Nakuwaga tu curious na kujifunza vitu randomly. Hivi karibuni nimekuwa nikijiulaza nani anahusika na kuwavalisha marefa wa mpira wa miguu?
Nimefanya quick search lakini naona tu habari za brand zinazozalisha hizi nguo zao, but nani analipia?, zinakuwa wapi? Nani anahakikisha kila mmoja ana nguo...