taarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Taarifa hizi za Mradi wa JNHPP zimefichwa kumlinda nani?

    Taarifa muhimu kuhusu Mradi wa JNHPP zimeshindwa kuwekwa wazi licha ya kutambua kuwa Mradi huu ni wa watanzania na wala sio mali binafsi ya familia ya 'Watu wazuri hawafi" Ni sababu zipi zilizosababisha watanzania washindwe kuambiwa Mradi utakamilika lini? Ni sababu zipi zilisosababisha...
  2. JamiiForums Tanzania Tetesi: Usajili dirisha dogo

    ~ Yanga wamalizana na Muzungu kutoka Berkane. ~ Yanga wanamaliza na Bobosi. ~ Yanga wanatarajia kuwatumia Yacouba, Sogne na Kambole kwenye mashindano ya Mapinduzi, ili kuwaangalia nani wa kumuacha na nani wa kumbakiza. ~ Yanga wapo mbioni kuachana na Makambo, Ambundo. Sijapata za uhakika...
  3. JamiiForums Tanzania Tafuta hela, kutafuta taarifa za watu ni umaskini

    Watu wako busy sana na kufuatilia maisha na taarifa za watu. Muda ni rasilimali adhimu tena adimu. Muda ukikuacha huwezi kuupata tena. Kwanini unahangaika na maisha ya watu? Jali muda wako na uuheshimu. Muda unaourumia kwa umbea, majungu, na uzandiki , utumie kuzalisha mali na kuboresha maisha...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi: Mabehewa yaliyokuja siyo ya SGR ni ya MGR

    Behewa ni 22 zilizokuja kwa reli ya Kati MGR na si miongoni mwa behewa za @SGR_tz. Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi.
  5. JamiiForums Tanzania Marekani: Tiktok yashtakiwa kwa kudanganya kuhusu Usalama wa Taarifa Binafsi za Watumiaji

    Mwanasheria Mkuu wa Jimbo la Indiana amesema mtandao huo unawapotosha watumiaji wake hasa watoto kuhusu kiwango cha Maudhui Yasiyofaa na Usalama kwa Mtumiaji. Katika malalamiko yaliyowasilishwa na Todd Rokita ambaye ni Wakili Mkuu wa Republican amesema kuwa Tiktok inakusanya maelezo nyeti na ya...
  6. JamiiForums Tanzania Anachokifanya Hamisi Kingwangalla kuhoji kuhusu mabehewa yaliyonunuliwa ni kwa nia ovu, ni vyema ajibiwe

    Hamisi Kingwangala (Mb), Nzega Vijini, amekuwa akitoa maneno yenye nia ya kuchonganisha kuhusu mabehewa yaliyonunuliwa katika ukurasa wake wa tweeter. Kwa nafasi yake anapowauliza Watanzania kama mabehewa ni ya mtumba? Na kuonyesha tumepigwa bila ushahidi, huku akisema hajayaona mabehewa hayo...
  7. JamiiForums Tanzania Idara ya Uhamiaji imemtisha na inamsaka aliyevujisha taarifa ya watalii kusota kisa wao pale KIA

    Hivi kosa la huyo mtu mwema anayebainisha mapungufu lipo wapi?! Eti taharuki kwa umma, hovyo kabisa. Uhamiaji acheni vitisho mnapoumbuliwa bali chukueni changamoto kabla somo jema kwenu kujirekebisha.
  8. JamiiForums Tanzania Yule anayepiga simu wakati maongezi yanaanza, taarifa ya habari, ibada au mikutano ni kivuruge anayeudhi

    Kuna watu huwa wanaudhi sana, yaani anaweza asikupigie simu muda mrefu sana au hata kama anakupigia mara kwa mara lakini mara nyingi kuna watu fulani hupiga simu punde tu maongezi yanapoanza.. Mfano anapiga simu mara tu mnapoanza maongezi au mikutano, ibada, taarifa ya habari au kugegedana, na...
  9. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Wizara ya Afya imesema mgonjwa wa mwisho wa Ebola ameruhusiwa kutoka Hospitali

    Wizara ya Afya imetangaza taarifa hiyo na kueleza hali ya matumaini ya kufanikiwa kuudhibiti ugonjwa huo ulioathiri watu 142 na kuua wengine 56 imerejea nchini humo. Afisa Kutoka Wizara ya Afya, Diana Atwine ameandika pia kupitia Twitter "Ninafuraha kutangaza kwamba tumemruhusu mgonjwa wa...
  10. JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya (EU) yagoma kuiomba msamaha Ukraine kwa kuvujisha taarifa za vifo vya askari wake

