swali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Swali Gumu: Kwanini kila ninayemsaidia huwa hana shukrani?

    Zamani sana bendi moja hapo Dar: ama Dar es salaama Jazz au Western Jazz iliimba kuwa "Tenda Wema, nenda zako, usingoje shukurani". Maudhui ya wimbo huu yamesharudiwa na waimbaji wengi sana siku za hivi karibuni. Mimi ni mtu wa makamo sana wakati huu na katika maisha yangu nimeshasaidia watu...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Wasioamini Mungu (Atheists) juu ya udhalimu wafanyao Watu kwa watu wengine

    Mjadala wa maadili hasa juu ya wema na uovu ni mjadala mkubwa na mzito sana kwa Wakana Mungu(Atheists) na unawasumbua sana, sijajua hawa tulio nao humu JF ila kwa wale wakubwa hasa kina Richard Dawkins na mfano wao, ndiyo maana leo hii nimekuja na hili la uovu na wema ili tupate kuwasikia...
  3. JamiiForums Tanzania Calculus: Swali limekosewa, limekosewa wapi?

    Swali la kwanza limekosewa http://www.math.ubc.ca/~israel/m215/roo/ Jibu lake liko kwenye attachment hiyo hapo chini. Ni jibu na si njia ya kufikia jibu hilo. Aliyefanya swali hili atakuwa alikosea kwenye stage ipi? NB: Kilichokosewa hapa ni jibu, yaani swali liko sahihi, ila jibu lake ndiyo...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Swali Fikirishi: Nini mwelekeo wa waliohama vyama kwa misingi ya kuunga mkono juhudi?

    Wakati Chama cha Mapinduzi kikiendelea na michakato ya kupanga safu za uongozi kufuatia kuondoka kwa Mwenyekiti Hayati John Pombe Magufuli, nini hatima ya wanachacshama waliohamia chama hicho kwa misingi ya kuunga juhudi za rais? Najaribu kuwaza kwa sauti: 1. Ukizingatia kwamba juhudi...
  5. JamiiForums Tanzania Swali chokonozi: Hayati Magufuli aliwapigania wanyonge gani?

    Ndugu zangu poleni na msiba. Tukiwa tunaendlea na maombolezo ya JPM, naomba kuwajua wanyonge ambao huyu mtu aliwapigania na kuwatetea. Hii itasaidia kuweka kumbukumbu sawa. Kabla hatujamwita na kumfananisha na masiya. Je wanyonge aliowapigania ni kina nani? Aliwakuta wakiwa na hali gani...
  6. JamiiForums Tanzania Swali: Msiba wa Rais hauna watani?

    Hayati Rais Magufuli ni Msukuma na amekuwa akipita maeneo mengi na kusema ni watani zake, kwa Dar, Wazaramo ni watani zake, Of coz Wasukuma ni watani wa makabila mengi sana nchini. Kawaida makabila yanataniana wakati wa misiba, sioni watani kwenye msiba huu, au tumeacha desturi zetu, au...
  7. JamiiForums Tanzania Swali: Je, wakati huu wa maombolezo, kazi na shule zinafanya kazi kama kawaida?

    Poleni sana Watanzania wenzangu na msiba mzito. Nataka kujuzwa kama kazi za kiserikali, mashule na biashara zitafanya kama kawaida ama ni tofauti ya hapo kutokana na huu msiba wa Rais wetu? Asanteni.
  8. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujibu swali la, "Why should we hire you?" kwenye interview

    Habari wakuu. Kwa uzoefu wangu wa kufanya interviews zaidi ya 20 kwa kipindi cha miaka 6 iliyopita, moja ya swali ambalo nimekutana nalo mara nyingi ni, "WHY SHOULD WE HIRE YOU?". Kwanza, niwe wazi kuwa hili ni kati ya swali ambalo kiukweli binafsi silipendi kabisa. Kwa nini silipendi? Kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Swali LA KIZUSHI: Je, wahitimu ufundi VTC si mahiri kama mafundi wajifunzao chini ya mwembe?

    Swali la KIZUSHI: Je, wahitimu ufundi VTC si mahiri kama mafundi wajifunzao chini ya mwembe? Fundi magari. Fundi cherehani. Fundi ujenzi. Fundi umeme. n.k. Hudaiwa huku mitaani kwamba wale waliojifunza vyuoni "hujua ya vitabuni tu, lakini ukimleta mtaani, huwezi kumlinganisha na aliyejifunza...
  10. JamiiForums Tanzania Swali la KIZUSHI: Mliosoma chuo kozi ya MD Tanzania, kombi ya PCB ni asilimia ngapi ya yaliyomo?

