Naamini amejibiwa vizuri sana kwa vitendo na katika wakati sahihi. Ashukuru tu hajagusa maslahi ya Super power kwani na yeye wangemnyoosha.
Hata hivyo, bado hayuko salama kwa uovu alioufanya .
Nasoma Comment!
Ungepewa nafasi ya kukutana na mtu mmoja tu kutoka kwenye BIBLIA na umuulize swali, ungependa ukutane na nani na umuulize swali gani? haya twende kazi
Kwa wanaume, wao wanapenda inayobana. Na sababu ni kupata msuguano wa kutosha. Msuguano ukiwa mkubwa na raha inakuwa kubwa.
Mambo ya umbo na.8, rangi ya mtume, makalio makubwa na kissable lips ni kama tomato sauce tu kwenye chips. Yaani haya huwa yanavutia macho na hivyo kuongeza hamasa na hamu...
Ludovick Joseph Lwezaura akitetea (1) kauli za Rais Samia dhidi ya matamko ya TEC, (2) barua ya mshtaka hewa dhidi ya Padre Kitima na (3) barua ya uzushi dhidi ya Askofu Riwaichi. Lwezaura amejitambulisha kwa waandishi wa habari kuwa ni mseminari aliyefika seminari kuu lakini akaukosa upadre...
Wanajukwaa nina maswali machache hapa naomba msaada tafadhali:
1. Yapi mabaya tuliyotendewa na wakoloni na hatutendewi na CCM?
2. Yapi mema ambayo CCM wanafanya, mkoloni hakuyafanya?
3. Mkoloni alitunga sheria kandamizi na akazifuata, kwanini CCM hata sheria zao kandamizi wanazivunja ili tu...
Na. M. M. Mwanakijiji
Mstari Umechorwa
Mstari umechorwa ardhini; wauvuke au wasiuvuke, tuvuke tu tusiuvuke. Matukio yote ya kisiasa ya mwaka huu ambayo hitimisho lake lilikuwa ni Oktoba 29 yameacha ladha yenye ukakasi kwenye ndimi za Watanzania. Kuanzia kutiwa nguvuni kwa Tundu Lissu mwanzoni...
Oy hope mko fiti.
Ebhana kuna vitu hua tunajua vipo namna fulani lakini sababu hasa hua hatujui, binafsi sijawahi kupata ufafanuzi kwanini askari wetu hawaruhusiwi kuwa na ndevu.
Hebu Leo tupate ufafanuzi itakua poa sana kama moja wa wadau ambae ni askaari wetu akatupa ufafanuzi kwa lengo la...
Salaam!
Ikiwa kuna gen Z walioshiriki maandamano na kushtakiwa kwa kesi dhaifu ,batili ya uhaini wako uraiani,
Nini kinamshikilia Tundu lissu gerezani Hadi sasa ambaye hata hakuwa uraiani maandamano yalipotokea?
Hakuna kesi, hakuna ushahidi, hakuna shahidi lakini bado anashikiliwa.
Ninyi GEN...
Nimesoma na kusikia maelezo mbalimbali ya watawala walioshinda kwa kushindwa ya kuhusuiana na Octoba 29. Hata jana Samia alipowasifia JWTZ nilitarajia angesema kitu kuhusu uwezo mdogo wa vyombo vyetu vya usalama kujilinda na malalamiko ya vijana wadogo hadi kuomba watu kutoka nje kuja kuwapiga...
Kuna watu wanaabudia wenzao wasijue watakufa siku moja.
Tuliyaona wakati wa Magufuli.
Sasa tunao machawa.
Mungu wao ni mama yao anayewafuga.
Je, waliwahi kujiuliza? Akifa itakuwaje?
Je, hakuna namna nyingine ya kupata riziki ila kugeuzwa au kujigeuza. chawa mdudu mchafu na hovyo mnyonyaji...
Anaandika Martin Maranja kwenye ukurasa wake wa Instagram
Bwana Jaji Mkuu, George Masaju.
Unauliza nani anasema Mahakama haipo huru? Hebu tueleze ni kwanini kesi ya uhaini inayomkabili Tundu A.M Lissu haijapangiwa tarehe na kwanini hafikishwi Mahakamani shauri liendelee?
Je, huo ndiyo uhuru...
Aliyeniuliza ni mtu wa Australia yeye anachojua kwamba hata sisi watanzania tunafanya vizuri kwenye riadha ila ina reality ninachojua ni wa kenya ndo wanaoshinda Sana marathon..kiufupi nikamjibu kwamba kenya kuna watu wenye asili ya wembamba na miguu mirefu ni jamii za wafugaji ila sidhani kama...
Peace be with you all,
Nianze na ka kisa fulani kalitokea majuzi. Nilikua restaurant fulani hapa A town ghafla nikanuona mwanamke mmoja mrembo sana na alikua nadhifu sana. (Navutiwa na wanawake nadhifu)
Alikua amekaa jirani wanawake wengine kama watatu wanapiga story zao, alinivutia sana...
Sijaelewa na sioni naeleweshwa vipi. Baada ya kuvuruga uchaguzi mkuu, mkatumia nguvu kubwa kuua wananchi wetu, mkaagiza wabakwe na kulawatiwa kama silaha ya dola. Mkakufuru miili ya watoto wetu na kama haitoshi mkatetea na kutuelezea kuwa libido muue, make na kulawiti ili msije kuondolewa kwa...
Familia ya Dainesy, msichana wa miaka 28 aliyeuawa na polisi katika tukio la Oktoba 29 huko Tabata, imeupata mwili wa mpendwa wao baada ya siku kadhaa za sintofahamu na mateso ya kutokujua alipopelekwa.
Kupitia taarifa ya Esha Buheti, ambaye amejitambulisha kama ndugu wa marehemu, familia...
Kuhusu maashimisho ya siku ya uhuru msigwa amesema:
taarifa kuhusu maadhimiaho ya siku ya uhuru kama yatafanyika au la mtapewa taarifa rasmi ndani ya siku mbili.
Naomba tuijadili hii mada bila mihemuko wala uchawa.
Tumeona maelfu ya wananchi wameuwa, na inasemekana kuna hadi wanajeshi wameuawa na polisi, hii yote ni kwa ajili ya kumlinda mtu mmoja tu. Sasa swali la msingi ni hili; hivi jeshi lipo kwa ajili ya kumlinda rais au wananchi.
Unajua vitu vingine vinapita kichwani halafu unajiuliza kama vimepita. Kwanini inaonekana kama Samia anatafuta pa kushikilia? Ni kama hajajua mahali pa kutokea..
Au ndio ule msemo wa wahenga..."mfa maji..."
Maana amezungumza kama mtu aliyeambiwa mambo mengi kuhusiana na mauaji yaliyotokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.