tu ile iwe ni mbaya au nzuri kuanzia Saa 12 Kamili jioni ya leo.
Nawatakieni kila la Kheri ila tu tusiumie.
Mtangazaji wa Kituo cha Runinga cha KBN nchini Zambia amefunguka kuwa yeye na wenzake hawajalipwa mishahara yao.
Kalimina Kabinda alikatisha taarifa ya habari na kuwaumbua waajiri wake mubashara, na kisha kuichapisha video hiyo katika mtandao wa kijamii wa Facebook.
Pamoja na video hiyo...
Waziri anayehusika na kazi anayo habari kuwa mamia ya wafanyakazi katika mabenki mbali mbali hapa nchini wamepoteza ajira kwa kufukuzwa?
Walianza Access, Finca na sasa Stanchart na mengine binafsi isipokuwa yanayomilikiwa na serikali. Kibaya zaidi wafanyakazi wanalipwa mafao duni na wengine...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limetangaza donge nono la kiasi cha shilingi milioni mbili kwa mtu yeyote atakayetoa taarifa za kweli na kwa usiri mkubwa kwa jeshi hilo kuhusu mtu anayefanya uhalifu wa kutumia silaha, lengo likiwa ni kuhakikisha mkoa huo unabaki kuwa shwari...
Ili kupunguza malalamiko mitandaoni yanayopelekea viongozi wa kisiasa kutumbua Watumishi wa umma nakushauri uwaelekeze wakurugenzi, wakuu wa taasisi na Makatibu wakuu waweke wazi njia za mawasiliano Kama Nampa ya simu, WhatsApp na email ambazo jumbe zitakazotumwa zitawafikia wao tu bila kusomwa...
Ni takribani mwezi Sasa malipo ya serikali hayafanyiki kwenye taasisi mbalimbali baada ya kile kinachodaiwa mfumo wa hazina unaotoa control number kushindwa kufanya hivyo. Kutokana na changamoto ya control number fedha lazima zitakuwa zinapigwa kwa sababu huduma zinatolewa manually kitu ambacho...
Wadau wa JF
Mkuu wa Mkoa wa Mara Mheshimiwa Ally Hapi ameshiriki Swala ya Ijumaa katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa uliopo Musoma Mkoani Mara
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Mara Msabaha Kassimu alimpa nafasi ya Kuswalisha Mheshimiwa Hapi
Mheshimiwa Hapi baada ya suala alitoa hotuba na alihimiza Umoja...