    Swali la KIZUSHI: Mliosoma chuo kozi ya MD Tanzania, kombi ya PCB ni asilimia ngapi ya yaliyomo? Swali hili ni kwa waliosoma / wasomao chuo kozi ya udaktari (MD). Wengi wenu mlisoma kombi ya PCB kidato cha sita. Je, usingesoma PCB, usingeweza kuelewa na kufuzu kuwa daktari?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mlio karibu na Rais Magufuli, naomba muulizeni swali hili na awape majibu

    Wadau amani kwenu... Kuna jambo linanitatiza na kunisumbua sana kichwa. Nimedokezwa humu JF kuna watu al-maarufu kama "vipenyo" yaani watu kutoka Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) ambao wana access ya kumfikia mzee baba. Ninaomba wanisaidie kumuuliza nini faida na manufaa yaliyopatikana...
  12. JamiiForums Tanzania Klabu Bingwa Afrika: Simba SC ya Tanzania yashinda 1-0 dhidi ya Al Ahly ya Misri katika Uwanja wa Benjamin Mkapa - Dar

    Timu ya soka ya Simba leo iko dimbani kupambana na Al Ahly ya Misri katika mchezo wa hatua ya makundi ukiwa ni mzunguko wa pili kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa majira ya saa kumi jioni. Pamoja na timu zote kuwa na alama tatu baada ya kushinda mechi zao za mzunguko wa kwanza, Al Ahly inaongoza...
  13. JamiiForums Tanzania Wanawake naomba mnijibu hili swali

    Habari za muda huu wana JF! Ni muda mrefu nimekuwa nikisikia hii habari/imani ya baadhi ya sisi wanaume na baadhi ya wavulana. Imani yenyewe ni kuwa Mwanaume aliyekubikiri halafu mkaachana ni mwiko kumnyimba kumnyima unyumba, yaani hata kama mtakuja kukutana ukiwa tayari umeolewa na una watoto...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Nimeulizwa hili Swali nikashindwa kujibu. Wamenishangaa sana

    Nipo Canada baada ya kutoka Sweden na Switzerland. Sasa nlikuwa naongea na mdogo wangu na familia yake. Wao wamekuja nyumba yao ya huku Canada maana wanasema walikaa sana nyumba yao ya Dubai wakaona wapite Sweden kukagua nyumba yao ya huko then waje pumzika hapa hata week mbili. Mdogo wangu...
  15. JamiiForums Tanzania Swali fikirishi. Kwanini Rais Magufuli hakugusia viwanda cha tumbaku na cha Hezi Mazava vilivyofungwa kwenye utawala wake?

    Niliwahi andika humu nikionya kwamba Sera mbovu za kodi na viwanda inaenda kusababisha kufungwa kiwanda cha Tumbaku Moro na hivyo kupelekea kupoteza zaidi ya ajira 1000 za moja kwa moja. Wapiga pambio humu walinishambulia. Kiwanda kikafungwa mwaka Jana na wale jamaa kuondoka. Baadaye kidogo...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Wana Simba SC mliokaribu na Beki Mohammed Hussein Tshabalala nisaidieni Kuniulizia hili Swali langu Kwake tafafhali

    Kiwango chake cha Uchezaji kwa Siku za karibuni si tu Kinashuka bali Kinaporomoka vibaya mno hadi naanza Kujiuliza Maswali mengi na kupatwa na wasiwasi. Tshabalala sasa amekuwa Mzito Uwanjani, hakabi kama Kawaida yake, hasa Kasi yake ile, anapitika Kiurahisi sana na Washambuliaji lakini pia...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi nani mwingine anakereka na hili swali toka kwa wife?

    "Bebi Leo tunakula nini?" Hivi chakula nimenunua, Maharage, mchele, unga, viazi, nyama, samaki vyote viko kwenye kitchen Den na kwenye friji kuna kila kitu. Sasa kwanini uniulize tunakula nini? Wewe huwezi kujiongeza kweli kufanya assortment ya chakula cha kupika.
  18. JamiiForums Tanzania Je, kuna uchawi wa bendera?

    Mambo vipi wana Jf. Natumai wote mko poa. Moja kwa moja kwenye mada. Kwenye pitapita zangu kama mnavonijua mimi ndugu yenu nimekutana na jambo moja geni sana kwenye masikio yangu. Hivi mshawahi kusikia kuhusu uchawi wa kutumia bendera? Yani bendera hizi hizi mfano ya 🇹🇿 Mostly zinazotundikwa...
  19. JamiiForums Tanzania Naombeni majibu ya swali hili la Kiswahili

    Naombeni majibu ya swali hili. JADILI mchango wa tamthiliya andishi ya Kiswahili katika historia ya Tanzania.
  20. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Nitaheshimu ukomo wa miaka 10 ya Urais kulingana na Katiba ya Tanzania

    Rais Magufuli akiwa Korogwe Tanga amesema hayuko tayari kuendelea kuongoza baada ya miaka 10 iliyowekwa kikatiba. Ameyasema haya baada ya Mbunge wa Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani (Prof. Maji Marefu) kusema Rais anastahili kuongezwa muda ilia afanye mambo mengi zaidi. Hii kauli imemaliza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…