    Jumuiya ya Ulaya inasema tayari imetoa ufafanuzi wa taarifa hiyo. Jumuiya ya Umoja wa Ulaya inasema "hakuna haja ya kuomba msamaha" kwa Ukraine kwa kauli ambayo sasa imefutwa iliyotolewa na rais wake, Ursula Von Der Leyen, ambaye alidai kuwa wanajeshi wapatao 100,000 wa Ukraine wamepoteza...
  11. JamiiForums Tanzania Shukran kwa wote mnaotupenyezea nyaraka na taarifa za siri za ubadhilifu na zimefanyiwa kazi

    Habari za Majukumu wapendwa! Ninafarijika kuona Watanzania wanaoipenda nchi yao bado wapo na wanaendelea kuwapo, hawajali hcama wala kabila au dini! Nimepokea zaidi ya PM za siri ambazo sitakuja kuziainisha popote kwa kulinda siri za watoa habari, uzuri hizo nyaraka na kumbe za siri...
  12. JamiiForums Tanzania Taasisi za afya zitekeleze utunzaji salama wa taarifa za wagonjwa

    Taarifa za matibabu ni miongoni mwa nyaraka nyeti zaidi kwa mtu yeyote. Kuweka salama taarifa za mgonjwa ni sehemu muhimu ya kudumisha uaminifu wa mgonjwa, na pia kulinda utu na heshima yake. Katika mlolongo wa kupata matibabu wakati fulani mgonjwa analazimika kufichua taarifa zake binafsi...
  13. JamiiForums Tanzania Taarifa ya awali ya ajali ya ndege ya precision kutoka Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Air Bulletin Accident)

    Shujaa Majaliwa hatajwi kwenye report hiyo. Jisomee mwenyewe.
  14. JamiiForums Tanzania TRC yakanusha taarifa ya mabehewa ya SGR kuzuiwa Nchini Ujerumani

    Pia soma: Fedha zetu matopeni tena?
  15. JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma: Kanusho la kuzuiwa behewa za SGR Ujerumani

    TAARIFA KWA UMMA - KANUSHO LA KUZUIWA KWA BEHEWA ZA SGR UJERUMANI Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa
  16. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna taarifa Qatar waliwahonga wachezaji 8 wa Ecuador mabilioni ya pesa!

    Nimesoma mahali kwamba Qatar iliwahonga wachezaji 8 wa ecuador mabilion ya pesa ili washinde mechi yao ya ufunguzi. Inasemekana huo mchezo ulishtukiwa na mashushu na wachezaji hao 8 hawatacheza mechi ya leo!
  17. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu: Toeni taarifa dosari za mahakama zitatuliwe

    Ameyasema juzi katia ufunguzi wa majengo ya Mahakama huko Same/Mwanga. Kweli Mh. Jaji Mkuu, hujui dosari za mahakama zako? Hilo ulilolisema linatoka rohoni au unajikosha? watu wanaozea jela kwa kuonewa hasa wafuasi wa Chadema, nalo hulijui? La "wabunge" 19 wa mchongo nalo hulijui? Unaona...
  18. JamiiForums Tanzania Marekani: Ndege mbili zagongana angani wakati wa maonesho ya kijeshi

    Ndege hizo zilikuwa katika maonesho ya Kumbukumu ya Vita ya Pili ya Dunia (WWII) katika Jimbo la Dallas na baada ya tukio hilo zilidondoka chini na kutokea mlipuko mkubwa huku wananchi wakishuhudia. Haijaweka wazi idadi ya waliokuwemo ndani ya ndege hizo aina ya Boeing B-17 Flying Fortress na...
  19. JamiiForums Tanzania Tafakuri: Ajali ya ndege Precision Air/Tuna imani na watoa taarifa?

    Edward Snowden, mtaalamu wa Kompyuta na wakala wa zamani wa shirika la usalama wa taifa Marekani, NSA. Alipamba vichwa vya habari ulimwenguni baada ya kufichua udukuzi mkubwa unaofanywa na NSA duniani kote..huku akitajwa kuwa ni shujaa, msaliti, mzalendo na muasi. Aliamua kuweka ukweli...
  20. JamiiForums Tanzania Taarifa muhimu kuhusu PREP"pre exposure prophylaxis"

    Shalom 1. Prep nini? Ni dawa ya kutumia ili kujikinga na ma'am ukizingatia ya virusi vya ukimwi kwa watu ambao bado hawajaambukizwa na wako katika hatari zaidi ya kuambukizwa vvu. 2. Nani wanufaika wa prep? Prep inapaswa kutumiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…