Swali kwa wachambuzi wa siasa za maharibi!

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,952
Reaction score
9,469
Tarehe 7 May Bunge la Umoja wa Ulaya litasimamisha bunge la kawaida kwa muda masaa 12 kujadili Tatizo Antipas Tundu Lisu kama mkutano wa dharula!Je hii inamadhara yoyote kwa Tanzania au wanaongea yanaisha na Maisha yanaendelea Tanzania?Na je kama kuna madhara ni madhara gani kiuchumi kisisa Tanzania itayapata??
Nawakalisha.
 
Hapo watatathmini wanachokipata kama return ya mikopo Yao....wataangalia zaidi malengo ya serikali yetu kama yanaendana na Sera zao halafu mwishoni kabisa watamzungumzia Lissu kama mengineyo.
Kikao kitakuwa kimeisha.
 
Back
Top Bottom