Swali

Swali

Joined
Feb 20, 2026
Posts
14
Reaction score
23
Jaman mm n kijana miaka 23 nipo dar nahitimu chuo soon,, ila kama mnavojua ajira zetu sisi son of peasants ni uwinga..naombeni mwongozo ndugu zangu nahitaj niwe winga kariakoo niwe nakaa na mtu dukani yaan nipate riziki vilevile nijifunze biashara kwa vitendo,,, ile ya kwenda dukani na kuomba picha kupost status nimefanya sana lakini haina matokeo wala growth yoyote ndo maana nahitaj ile ya kukaa na mtu dukani au hata nje ya duka mradi tu awe ameridhia kufanya nae kazi......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom