swali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Polepole popote ulipo nikuulize swali: Ukiteuliwa say, kuwa Waziri Mkuu, uta decline uteuzi kuwa huwezi kuwa sehemu ya mfumo wa kutotenda haki?

    Tunakujua toka ukiwa katika Tume ya Katiba na kabla ya hapo kuwa MTETEZI MKUBWA WA HAKI. Baadaye ukaja kwa Magufuli ukawa sehemu ya KUZIMA HAKI /DHULUMA YA HAKI...... Magufuli kafa, ukakosa CHEO ULICHOKITEGEMEA, UKAANZISHA DARASA LA SIASA. Ukateuliwa kuwa balozi....ukaenda, ukabadilishwa...
  2. 1Africa54

    Swali namba 2 (kwa mtindo wana JamiiForums)

    Je, kwa nini mchakato wa Katiba mpya umekuwa ukisuasua licha ya ahadi za kisiasa kutoka kwa viongozi wa juu, na ni nani anayefaidika na hali hii ya kutokuwepo kwa mabadiliko ya kikatiba?
  3. 1Africa54

    Kwanini mchakato wa Katiba mpya umekuwa ukisuasua licha ya kuwa ni moja ya mada kuu za kisiasa nchini Tanzania?

    1, Ni mambo gani ambayo ni kikwazo kwa utekelezaji wa mchakato wa katiba mpya kwa Taifa letu Tanzania? 👉 Ukosefu wa nia ya kisiasa kutoka kwa viongozi wa juu 👉, Ukosefu wa fedha za kufanikisha mchakato huo 👉Upinzani kutoka kwa vyama vya siasa vya upinzani 👉Shinikizo kutoka kwa jumuiya za...
  4. Bueno

    Unafanyaje unapotukanwa na mlevi?

    Hivi wewe unajisikiaje unapotukanwa Matusi ya Nguoni na Mlevi anaekunywa Pombe mpaka anajinyea? How do you feel? Yaani mlevi anaekunywa pombe mpaka anashindwa kujizuia haja kubwa anaanza kukutukana unajisikiaje? Samahani kwa wale wanaokunywa kistaarabu, namaanisha sizungumzii wewe unaekunywa...
  5. SweetyCandy

    Nauliza swali kwenu watu wajf

    Kama madaktari na watu wengine wanasema kutofanya mapenzi muda mrefu ni kupata tatizo la akili . Nauliza mbona waganga wameoa wake hadi 10 , na zaidi , na bado hawana afya ya akili nawamechanganyikiwa tu . Hadi wengine wanaparamia wateja wao . Kuna hawa wanaojiuza mbona wao wanafanya mapenzi...
  6. MIXOLOGIST

    Swali ni moja tu, je huyu mwamba ni asset au liability?

    Bila kuelemea upande wowote, kijana wetu (Polepole)kaacha kazi ya ubalozi Kaacha maokoto, kaacha vitu vyote vinavyoambatana na hadhi ya ubalozi Kimsingi, huo ni ujasiri mkubwa, ameamua kusimamia kile anachoamini Kwa kiasi fulani, kaacha unafki, kachagua upande bila ya kujali gharama kubwa...
  7. Carlos The Jackal

    PreGE2025 Vyombo vya Dola, Mna uhakika Samia hatoendelea kuwaingiza kwenye mtego wa matumizi ya Nguvu na Uvunjifu wa Haki za Raia?

    Hili Swali nililiuliza Punde tu Samia alipojiteua kua Mgombea !!. ( Unajua Mtego anaowaingiza Samia, utawafanya Vyombo Dola mnuke Damu za watu, matokeo yake mtajikuta mko Blackmailed, in turn mtajikuta nanyinyi mmeamua kutumia Mbinu za Uovu ili kuendelea kubakia Madarakani, mkiogopa kuchukuliwa...
  8. Mzee Mwanakijiji

    Mwenge wa Uhuru upo kwa faida ya nani?

    Leo kwa mara nyingine mbio za mwenge zimeanza tena Tanzania, na safari hii mwenge umewashwa huko Dole Zanzibar kuendeleza ile adhma ya taifa letu changa kuwa "sisi tumekwisha kuwasha mwenge na kuuweka Kilimanjaro". Mwenge huu ulipowashwa mara ya kwanza na kuwekwa kwenye kilele cha Kilimanjaro na...
  9. R

    Swali: Kwanini Ardhi ilaaniwe kwa kupokea damu ya Abili, iliyomwagwa na Kaini nduguye?

    Salaam, Shalom! Njooni tujadili, Nikiongea Mimi sana, labda nakuzuia pia kufikiri in deep. Ni hivi, KITABU CHA( Genesis 3:17, 4:10-11) Kaini anafanya suiside, anamuua nduguye Habil, damu inamwagika ardhini. Sasa inapotoka adhabu, hakuadhibiwa Cain pekeake, ardhi pia inapewa laana. Laana...
  10. 1Africa54

    Kukojoa haswa kwa WANAUME sana sana asubuhi halafu unajamba inatokana na nini?

    Swali, hivi ile issue ya kukojoa haswa kwa WANAUME sana sana hasubuhi alafu unajamba pyeeee inatokana na nini,? Unaweza ukaona utani ila ukiwa kwenye nyumba za kupanga ni nouma yaani shwaaaa pyeeee😂😂😂😂 Unapata fezeha atari 🤩 yaaani pyeeee Tunaomba Ushauri jinsi ya kuzuia
  11. 1Africa54

    Swali Kwa wanaume?

    Ni vyakula gaini haswa ni vizuri kwa afya ya uzazi wa kiume? Ulipo ona unawahi ku mwaga wazungu ulifanya ni nini kurekebisha na kupona ili tatizo? Mwisho ni kweli kama umeweza kumfikisha mwanamke flani kileleni orgasm je utaweza kwa kila mwanamke?
  12. Smartkahn

    Home of Great thinker, WanaJF naomba nisaidieni jibu la hili swali

    Someone's mother has four sons. North, South, East. What is the name of the fourth son. Reply in the comment section below the name of the fourth son? Karibuni. Reply zikifika kati ya 50 nakuendelea tutavuta marking scheme kujua nani kapata nani kakosa we jibu swali usitoe maelezo...
  13. D

    Swali fikirishi: Kwanini chadema wanamjadili Zitto zaidi ya wanavyojadili matumizi ya tone tone?!!!!!

    Hali ipo hivyo kuanzia kule juu mpaka chini, tatizo nini' mbona inashangaza sana?!!!!!!
  14. W

    Nina swali kwenu wadau

    Habari za mda huu wadau Hivi mwanamke anaweza kusoma chuo miaka mitatu vijana wa hovyo wasipite nae hili ni swali kutoka kwa mtu wangu wa karibu mwisho wa kunukuu
  15. GENTAMYCINE

    Wataalam wa Uchumi (Foreign Exchange Rates) nitashukuru nikipata Elimu yenu kubwa ya Kina juu ya hili Swali langu Kwenu

    Ni kwanini ukitaka kutuma Pesa (kwa kuibadilisha moja kwa moja katika Mitandao ya Simu) mida ya Mchana kwenda Alasiri Exchange Rate inakuwa ni nzuri sana tofauti na nyakati za Asubuhi au Jioni au Usiku? Kuna Siri gani hasa nyakati za Mchana na Alasiri Kiuchumi? Asanteni.
  16. B

    Wanaume njooni mnijibu swali langu

    Najua sio wote wenye jii tabia ila naimani wenye tabia hii mpo na humu Kipi upelekea ukawa na mahusiano na watu wa karibu na mkeo?? Yan wewe hauoni mbali ni marafiki wa mkeo, majiran waliokaribu na mkeo ..yan mkeo akicheka na mtu leo kesho ushachapa Je labda mke kuna mahali anafel au shida nn...
  17. Doto12

    Swali. Je baada ya kuvunjwa bunge, mawaziri wanaendelea?

    Kwa mujibu wa taratib naomba kujua ukomo wa ubunge, ni baada ya kuvunjwa bunge. Mtu anakuwa sio mbunge tena, je uwaziri unakaa pembeni? Tukumbushane wajuz wa mambo.
  18. stabilityman

    nimepata swali inbox Engineer samahani ningependa kufahamu utofauti wa gharama uliopo kati ya hidden roffing na roffing za kuonekana

    Hakuna haja ya kuomba radhi—swali lako ni la msingi kabisa! Tofauti ya gharama kati ya “hidden roofing” (paa lililofichwa) na paa la kawaida (linaloonekana) inategemea mambo kadhaa, lakini hapa kuna muhtasari wa tofauti kuu: * Hidden Roofing (Paa lililofichwa)* Faida za gharama: Hupunguza...
  19. Powell Gonzalez

    Niulize swali lolote kuhusu uchumi au biashara

    Uliza swali lolote la Uchumi au biashara, nikujibu kitaalam. That's what I like the most!
  20. Pearce

    Swali: Iran bado ina vinu vya nukes? Kakamilisha kuunda silaha?

    Wakati huo SADDAM HUSSEIN akiwa kama KOBAZI mkuu Middle East alianza kuunda siraha za NUKES na zingine za sumu. Hile project iliishushwa ikawa vifusi na SADDAM HUSSEIN akarusha SCUD missles kupiga ISRAEL....baada ya hapo ISRAEL ilitulia na SADDAM hakusikika tena na hizo Project na Wayahudi...
Back
Top Bottom