swali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kabla hujaenda ngazi moja ya elimu au hujampeleka mtoto kwenye ngazi mpya ya Elimu jiulize swali hili

    Si kwamba elimu ni useless, hapana. Elimu ni very potential asset lakini inapokaa kichwani mwa mtu na haina impact hiyo elimu ni useless. Kupoteza muda na fedha tu. Sasa una degree ya miaka 3 au 4 then unakuja kulowea kwenye bodaboda hiyo elimu ni useless. Umeitia serikali hasara kwa...
  2. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Swali: Je huyu ni mchezaji gani?

    Wewe ni nguli wa kufatilia soka, twende kazi. Ni mchezaji gani amecheza na wachezaji hawa kwa nyakati tofauti, iwe kwenye vilabu au timu ya taifa. Mchezaji gani huyo kacheza na Messi, Cristiano Ronaldo, Neymar, Zidane, Beckham, Mbappe, Ronaldo de Lima, Kaka, Xavi na Iniesta? Weka jibu lako hapa…
  3. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wanaume wote

    Huna hela yakusupport familia yako kama mwanaume anatokea mke watajiri anawapa offer ya mke wako kuwa hawara wamume wake nakumpa kila atakacho maana huyo mke watajiri yupo busy kwa kazi hana time yakufanya mapenzi na mumewe . Na mkataba unasema ni ml 5 kwa kila mwezi mkeo ahamie kwa jamaa sasa...
  4. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Mungu (Allah)

    Swali la kwanza: Kwenye kitabu chako cha Qur-an, unasifia kuwa ni kitabu ambacho hakiwezi kubadilishwa maneno yake na maudhui yake Abadan Abadan, je ilikuwaje ukaanza na kushusha kitabu chako cha INJILI ambacho kiliweza kubadilishwa kiurahisi? Swali la pili: Kwanini katika kitabu chako...
  5. T

    JamiiForums Tanzania ChatGPT ameshindwa hili swali: Tuwaone wanafunzi wa siku hizi mnaweza ?

    An irregular hexagon with all sides of equal length is placed inside a square of side length 1, as shown below (not to scale). What is the length of one of the hexagon sides?
  6. Brown Nyanja

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu combination

    Jaman,mimi nimemaliza kidato cha nne mwaka 2024,naomba kuuliz je ukiwa na matokeo haya nisomee comb gani ili nipagie coz y radiology chuo Math B Bios B Chem C Phy D Geog c sielew ,nahitaji kusoma PCB lkn sijui kama nitakubaliwa,,,naomben maoni yenu
  7. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania They keep lying to themselves hoping we’ll believe it

  8. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Tuna tatizo kama jamii na taifa maana sielewi mantiki ya watu wazima na akili zao kukubali kuita au kuitwa au kujigeuza chawa

    Kwa sasa, chawa amegeuka superstar katika siasa za majitaka za nchi yetu. Kila aliyekaribu na watawala ima ni chawa au anatafuta kuwa chawa. Je kwa uchawa na uzwazwa huu tutegemee nini? Afugaye chawa na chawa wanaofugwa naye, wote wanahitaji ukombozi. Hii inanikumbusha kauli ya marehemu Mtikila...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba wana Yanga SC wanijibu hili Swali langu 'Kuntu' tafadhali

    Je, baada ya Kikao kizito cha leo baina ya Serikali (kupitia Waziri Kabudi) ambacho kinaendelea kufanyika sasa Uwanja wa Benjamin Mkapa Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said akikubaliana na Serikali na kukubali Yanga SC kucheza Wao Mashabiki wa Yanga SC ambao hadi sasa wapo nje ya Uwanja wa Mkapa...
  10. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Ukweli wa Kushtusha: Maisha ya Milele Yanavyoweza Kuwa Jehanamu

    Je, umewahi kutamani uishi milele? Usiwe na haraka kujibu, kwa sababu huenda baada ya kusikia hadithi hii, utabadili mawazo. "The Last Answer" ni hadithi fupi iliyoandikwa na Isaac Asimov, mmoja wa waandishi mashuhuri wa science fiction. Ingawa hadithi hii si maarufu kama The Last Question...
  11. Money Penny

    JamiiForums Tanzania "'Nani Ananitaka Kimapenzi?'' - Hili swali jibu lake ni lipi eti?'

    Ivi haya maswali yapo bado? kuna mlevi hapa baa ameleeeewa ananiuliza nani ananitaka afu nani analewa jumanne yote hii?
  12. Muimba SINGELI

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wataalamu wa sayansi; Kwanini tunahisi ladha tofauti ya chakula baada ya kushiba?

    Baada ya kushiba ndiyo tunagundua chakula kimezidi chumvi, ama imepungua au kama ni mihogo baada ya kushiba ndiyo tuna gundua ni michungu. Kama ni juisi baada ya kushiba ndiyo tunagundua sukari imezidi ama imepungua. Kwanini ni baada ya kushiba?
  13. Mike Moe

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye tuta wana jamii swali la hesabu

    Can you prove that 4+2=5+1 is true without solving both sides? Explain.
  14. L

    JamiiForums Tanzania Swali kwa watu ambao wako selfaware only (watu WASIO kwenye matrix)

    My apologies kwa matrix people hili sio swali lenu, hili ni swali kwa watu walio self-aware,self-conscious,awake. ( kama wewe hujui tofauti yake nini wala usihofu hiyo ni indication kuwa swali sio lako vinginevyo ungejua). Twende kwenye swali, wakuu naomba kujua ni vitabu gani ambavyo ni your...
  15. Foffana

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe:Uliza swali lolote la History,Economics,Geography na Advanced Mathematics

    Habari za Jioni Wakubwa Leo nimekumbuka nilivyokuwa advanced level...nilisoma tahasusi ya EGM lakini niliongeza somo la history kama back up Yaani kiufupi nilisoma HEGM nikiwa na lengo la kuitumia tahasusi mojawapo kufanyia mtihani either HGE au EGM Tukiachana na hilo...Leo nataka...
  16. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Waziri wa Katiba na Sheria: Nani amechakachua ibara ya 3(1) ya Katiba ya Kiswahili ya Tanzania ya 1977?

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro Mheshimiwa Waziri, Nimeshangazwa na ombi la baadhi ya makuhani kwa Rais Samia wakitaka awape nafasi za ubunge wa kuteuliwa kutokana na kofia zao za kidini. Nataka kulipinga ombi hili kwa kutumia hoja inayosindikizwa na ushahidi usiokanushika...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Swali: Je, tarehe 17 siku ya kumkumbuka shujaa wa Africa ni sikukuu ya umma.? Na sisi watumishi hatuendi kazini?

    Mimi mwalimu mwenzenu nauliza huku nikiwa na uchungu sana moyoni. Shujaa atakumbukwa daima.
  18. Setfree

    JamiiForums Tanzania Tafadhali sana piga kura yako hapa: Swali: Je, unaamini kuwa Yesu yuaja upesi? Ndio au Hapana

    Katika Ufunuo 22:12 Yesu anasema: “Tazama, naja upesi! Thawabu yangu i mkononi mwangu, nami nitampa kila mtu sawasawa na alivyotenda." Swali: Je, unaamini kuwa Yesu yuaja upesi kama alivyoahidi katika Maandiko hayo? Jibu NDIYO au HAPANA Maelezo ya Upigaji Kura: Huruhusiwi kubadili jibu lako...
  19. Ileje

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu amwambia Balile "Maswali yako ni Nonsense"

    Maswali ya hovyo ya Balile katika mkutano wa Chadema na wahariri wa vyombo vya habari yapelekea kuambiwa anauliza nonsense jambo ambalo limemkera sana na kuanza kutafuta kanuni za mkutano. Balile ambaye ndiye alikuwa anaongoza mkutano huo alitumia muda mwingi kuvuruga mkutano badala ya...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Swali moja tu kwa Felchesmi Mramba wa Nishati; huo umeme wa Ethiopia anaosema leo ni bei nafuu, mkataba unawazuia Ethiopia kupandisha bei milele?

    Bado tuna majibu mepesi mepesi na ya kisiasa kuhusu suala la kununua umeme toka Ethiopia. Kwanza tuliwauliza kama sisi tuna transmission losses kubwa kupeleka umeme mikoa ya kaskazini, Ethiopia hawana? Mkajibu kuwa kununua umeme ni sehemu ya kuimarisha usalama wa power supply nchini -...
Back
Top Bottom